..Kichwa cha habari kinahusika.
..Kwa kweli kauli ya Jaji Mkuu imenishangaza.
..Lakini zaidi imenisikitisha, na kuniudhi.
..Hivi Wakili ktk nchi zetu za Kiafrika, anayetetea HAKI za watu, anaachaje kuwa Mwanaharakati?
..Kusipokuwa na Mawakili wanaharakati nani atawatetea wananchi wanyonge...