mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jicho la tatu: Tujiandae kuona watoto wa shule wakiwamo walio chini ya umri wa miaka 18 wakitumika kama wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu

    Yanayoendelea nchi hii, kila mtu anaona na hata mwenye akili ndogo kama za kuku, anajua kabisa kuna biashara haramu ya kugawan majimbo kwa kisingizio cha wahusika kushinda uchaguzi. Kwahiyo, tutarajie muitikio mdogo wa wananchi na badala yake tutarajie kuona watoto wa shule wengine wakiwa...
  2. Area 56

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzi Maalum wa Celebrities wanaotangaza nia ya kuwania ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Jana Baba Levo ametangaza kugombea ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini. Masaa machache baadae mtangazaji mwenzake wa Wasafi FM, Diva ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini. Uzi huu utakuwa ni maalum kwa celebrities ambao wanatangaza nia za kuwania Ubunge kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Katibu Mkuu CHAUMMA.

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ndio habari mpya kuwa Salum mwalimu ateuliwa na halmashauri kuu ya CHAUMMA kuwa katibu Mkuu. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
  4. S

    JamiiForums Tanzania "Mashtaka ya Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA,Amani Golugwa,Katika Uwanja wa Ndege wa J.K Nyerere yalilenga kukatisha Uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA"

    Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Jaji Mkuu wa India juu ya Katiba na Mihimili 3 ya nchi. IPO kwa KiingerezaConstitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between

    Constitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between judiciary, executive, and Parliament | India News - The Times of India In his first public address since assuming office, Chief Justice of India B R Gavai on Sunday asserted that it is not the judiciary, executive, or Parliament...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Amani Golugwa zililenga kukwamisha uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA

    "Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel aruhusu tena misaada kupelekwa Gaza

    Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri la usalama mapema leo jioni. Katika taarifa ya kuthibitisha uamuzi huo...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM

    Naomba kutoa maoni yangu kuhusu mkutano wa CCM unaokwenda kufanyika hivi karibuni. 1. Ikiwapendeza naomba wachague mgombea mwingine wa Urais anayekubalika zaidi na wananchi. Hii itasaidia kutotumia nguvu na gharama kubwa wakati wa kampeni. Lakini kuna shida gani akisimama mtu mwingine wa CCM...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God, Dkt. Immanuel Lazaro amefariki Dunia

    Tutaendelea,kuwapatia taarifa zaidi! TANZIA: Askofu Mkuu wa kwanza mstaafu wa Tanzania Assemblies Of God (TAG) Dkt.Emmanueli Lazaro amefariki Dunia Mei 17,2025 . Akitoa taarifa za kifo hicho Makamu Askofu Mkuu wa TAG, Magnus Mhiche amesema kuwa Hayati Dkt.Emmanuel Lazaro alifariki hapo jana...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kumbe mambo ya uwongo yalikuwa siku nyingi,Kipindi cha vita ya kagera mkuu wa mkoa anasema vita hakuna

    Kipindi wanajeshi wa uganda wakifanya uvamizi na kuumiza watu ila mkuu wa mkoa muhamed kisoki aliwaita wanahabari na serikali kusema kinacho endelea mpakani ni mambo tu ya kutoelewana. Wakati wananchi wanaona mpaka ndege za kivita zikishambulia. Usishangae mbunge babu tale kusema utekaji...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu akutana na Katibu Mkuu Kiongozi Comoro

    Balozi Yakubu akutana na Katibu Mkuu Kiongozi Comoro Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi wa Comoro Mhe. Nour el Fatih Azali ambapo wamezungumzia masuala kadhaa ya ushirikiano wa Tanzania na Comoro. Balozi Yakubu alitumia...
  13. President of China

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe Jijini Abidjan

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, Jijini Abidjan. Waziri Mkuu...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania CCM kushinda uchaguzi Mkuu kwa 98%

    1. Ilani imetekelezwa kwa 100%, 2. Uongozi thabiti, 3. Amani imetawala.
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

    IDF hawacheki na wowote. Pamoja na Hamas kwa sasa kujaribu kuchagua viongozi wao kimya kimya bado IDF wanapoamua kuwa check wanawacheck tu. Kaka yake Mohammad alifumuliwa komwe na hao Mayahudi. Sasa dogo naye kapelekwa jehanamu akapate mabikra 72.
  16. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Pakistani tokea alipoenda kujificha kwenye handaki bila simu hadi leo hajulikani alipo.. Zawadi Nono atakayetoa taarifa.

    Katika usiku wa Mei 9 na 10, kwa kulipiza kisasi dhidi ya mvua ya drones na makombora ya Pakistan yaliyoelekezwa India, New Delhi ilizindua mashambulizi ya kulipiza kisasi, ikilenga mifumo kadhaa ya anga nchini Pakistan, ikiwa ni pamoja na msingi maarufu wa ndege wa Nur Ali Khan, ulioko karibu...
  17. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri Mkuu Biteko: Hakuna mpango wa kuahirisha uchaguzi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema milango ya Serikali iko wazi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na kuwasihi wenye hoja kujongea kwa mazungumzo. "Ninachoweza kusema kuhusu uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Askofu Anglikana Maimbo Mdolwa:TUsifike Mahala Tukahairisha Uchaguzi Mkuu, Kuhairisha Uchaguzi Kutaliingiza Taifa Kwenye Machafuko.

    https://www.instagram.com/p/DJgg6_7t1Ud/?igsh=YXB5bXd6MDNwajgz My take: hiyo ni kauli ya askofu mkuu wa anglikana Tanzania
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Wanahabari tumieni kalamu vizuri kuandika habari zinazohusu Uchaguzi Mkuu

    Mkurugenzi Mkuu LATRA wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo amewaasa Wanahabari kutumia kalamu zao vizuri kuandika habari zinazohusu uchaguzi mkuu na kuepuka habari zinazopotosha Jamii pamoja na kuandika kwa umahiri habari zinazohusu sekta ya usafiri nchini. Amesema...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: TRA yataifisha gari Na kumkabidhi ofisi ya mkuu wa mkoa

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Ruvuma imekabidhi rasmi gari aina ya ISUZU kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya matumizi ya serikali, baada ya kutaifishwa kutokana na kuingizwa nchini kinyume cha sheria. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini...
Back
Top Bottom