Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.
"Hivi ambavyo wanatufanyia vitatengeneza visasi vya muda mrefu sana lakini mimi naamini wametufanyia sisi lakini vizazi vyao vitakuja kufanyiwa haya ambayo tumefanyiwa na sisi. Nataka nimwambie Rais Samia kwamba anachokifanya kutunyamazisha ni kosa kubwa sana kwa sababu binadamu yeyote anapitia...
"Ikiwa Iran itatushinda - nchi za Magharibi ndizo zitafuatia.
Baada ya Oct 07,20203 Israeli haitaruhusu tena madhara kwa Wayahudi na wala
Hatutasamehe kwa yeyote aakayejaribu kutushambulia.
Hatutasahau utawala wa Ayatollah lazima uanguke siyo baadaye bali ni Sasa!!.
TANZANIA YA KISASA: HAKI, TEKNOLOJIA, NA SIASA ZA AMANI—TUNAPOKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU
Leo tarehe 24 Aprili 2025, Tanzania - Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendesha shauri la jinai namba 202504102000008606 dhidi ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu kwa njia ya mtandao, kupitia tovuti rasmi...
Wanabodi
Naangalia Bunge Live kupitia TBC Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu- Watch https://www.youtube.com/live/Q2K-fa_9lmQ?si=Y9V-RXLXorXsgR5P
Paskali
Usioe mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Usifanye biashara na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Usipange nyumba moja na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Fanya yoooote na wanawake wa kichagga wa majina mengine, lakini ukisikia tu MANKA, kimbiaaaa mkuu wangu.
I'm done..
Viongozi wa dini, kwa dini zote, huchukuliwa kama wazazi na walezi wa waumini wao. Ni kwa sababu hiyo, viongozi wa dinni kwa kutambua wajibu wao, wametoa ujumbe kwa Serikali juu ya umuhimu wa kuwa na marekebisho ya sheria, kanuni na mifumo yetu ya uchaguzi, ili uchaguzi mkuu kuwa wa haki na...
Kwa kuwa lengo la G55 ni kushiriki uchaguzi tu katika hali yoyote ile na mazingira yoyote kama ilivyo ACT, je muda unaruhusu wao kuanzisha chama kipya, kupata usajili na kuweza kusimamisha wagombea wao kushiriki uchaguzi?
Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani nchini Marekani, Kristi Noem ameonja adha wa wananchi wa kawaida nchini humo Kaibiwa pochi nene kabisa.
Ndani ya pochi mlikuwemo bulungutu la kushiba mtu, $3,000(dola elfu tatu na ushee)
Kwa hela hiyo mimi ningeagiza Subaru Forester.
Mkuu huyo wa Usalama...
Ila Bongo inasikitisha sana kwenye suala la haki. Ndiyo maana ukizungumzia haki inakuwa kama umetangaza duka la bangi.
Inajiuliza sisi tupo dunia ya ngapi. Tofauti ya chaguzi za enzi za mkoloni na leo ni majina tu, lakini michakato ni ile ile.
PO-RALG ndio inasimamia uchaguzi kupitia...
Heri ya pasaka wanajamvi. Habari za usiku huu.
Mkuu wa wilaya amezidi ubabe. Anawafanyia ubabae watumishi wa umma na anajidai hakuna wa kumgusa hata akifanya lolote. Kwani analazimisha watumishi wote kuchangia pesa sh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge ambapo watakaochangia lazima waandikwe...
BAKWATA wameandaa dua ya kuombea unaoitwa Uchaguzi Mkuu.
Maajabu ni kwamba Wageni rasmi ni Wagombea waliopitishwa na Chama chao kugombea Oktoba 2025 (CCM)
Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem:
"Hatutaruhusu mtu yeyote kuwapokonya silaha Hezbollah, na wazo la kupokonya silaha lazima liondolewe kabisa kwenye kamusi.
Silaha zetu ndizo nguzo ya upinzani, ndizo zilizoikomboa nchi yetu na kulinda mamlaka ya taifa letu tupendwa.'
Kwa lugha...
Najua mko kwenye maandalizi ya kuitembelea wilaya ya Monduli,lakini kwa haya wanayofanyiwa wakaaji wa eneo la Mto wa Mbu (Kigongoni) si haki wala halal.
1. Watu wenu wanapewa maji kama msaada utadhani wapo jangwani.
2.Campsite nyingi kule ziwani zinatumia maji bila kufungiwa meter na hii ndo...
Wapo wapinzani Wanadai kuna Kura za Mchongo. Lakini Tume HURU ya Uchaguzi inatumia mfumo Bora wa Biometric Voter System kuandikisha, kuhuisha taarifa za mpiga kura na kuhakiki taarifa hizo siku ya kupiga Kura haya yote yanafanyika ili kuhakikisha Kura zote ni halali. Tunawapongeza Tume Huru kwa...
Katibu Mkuu wa BAVICHA akishiriki katika kipindi cha Malumbano ya hoja ITV jana alimshangaa Jumanne Murilo kutishia wananchi na kupiga marufuku kwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Taifa Chadema Tundu Lissu katika mahakama ya Kisutu.
Katibu Mkuu huyo amehoji Kamanda...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) wote nchini kuhakikisha wanakagua vipenyo vya makalvati na madaraja yote katika maeneo yao kabla na baada ya msimu wa mvua ili kujiridhisha kama vinapitisha maji kwa urahisi bila kuathiri barabara.
Majaliwa...
Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema wanaingia kwenye uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu wakiamini wao ni washindi katika uchaguzi huo kwa nafasi ya Urais wa Zanzibar.
Othman ameyasema hayo leo Aprili 16, 2025 wakati alipokuwa akizungumza na Waandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.