Tunakushukuru, tunakusifu, tunakuabudu na kukutukuza Mungu mkuu.
Tunaomba Mungu mkuu na Mungu mwenye haki, uitazame kwa macho yako yenye huruma Nchi yetu Tanzania na Watanzania wote.
Tunakuomba kwa mateso ya wateule wako walio mstari wa mbele wa mapambano ya ukombozi wa kweli wa Nchi...