mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yupi waziri mkuu ajaye?

  2. President of China

    JamiiForums Tanzania LIVE BUNGENI: UTEUZI WA WAZIRI MKUU MPYA, RAIS SAMIA KUHUTUBIA LEO

    https://www.youtube.com/live/HC9UL5gBJzE?si=xsGjR6En5h3eFIvJ
  3. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Mange Kimambi awe Mkuu wa Idara ya Upelelezi na ujasusi wa Gen Z

    Habari. Napendekeza Mange Kimambi awe mkuu wa idara ya upelelezi na ujasusi wa Gen Z. Tukishamteua, naye atateua/atapndikiza agents katika idara nyeti kama jeshini, polisi, uhamiaji hadi ikulu ambao watakuwa wanampa habari. Pia, napendekeza au nasharu kuwe na viongozi wa Gen Z katika mikoa...
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Musalia Mudavadi aonya Wakenya kuvuka mipaka kushiriki siasa za nchi jirani

    Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kuepuka kuvuka mipaka ya nchi kwa ajili ya kutafuta haki au kushiriki katika siasa za mataifa jirani, akionya kuwa uhuru wanaoufurahia nyumbani, hususan uhuru wa kujieleza, haupo kila mahali. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa...
  5. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Abdul Ameir anawasalimia

    Hivi majuzi nilipata bahati ya kukutana na "mkuu wa majeshi", tukagonga "cheers" na kula kuku, kwa kweli tuliburudika. Ni mtu mwema na muadilifu sana, ana moyo wa huruma na mwenye kutanguliza maslahi ya Taifa mbele. Sikuwahi kudhani kama ningewahi kutokwa na machozi ya furaha kiasi kile...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Clemence Mwandambo: IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi zao

    Mzee Clemence Mwandambo anasema Katika nchi zenye kuwajibika leo hii IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kujiuzulu nafasi zao, waache ofisi wazi waingie wengine. Anaendelea kwa kuongeza kuwa, Huwezi kushughulikia maharage yaliyoungua unamwagia maji kwenye sufuria harufu...
  7. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania TANGANYIKA ina Mwanasheria Mkuu Mzanzibari na ZANZIBAR ina mwanasheria Mkuu Mzanzibari

    ni mimi tu ndio sielewi au katiba yetu haijawa wazi kwenye masuala ya muungano? Kuna Mkuu wa mkoa walikouliwa waandamanaji kwa mafungu huko Songwe ni Mzanzibari pia! Je Zanzibar kuna mkuu wa Mkoa Mtanganyika? kuna Mwanasheria mkuu mtanganyika? mbona mie sielewi?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Ndiye Waziri Mkuu Mpya Atakayeteuliwa Na Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Najua wengi wenu mnajiuliza maswali juu ya nani atakuwa waziri Mkuu Mpya wa Tanzania. Najua mna kiu kubwa sana kutokana na umuhimu na unyeti wa nafasi hiyo kiutendaji na kiutawala ndani ya serikali yoyote ile Duniani. Kwanza ifahamike ya Kuwa waziri Mkuu kikatiba...
  9. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Kauli kinzani kati ya Rais na Mwanasheria Mkuu kuhusu waandamanaji

    Rais : Wandamanaji walikuwa raia wa kigeni. Mwanasheria Mkuu wa Serikali : Mange Kimambi ndo aliwachochea Watanzania mpaka wakaingia barabarani kuandamana. Sasa kati ya hawa tumuamini yupi?
  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Aliyemwandikia sala Mufti mkuu ndo huyo huyo aliyemwandikia hotuba Mama kizimkazi

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Alikuwa ni mtu mmoja SAYUNI BOY
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania Gamondi Ateuliwa Kocha Mkuu Taifa Stars, Hemed Moroko Atimuliwa

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka amkabidhi nyaraka za kazi Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi yake Ikulu Chamwino, akiwa tayari kuanza rasmi majukumu yake baada ya kuapishwa.
  13. PAYE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea na Hamza Johari kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Amemtea tena leo kushika Wadhifa huo

    Tangazo kwa umma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bw. Hamza Saidi Johari ataapishwa kesho kutwa Jumatano tarehe 5 Novemba, 2025 saa 4:00 asubuhi Ikulu Chamwino, Dodoma. Imetolewa na...
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Niliwaambia kuhusu JWTZ na huyo mkuu wao….

    Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi. Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni. Sihitaji kusema mengi wala zaidi kuhusu hilo kwani, yametimia. Vilevile niliwaambia kwamba hilo liitwalo jeshi la wananchi wa...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mkuu yeyote wa kikosi cha Dodoma ashike Ikulu cha Chamwino. Kwa Dar es Salaam ashike Magogoni. Tumeshashinda

    Imeisha Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dodoma tunaomba mji organise mshike ikulu ya Chamwino Kwa Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dar tunaomba mshike Ikulu ya Magogoni Wengine washike Benki Kuu, wengine TBC. Airport tayari zipo chini ya Jeshi. Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki JWTZ
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ndio Amri Jeshi mkuu, Naye, nye 🤣🤣🤣🤣. Kiko wapi

    Kiko wapi? walisema kikipasuka hata Kibati... 🤣🤣🤣🤣🤣
  17. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wito: Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ifute Uchafuzi Mkuu, Isiharakishe Kumuapisha Samia

    Inatakiwa ndani ya siku saba baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Rais aliyetqngazwa kushinda anatakiwa kuapishwa. Baada ya kuvurugika kwa uchaguzi mkuu INEC isiruhusiwe kutangaza matokeo wala kuzamisha kuapisjwa kwa Rais. Wakiamua kulazimisha hawa vijana hawa ..ambao leo wamevunja mwiko...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu TRA: Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam. Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ezekiel Wenje: Kupiga Kura siyo suala la Vyama vya Siasa ila ni la Kikatiba

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekiel Wenje, amesema suala la kwenda kupiga kura si la vyama vya siasa, bali ni la Mtanzania mmoja mmoja kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi. Wenje ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wakati...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Asharose Migiro katibu Mkuu CCM anaanza kazi lini?

    Kwa anasubiria uapisho? Toka ameteuliwa ni kama alilazimishwa kuwekwa hapo. Aanze kufanya kazi. Tunamsubiria huku mashinani.
Back
Top Bottom