Utukuzwe Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu.

Utukuzwe Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu.

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
623
Reaction score
1,292
Ni siku nyingine tena ninapokuja kwako Mungu mkuu nikikuomba uitendee mambo makuu Nchi yetu Tanzania, hasa mwaka huu uliojaa dhuluma.
Nakuomba Mungu mkuu, Mungu mwenye haki na Mungu usiye na upendeleo mwaka huu usipite bila kutuma jeshi la malaika zako kuja kuikomboa Nchi hii kutokana na Dhuluma iliyokithiri. Malaika zako na washuke sasa ili kuyaunguza kwa moto mkali MAJITU YOTE DHALIMU katika Nchi hii.
Utukufu na ukuu una wewe Bwana, hata milele na milele. Amina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom