mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Chamwino msaidie Rais miradi ya ujenzi ya shule wilaya ya Chamwino

    Nianze kwa kumpongeza mama Samia kwa kuona mbali lakini aliona umuhimu wa kuipa kipaumbele elimu na afya hizo ndizo nguzo muhimu kwa ustawi wa maisha ya mwanadamu yeyote chini ya jua, lakini pia kimtazamo Rais angependa kuona kile alichokipanga kwa wananchi wake kinatimia na kuonekana machoni...
  2. JamiiForums Tanzania Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya ziendelee kufanya tathimini juu ya utoaji wa vibali vya mabasi ya abiria kusafiri usiku. Majaliwa alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda katika kipindi cha...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje iwapo Shahidi Swila ambaye inaonesha ni Mpelelezi Mkuu asipoweza kuendelea kutoa ushahidi wake?

    Huyu anaonekana kuwa ndiyo Shahidi Mkuu kwani alimchukua maelezo Urio, kukusanya vielelezo, kuvipeleka kwa wataalamu wa utambuzi na kufanya mambo mengine. Je ikitokea hatakuja tena Mahakamani na akaja shahidi mwingine ambaye hatakuwa Mpelelezi Mkuu hapo kesi itaendeleaje? Ninaomba kusaidiwa na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza Wabunge wote waelezwe kinachoendelea Ngorongoro

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii iandae semina kwa wabunge wote ili kujenga uelewa wa pamoja kuhusu yanayoendelea katika hifadhi ya Ngorongoro. Mheshimiwa Majaliwa ametoa maagizo hayo leo (Jumatano, Februari 9, 2022) wakati alipochangia taarifa ya Kamati ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Makonda anaufedhehesha muhimili wa Mahakama; Hana madaraka lakini Mahakama inamtii

    Mahakama ya Tanzania Sijui imekosa nguvu Kwa sababu ya chama au Kwa sababu ya serikali au Jaji mkuu ameshindwa kuwapa Imani waliopo chini yake? Raia anaitwa na Mahakama yupo Kigamboni au Masaki anagoma kufikia mahakani Wala kutuma mwakilishi na uongozi wa Mahakama upo kimya. Hakimu anadai...
  6. JamiiForums Tanzania Nilimuona Bwana ameketi katika kiti cha enzi (Utukufu wake ni mkuu)

    Nawasalimu wana JF Watu wote duniani, wasio soma na waliosoma; watafiti na wasio watafiti hatujui kabla na baada ya kufa kitu gani kitatokea. Wengine wanakuja na theories za Time travel lengo lake ni kujifariji. Nilikuwa katika ROHO siku ya Bwana, hakika siku hiyo ilikuwa siku kuu kwangu...
  7. JamiiForums Tanzania Kishindo cha Katibu Mkuu UVCCM maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa CCM kwa UVCCM kitaifa Wilaya ya Tarime mkoa wa Mara

    KISHINDO CHA KATIBU MKUU UVCCM KENANI KIHONGOSI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA KUZALIWA CCM KWA UVCCM KITAIFA WILAYA YA TARIME MKOA WA MARA Tarehe 3 Februari 2022 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndug: Kenani Labani Kihongosi ameambatana na Mwenyekiti wa Chipukizi UVCCM Taifa...
  8. JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa CHADEMA Mbeya mjini, Msigwa avunja uongozi huku walioondolewa wakimpinga. Ni mparaganyiko mkuu

    Mpasuko mkubwa umeukumba uongozi wa Chadema Mbeya mjini na hii ni dalili kuwa hawako kwenye good terms. Sijui lini watafika mbali =========== Mchungaji Msigwa: Tumeuvunja uongozi wa jimbo la Mbeya mjini na tunawapa mkoa siku tatu kwa mujibu wa katiba kama nilivyosema kuunda timu(Task force)...
  9. JamiiForums Tanzania Raia wa Rwanda ambao hawajachanjwa hawataruhusiwa maeneo ya umma - Waziri Mkuu

    Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya corona Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya coronaImage caption: Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya corona Raia wa Rwanda na wakazi lazima wawe wamepewa chanjo kamili dhidi ya Covid ili kuruhusiwa kufika...
  10. JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi amuwakilisha Daniel Chongolo kwenye Msiba wa Mke wa RC Martine Shigela

    Ndugu Kenani Kihongosi (Katibu Mkuu UVCCM) amuwakilisha Ndugu Daniel Chongolo (Katibu Mkuu CCM) Msiba wa Mke wa RC Morogoro, Mhe Martine Shigela. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Cde Kenani Kihongosi akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu...
  11. JamiiForums Tanzania Uingereza: Barakoa hazitakuwa lazima, kufanya kazi tokea nyumbani kufikia tamati

    Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza kuwa uvaaji wa barakoa na sheria nyingine za kujikinga dhidi ya COVID-19 zitatupiliwa mbali baada ya nchi hiyo kuwa na maambukizi madogo ya corona baada ya kupata chanjo ya nyongeza. Kuanzia Januari 26 hakutakuwa na ulazima wa kuvaa barakoa shuleni na maeneo...
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mara apewa amri na mwananchi akitaka choo kianze kazi mara moja 😂

  13. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Mcha Hassan Mcha ateuliwa kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Uteuzi wake umeanza Desemba 5, 2021 akichukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Vilevile, Balozi Celestine Joseph Mushy...
  14. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye kesi fulani ipo mbele yake

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama" Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna 'Kiongozi' Mmoja 'anahangaika' sana 'Kujiokoa' na hana 'Amani' hivyo nampa tu huu 'Ushauri' na akitaka asalimike kwa 'Maovu' yake atii niyasemayo

    1. Akiri mbele ya Watanzania kuwa Yeye ni Mpumbavu ( Popoma ) na hana Mpinzani Tanzania, Afrika na Duniani. 2. Akiri kuwa kwa muda wake mfupi tu Madarakani ameua Watu wasio na Hatia kama alivyowahi Kuua aliyekuwa Rais wa Liberia Charles Taylor. 3. Akiri kuwa Yeye ni Mnafiki na siyo Mcha Mungu...
  16. JamiiForums Tanzania Wapinzani tuwekeze kanda ya ziwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025. Kura nyingi zipo Tabora na kanda ya ziwa wala sio Zanzibar yenye watu Mil 1.5

    Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao. Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
  17. JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri Mkuu Johnson aomba radhi kwa sherehe ya unywaji pombe

    Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameomba radhi kwa kushiriki katika sherehe ya kunywa pombe iliyofanyika katika bustani ya ofisi yake wakati nchi hiyo ilipokuwa chini ya vizuizi vikali vya watu kujumuika. Hata hivyo, kiongozi huyo amepuuza miito ya upinzani ya kumtaka ajiuzulu...
  18. JamiiForums Tanzania Vifo vya watu 14: Mkuu wa Mkoa Mwanza awajibike

    Ajali za magari ya serikali sasa zimekithiri. Watu wanakufa kama kuku na makosa yanalundikwa kwa dereva tu. Sasa inabidi iwepo uwajibikaji kisiasa kwa makosa ambayo inaelekea usimamizi wa sheria na kanuni za barabarani ni hafifu. Kuua kwa mpigo watu 14 hawezi laumiwa dereva peke yake. Mkuu wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson umepotosha umma: Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi ya Tanganyika, Zanzibar wana mkuu wa nchi yao

    Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi. Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar Hata katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 iliyorekebishwa mwaka 2010 inatamka wazi kuwa Rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar. Kwa hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Simiyu: Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa Mwanza

    Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu. Mkuu wa Wilaya ya Busega (DC), Gabriel Zakaria amethibitisha kutokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…