Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga ambaye pia ni Mlezi wa Kamati ya usalama barabarani Mkoani humo Juni 12, 2025 aliwaongoza wajumbe wa kamati hiyo kufanya ukaguzi wa maendeleo ya utekelezaji wa maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Dkt...
Wakuu, kuna uhitaji au ulazima wowote wa kujenga ofisi mpya za mkuu wa mkoa wa Dar es salaam zikiwa zimetolewa bilioni sita sasa, Ofisi zilizopo sasa zina changamoto gani mpaka kutaka kujenga ofisi mpya?
==
Serikali imetoa fedha shilingi Bilioni sita, kwa ajili ya kujenga ofisi mpya ya Mkuu wa...
Kipindi wanajeshi wa uganda wakifanya uvamizi na kuumiza watu ila mkuu wa mkoa muhamed kisoki aliwaita wanahabari na serikali kusema kinacho endelea mpakani ni mambo tu ya kutoelewana.
Wakati wananchi wanaona mpaka ndege za kivita zikishambulia.
Usishangae mbunge babu tale kusema utekaji...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Ruvuma imekabidhi rasmi gari aina ya ISUZU kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya matumizi ya serikali, baada ya kutaifishwa kutokana na kuingizwa nchini kinyume cha sheria.
Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini...
Hamjambo hapo Arusha?
JeNi kwa sababu ipi,
Kisha Ili iweje?
Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?
Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima...
Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga...
Bwana Paul Chacha ni mkuu wa mkoa ambaye anamchafua mheshimiwa Rais Samia makusudi
Analeta ubabe wake wa Kikurya kwenye mambo ya football
Alitukana Yanga wana kiherehere na wanahonga wachezaji, ambazo hizo ni Tuhuma chafu sana alitaka ajibiwe vipi?
Yaani aje kishabiki halafu kumjibu Yanga...
Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora
Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga
Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji...
Nimemsikiliza pasipo shaka Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuhusu wachezaji wa Tabora kutumiwa sms za kuombwa wazubae kesho ili timu yetu ya Jangwani ipate matokeo, ni kweli anachosema RC kuwa makosa ya rushwa kumtia hatia mtu ni vigumu sana wakati mwingine kwa sababu anayetoa rushwa anafanya vile kwa...
Natangaza hali ya hatari Maana Viongozi Wa ngazi ya Mkoa, wilaya mpaka kata shinyanga mjini wamelala na wameamua kupuuzia suala la biashara ya Ngono inayoendelea shinyanga mjini mtaa wa JOMU.
Pale kuna Dangulo Moja linalofahamika kama Maswa Guest lipo karibu kabisa na ofisi za Serikali ya mtaa...
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack, amemsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi zake kubwa katika kuleta maendeleo, akimtaja kama "Rais wa Kujenga Taifa."
Akizungumza Machi 15 katika Mkutano wa Diwani wa Ilani uliofanyika Kata ya Narungombe, wilayani...
SPIKA Mstaafu na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai ameishauri serikali kuangalia upya utaratibu uliopo sasa, katika hospitali nyingi za umma kuwa ni lazima mgonjwa kutoa Sh. 10,000 kwa ajili ya kumuona daktari.
Ndugai, alisema hayo juzi jijini hapa, wakati akichangia hoja kwenye kikao cha Kamati ya...
MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Kennan Kihongosi amekalia kuti kavu baada ya kushindwa kusimamia shughuli za Serikali ndani ya Mkoa huo na kutumia muda kujihusisha na makundi ya kisiasa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Bariadi.
Tetesi zinazoenea ni kwamba mkuu huyo wa mkoa ameshagombana na Mwenyekiti...
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewamuru Watendaji watatu ambao ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa kikao cha Kamisheni Cha Mkoa (RCC).
Uamuzi wa Shigela unakuja kufuatia kutoridhishwa na majibu ya maofisa hao wa GGML juu ya malipo ya...
Klabu ya Arusha Saccos imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Mhe. Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, wakisema amekuwa chachu ya maendeleo ya Mkoa huo hasa katika masuala ya kiuchumi na ustawi wa mwananchi mmoja mmoja...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa kumsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) Mkoa wa Tabora, Mayala Mburi, kutokana na tuhuma za kumtukana matusi wateja waliokwenda kupata huduma za mafuta, akiwemo mtumishi kutoka ofisi...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abass ofisini kwake na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama Leo tarehe 27 Februari 2025.
Katika mazungumzo yao Jenerali Mkunda amempongeza Mkuu wa Mkoa pamoja na Kamati yaUlinzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.