mkuu wa mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Tabora awawashia moto watendaji, kisa vibarua wa ujenzi kutokulipwa, aagiza mkandarasi kukamatwa

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ametoa siku moja kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Manispaa ya Tabora Dkt. Shani Mdamu ahakikishe kukamatwa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa majengo Kituo cha Afya cha Itetemia kilichopo Manispaa ya Tabora kutokana na tuhuma za kutowalipa...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Mama Samia Legal Aid yatarajiwa kuanza Mwanza kuanzia Februari 18 hadi 27. Mkuu wa mkoa atoa neno

    Mkoa wa Mwanza unatarajia kuzindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia itakayodumu kwa muda wa siku 10 kutoka Februari 18 hadi 27 mwaka huu katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema mara baada...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Kagera - Mwassa: Wazazi pambaneni Watoto wenu wasiwe machawa

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amewasihi wazazi na walezi mkoani Humo kuhakikisha wanawasimamia Watoto wao wanapata elimu iliyo bora itakayowawezesha kujitengenezea maisha badala ya kutumia muda mwingi kujipendekeza na kuwa machawa. Mwassa ametoa kauli hiyo Februari 11, 2025 kwenye...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Songwe: Mganga Mkuu wa Mkoa afafanua madai ya kusambaa kwa magonjwa ya tumbo na kipindupindu

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt. Boniface Kasululu ametolea ufafanuzi taarifa ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Songwe yana changamoto ya Wananchi kuumwa magonjwa ya matumbo na kuwa anahisi wengi wao wao wanasumbuliwa na Kipindupindu. Kusoma andiko la...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wako uliko anafaa kuwatumikia au awekwe kando?

    Mkuu wa Mkoa wako uliko sasa je anafaa kuendelea kushika wadhifa huo kuwahudumia wananchi? mimi Mkuu wangu wa Mkoa Chalamila naona ni vema akae pembeni sijui wewe huko uliko mkuu wako wa mkoa anawajibika?
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini

    Albert Chalamila, akiwa Mkuu wa Mkoa katika mikoa tofauti, alijipatia umaarufu kutokana na kauli zake tata na zingine ambazo mara nyingi ziliwaacha watu hoi. Akiwa katika Mkoa wa Mbeya, aliwahi kusikika akitoa agizo la kuchapa viboko wanafunzi walioteketeza mabweni, jambo lililozua mjadala...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mkuu wa Mkoa wa Dar awajibishwe haraka kulinda utu wa Wananchi

    MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWAJIBISHWE HARAKA KULINDA UTU WA WANANCHI Chama cha ACT Wazalendo kinalaani vikali kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Albert Chalamila inayowataka wanawake kujifungua nyumbani kwa kutumia visu na mikasi endapo watakosa fedha za kulipia huduma...
  8. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Mjawazito kugharamia tiba: Je kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar ndio msimamo rasmi wa serikali? Serikali itoe kauli.

    Watanzania wamesikia kauli ya mkoa wa Dar, Albert Chalamila kuwa, mjawazito atawajibika kuchangia matibabu na akishindwa aende akajifungulie nyumbani. Japokuwa imetolewa kwa kebehi lakini ni kauli iliyobeba uzito mkubwa ikizingatiwa sera rasmi ya serikali katika sekta ya afya ni mjawazito...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nasimama na Mkuu wa mkoa wa Dar, kutukumbusha kuwajibika

    Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua Mimba ni miezi 9 sio suala la ghafla kama ajali, Yaani mwanamke anavua chupi, mimba inaingia, unalea mimba miezi 9, Hadi siku ya...
  10. Kididimo

    JamiiForums Tanzania KERO Kivuko cha Busisi- Kigongo hakina ferry zote ni mbovu. Wananchi wanataabika. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ingilia kati suala hili

    Hizi ni habari za muda huu. Tunaomba Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Ntanda uingilie kati. Wasafiri wanataabika sana.
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Paul Makonda atoa pikipiki 20 kwa Jeshi La Polisi ili kuimarisha Ulinzi na Usalama

    Wakuu, Tunaposema kwamba CCM wameanza kampeni kabla ya muda elekezi hii ndio maana yake. ========================================================= Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, leo Januari 24, 2025, amepokea pikipiki 20 zilizotolewa na Leopard Foundation kwa Jeshi la Polisi...
  12. Willy NGOMA

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Kivu kasikazini auliwa na M23

    Major General Peter NKUBA CHIRIMWAMI, mkuu wa jeshi na mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, jana tarehe 23 Januari 2025, majira ya saa moja na dakika 44 usiku,alipokuwa amewatembelea wanajeshi wake kuwaunga mkono katika vita na kundi la waasi la M23, alimiminiwa risasi na kufariki hapo hapo. Baada...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Mbeya aagiza kukamatwa kwa mkandarasi endapo atashindwa kusambaza kifusi katika barabara ya Mtaa wa Uzunguni A

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ameliagiza Jeshi la Polisi katika mkoani hapo kumkamata na kumweka ndani Mkandarasi anayejenga barabara ya Mtaa wa Uzunguni A Jirani na Mahakama ya Mwanzo endapo atashindwa kusambaza kifusi cha changarawe ambacho kimekuwepo maeneo hayo kwa muda mrefu. Homera...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania NEMC, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa yahamasisha usafi wa mazingira na urejelezaji taka

    Dar: NEMC na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wafanya Usafi Ilala Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki katika zoezi la kufanya usafi wa Mazingira lililofanyika katika Wilaya ya Ilala. NEMC imeshiriki zoezi hilo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  15. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Mbunge ana mamlaka ya kumwagiza Rais ila mkuu wa mkoa haruhusiwi na hana mamlaka hayo

    Elimu ya uongozi ni muhimu sana, separation of power wengi inawapiga chenga, Muhimu tujue. Nchi yoyote ya kidemokrasia bunge ndo lenye nguvu ndio mana Rais anaweza kutolewa na bunge kama watapiga vote of no confidence. Sasa inakuwaje mkuu wa mkoa ambae kimsingi ni mdogo kwa mbunge aanze...
  16. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilya na Mbunge nani ni nani katii yao?

    Kiungozi nani mkubwa kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa? Mbunge na Mkuu wa Wilaya? Nani ana ukuu kati yao. Uki refer kwa kilichotokea kwa Makonda dhidi ya Gambo. Je nani yupo sahihi na kwa nini. Je Waziri akiwa katikati yao nani ana sauti au mkubwa kati yake na Mkuu wa Mkoa, bahati mbaya sikusoma...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo kuwa anahudhuria vikao mbalimbali vya maendeleo ndani ya...
  18. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,msikilize Mkuu wa Mkoa wa Tabora! Chukua hatua Jimbo la Moshi Mjini Kuna shida mahali!

    Sitaongea mengi! Huu ni mwaka mpya! Sikiliza
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania RC Albert Chalamila: Dar kila mtu anataka kumiliki ardhi. Hayo ni mawazo ya kishamba, uzieni watu nyumba sio ardhi!

    Watu wa Dar mko wapi? Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amezungumzia namna ambavyo watu wengi wa Dar wanapenda na kutaka kumiliki ardhi. Chalamila amesema kuwa kiuhalisia sio kila mtu anaweza kumiliki ardhi na badala yake kuwe na utaratibu wa watu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded DAWASA shughulikieni hii chemba ya maji taka inayomwaga maji ya kinyesi ILALA sokoni, Mtaa wa TABORA na UHURU mkabala na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla. Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo...
Back
Top Bottom