mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ndio chombo cha Juu zaidi Tanzania kinachoweza kubadili au kubatilisha matumizi ya katiba yake au hata katiba ya nchi

    Na ndio maana mkutano mkuu maalumu wa CCM pale makao makuu Dodoma mapema mwaka huu2025, uliamua, ukaridhia na kuidhinisha mabadiliko ya katiba ya CCM bila tatizo lolote na vile vile mkutano mkuu huo huo wa CCM taifa, ukajadili, ukaamua, ukaridhia mapendekezo ya wajumbe wa mkutano mkuu huo wa...
  2. GE2025 Ni mafuriko ya watu kwenye mkutano wa CHAUMA -Moshi Kilimanjaro

    Chama kikubwa Cha upinzani Tanzania kimefanya mkutano mkubwa wa aina yake uko Kilimanjaro. Ikimbukwe mkoa huo viongozi wengi wa chadema katika mkoa huo walihamia CHAUMA.
  3. MKUTANO MKUU ULIKUWA HALALI KIKATIBA

    MKUTANO MKUU ULIKUWA HALALI KIKATIBA Mkutano mkuu Halali ni lazima uitishwe na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, ni lazima Akidi itimie ya wajumbe halali zaidi ya nusu kuhudhuria lakini taratibu zote kufuatwa. Mkutano ule wa January 18 na 19 January uliompitisha Rais Samia kuwa mgombea...
  4. Kumbukizi: Kibajaji na Hoja ya Kihistoria Katika Mkutano Mkuu wa CCM – 2025

    Dodoma – Januari 2025 Mwaka 2025 utabaki kwenye historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama mwaka ulioshuhudia moja ya mijadala ya ndani ya chama yenye mvuto mkubwa wa kisiasa, ujasiri wa ndani, na tafakuri ya kidemokrasia. Tukio hilo lilitokea katika Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika jijini...
  5. Mkutano wa 27 wa Mawaziri wa SADC - MICO

    Mkutano wa 27 wa Mawaziri wa SADC - MICO Karibu Tanzania Welcome to Tanzania Bienvenue en Tanzania Bem-vindos à Tanzania 📅 21 - 25 Julai, 2025 📍 JNICC Dar es Salaam, Tanzania
  6. GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

  7. GE2025 Mkutano Mkuu, Halmashauri Kuu na Kamati Kuu za chama ndizo zilizofanya maamuzi Samia kuwa Mgombea Urais

    Vyombo vya juu kabisa vya kichama ndivyo vilivyofanya maamuzi sahihi,ndani ya mikutano yake,na kura zikapigwa kizuri zaidi kura zote kwa asilimia 99.8 zikaafiki,na kumsimika,ya kwamba hawa ndiyo wagombea wetu, #Kushindana na uamuzi wa vyombo vyote hivyo vya kichama vilivyofanya maamuzi ndani ya...
  8. R

    Tufanye summary ya mkutano wa Polepole: TAKE-HOME MESSAGE ni (z)ipi

    Core message Polepole would want his listerners /Tanzanians to retain 1. Ukiukwaji wa katiba na taratibu za CCM..............fomu moja ya "mgombea" (hajamtaja
  9. Sijaridhishwa na mkutano wa Comrade Polepole

    Nimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake. Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini? Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama alikuwa anatoa kinyongo. What was the point? Kisha mwisho maamuzi yake ni nini? Aliyeelewa anipe anieleweshe.
  10. U

    Kupinga hadharani maamuzi ya mkutano Mkuu wa CCM ukiwa mwanachama ni dharau na Uasi mkubwa kwa Mwenyekiti Polepole afukuzwe Chamani

    Hiyo ni kanuni muhimu ya uwajibikaji wa pamoja ndani ya CCM Akabidhi KADI ya Uanachama na aende huko anakoona kinamfaa
  11. U

    Balozi Polepole umeheshimu dira ya taifa ukaahirisha mkutano ila umekosa kuheshimu Ijumaa siku ya Ibada kwa Waislamu? Ungechagua siku nyingine

    Omba radhi Kiongozi kwani umekosea ulipaswa kuheshimu siku ya leo ya Ibada kwa Waislamu na ungelifanya press yako siku nyingine Umuhimu wa siku ya leo ni mkubwa sana kuliko dira ya aifa. "Bora ya siku uliyochomozewa na jua ni siku ya Ijumaa, ndani yake ameumbwa Adamu-Amani imshukie-na...
  12. Pinda aiwakilisha Tanzania mkutano wa 44 shelter Afrique Algeria

    Algiers, Algeria – Julai 17, 2025 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Geophrey Mizengo Pinda (Mb), ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano Mkuu wa 44 wa mwaka wa Taasisi ya Shelter Afrique, uliofanyika jijini Algiers, Algeria kuanzia Julai 15 hadi 17, 2025. Mkutano huo wa...
  13. Mkutano wa CHAUMMA Iringa

    Dakika chache kabla ya Helkopta kutokea uwanjani kulikuwa na watu si zaidi ya kumi. Baadaye Helkopta ilipofika watu wakaongezeka kiasi na mkutano kuanza. Wasemaji walikuwa ni Devotha Minja na Salum Mwalimu ambaye muda mwingi alitumia kuelezea siasa ya CUF ya Maalim seif. Kama kawaida...
  14. Ushiriki wa Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo: Je, Inatoa Picha Gani ya Kisiasa?

    Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa...
  15. Huyu mwamba alifuata nini kwenye mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa?

  16. R

    Mkutano wa pili wa umoja wa mabaraza ya habari Afrika

    https://www.youtube.com/live/TESsdXCNBrU?si=zVojh8cRb2WhaVBx Mkutano wa Pili wa Mabaraza ya Habari Afrika 2025 umeelezwa kuwa ni fursa ya kihistoria kwa vyombo vya habari barani Afrika kuimarisha ushirikiano wa kikanda, kukuza matumizi ya teknolojia mpya, na kushiriki kikamilifu katika...
  17. Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia Mkutano wa AU - Malabo

    Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia Mkutano wa AU - Malabo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja...
  18. Nchi za Ulaya zazindua mkutano wa kusaidia ujenzi wa Ukraine

    Viongozi wa Ulaya wamezindua Alhamisi mjini Rome, mkutano wa kila mwaka wa kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ukraine baada ya vita, wakitarajia kukusanya dola bilioni 12. Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky waliufungua mkutano huo kwa kuwatolewa wito...
  19. GE2025 Ni aibu kubwa Kwa CHAUMMA, mkutano wao wa Zanzibar waudhuriwa watu wachache sana

    CHAUMA ebu punguzeni kujitia hasara. Utakodishaje mziki,na jukwaa afu unaishia kuhutubia watu 6. Hawa viumbe walidhani ma press conference ndo yangewafanya wapendwe na watu. Sahivi wanalia kilio Cha kusaga meno. Catherine Ruge Devotha Minja Moza Ally Suzan Kiwanga Tunawasubiri mshinde ubunge...
  20. R

    Rais wa Marekani Donald Trump amefanya Mkutano na Viongozi wa nchi tano za Afrika

    Rais wa Marekani Donald Trump, amefanya mkutano na viongozi wa nchi tano za Afrika, Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal katika Ikulu ya White House. Mkutano huo uliandaliwa kujadili masuala ya biashara, ushirikiano, usalama na uwekezaji wa kiuchumi kati ya Marekani na bara la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…