mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mpasuko Mkubwa Zanzibar na Bara Mkutano wa 12 wa Waendesha Ofisi

    Tbc wako live Ngurudoto Arusha. Washiriki wametengeneza kambi mbili ya Zanzibar na Tanganyika. Tayari kwa mtu wa kawaida anayetizama sasa hivi atajionea. Waimbaji,watumbuizaji wanachangamkiwa kwa kutizama alikotokea! Hata watoa hoja wanashangiliwa kuzingatia upande. Ni hatari kubwa tunakoenda...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Viwanda na Biashara 2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=z6ar2o298sA Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 jijini Dodoma leo Mei 14, 2025. Wabunge wanachangia mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara hiyo iliyoomba...
  3. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 23, leo Mei 13, 2025

    https://www.youtube.com/live/WU3d6tBkzxg
  4. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye China imeshinda vita vya ushuru dhidi ya Marekani. Mkutano uliofanyika Geneva kati ya mataifa hayo mawili lilikuwa ni ombi la Marekani

    “All imperialists are nothing but paper tigers.” - Mao Zedong Dunia itakumbuka jinsi siku ya Ijumaa 4, April, 2025 Trump alivyopandwa na wazimu. Na kuongeza ushuru kwa kila taifa duniani hadi visiwa vya Herd na McDonalds vya bara la Antarctica wanapoishi Penguins tu. Siku hiyo kwa tambo na...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri awasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa Mwaka 2025/26

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Mei 12, 2025 Jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inasomwa na kujadiliwa. https://www.youtube.com/watch?v=0TXxs_4iZg0 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewasilisha ombi...
  6. JamiiForums Tanzania Nimewakuta wasukuma kwenye mkutano fulani wakisalimiana 'Nyooo lefomu' na kuitikia 'Nyooo losheni'. Kazi ipo kubwa kwa haw wachunga ng'ombe

    Kweli hii kampeni ya 'no reform no election' ni wa wazungu wa EU wenye malengo wanayoyajua wenyewe. Unatumia lugha yao ambayo huku usukumani wanayaimba kama kasuku na kuyatamuka kwa lugha yao ya kisukuma. Bado nahangaika ku upload hapa hiyo video clip niliyopiga ya mkutano huo wa wasukuma...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiona kwenye mkutano wamejaa wanaume!! Ogopa sana

    Kwenye mikutano mingi ya kisiasa wanawake na watoto hususani wanafunzi huwa ndo wengi zaidi huku ni nadra kukuta kundi kubwa namna hii la wanaume CCM na serikali yake wana la kujifunza hapa, watu wanatembea kwa miguu wengine umbali wa zaidi ya kilometa mbili, Hawajasombwa kwa magari au maroli...
  8. JamiiForums Tanzania Balozi Mbundi aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Afrika Mashariki

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen P. Mbundi leo tarehe 8 Mei, 2025 ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  9. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 21, leo Mei 9, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=fnOK-Jm5gpE
  10. JamiiForums Tanzania Tanzanite CEO Roundtable - Zanzibar Chapter yazindua Mkutano wa kwanza wa Sheria za kazi Zanzibar

    Zanzibar leo Mei 8, 2025, imeweka historia ya kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa kwanza wa Sheria za kazi, Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya Tanzanite CEO Roundtable - Zanzibar Chapter kwa kushirikiana na Kamisheni ya Kazi Zanzibar (ZLC), mkutano huo wa siku moja umefanyika katika Ukumbi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki kikamilifu mkutano wa mazingira duniani nchini Denmark

    TANZANIA YASHIRIKI KIKAMILIFU MKUTANO WA MAZINGIRA DUNIANI NCHINI DENMARK Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira duniani unaofanyika tarehe kuanzia leo tarehe 7 hadi 8 Mei, 2025, jijini Copenhagen nchini Denmark...
  12. JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 18 Mei 6, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 18 Mei 6, 2025 https://www.youtube.com/live/jisddABy9Sw?si=ZPv7ivAftZBx_pFm
  13. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shabani anazungumza na Wanahabari, Mei 5, 2025

    https://www.youtube.com/live/EV0n0sLG1Zs?si=A_fxrMIQec4ggyrP Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani ameeleza kusikitishwa kwake na kauli ya Mkuu...
  14. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Uhuru wa Kitaaluma ( Academic Freedom) UDSM 29/4-2/5

    Wasomi wa Mlimani toka tarehe 29/04-02/05 Wana Mkutano wa kitaaluma wanajadili Uhuru wa Kitaaluma (Academic Freedom) ingawa wenyewe wamefungwa kwenye minyonyoro ya utumwa wa fikra na uchawa
  15. JamiiForums Tanzania Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 29, 2025 Jijini Dodoma

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 29, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa Fedha 2025/2026...
  16. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 12, Aprili 25, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=LEZweMHSLdU&pp=0gcJCYQJAYcqIYzv
  17. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Kumi, Aprili 23, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 23, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa leo. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chalamila: Kariakoo ni eneo la biashara siyo sehemu ya kufanyia mikutano ya hadhara

    Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa...
  19. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Tisa, Aprili 22, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 22, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais...
  20. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Nane, tarehe 17 Aprili 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 17, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…