mkutano mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bombambili Songea: Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF). Mgeni Rasmi ni KM wa CCM Taifa, Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Wanabodi Mimi mwanabodi mwenze ambaye ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, pia ni mhariri na mwanachama wa Jukwaa la Wahariri, TEF, niko hapa ukumbi wa Bombambili Songea, mkoani Ruvuma, kuwaletea live ya Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF...
  2. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM Vyuo na Vyuo Vikuu kufanya Mkutano Mkuu maalum Machi 16, Dodoma

    Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg. Mohammed Ali Kawaida inatarajia kufanya Mkutano mkuu maalum wa UVCCM Vyuo na Vyuo vikuu utakaokutanisha Viongozi wote wa mikoa yote wa vyuo na vyuo...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimetoa mikeka mingi ya mabadiliko, natafuta watakaosimama na Serikali

    Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wa 39 Ukumbi wa Jakaya Kikwete -Dodoma Machi 11, 2025. https://www.youtube.com/live/InZNLiUNiCU?si=g75Xu8EoJy6IoBRc Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema katika kutafuta ufanisi wa utendaji kazi...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakay

    Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma

    Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Mwaka wa ALAT Machi 11, 2025

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Mwaka wa Mamlaka ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) utakaofanyika Machi 11-12, 2025 jijini Dodoma katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa ALAT Taifa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa uchaguzi wa askofu dayosisi ya mwanga Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania kufanyika machi 10, 2025, mrithi wa sendoro kupatikana

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kiswahili: Mwanga. Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) inatarajia kufanya mkutano mkuu maalumu wa uchaguzi, Machi 10, 2025, ili kumpata mrithi wa aliyekuwa askofu wa Dayosisi hiyo, Chediel Sendoro...
  9. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania TCRA HESHIMUNI HAKI ZA WAALIKWA MLIWAALIKA MKUTANO MKUU WA DODOMA

    Mamlaka ya Mwasiliano acheni ubabaishaji fanyeni malipo ya washiriki waliofika dodoma kwenye mkutano mkuu wa vyombo vya habari mliufanya Dodoma kitendo cha kutowalipa washiriki mpaka sasa toka siku ya tukio kumalizika ni jambo ajabu sana sio heshima wapo watu walitoka mbali wakatumia gharama zao...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki Maswa, 16 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif, ameshiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki uliofanyika katika Uwanja wa Ngunzo Nane, Maswa...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi asema Fitina zilikuwa zimeshaanza kuingia wagombea urais CCM, Mkutano mkuu ulimaliza kazi yake akisisitiza vyama vingine hayawahusu

    "Tumekuja mbele yenu kutoa shukrani kwa wajumbe wa mkutano mkuu kwa uamuzi ule ambao ulikuwa ni wa busara sana, sasa wapo wa vyama vingine ambao kwakweli wao hayawahusu wanaingilia utaratibu wa chama cha mapinduzi, tunasema haya hayawahusu wanaCCM waliamua kwa makusudi na walikuwa na sababu za...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?.

    Kama Uchaguzi ni mbele huko, lakini tumeona na kusikia habari za utekaji, Upoteaji , Mauaji , matukio yanayoashiria kukosekana Kwa ustahimilivu na uvumilivu wa Kisiasa. Vipi miezi Kadhaa kuelekea uchaguzi ? Wakati ambao CDM mpya inarudi kua Ile ya 2010, sio kwamba Dola imeburuzwa na kuingia...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba ya CCM: Malengo ya CCM, Nguvu za CCM, Vikao vya CCM, na Mamlaka ya Mkutano Mkuu wa CCM, Uamuzi Wake ni wa Mwisho!, Final & Conclusive!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Kwa vile huu ni mwaka wa Uchaguzi, na mimi mwandishi wako wa makala hizi, zaidi ya kuwa ni mwandishi na mtangazaji wa kujitegemea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, na kwa muda mrefu, nimeandika sana kuhusu katiba ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM: Mkutano Mkuu wa CCM hauna mamlaka ya kuvunja kanuni zake

    Habari ndio hio! https://youtu.be/50jLdDcptGc Mwingine huyu(Kijana Mzalendo) ndio kabisa kawavua nguo na anasema wanatakiwa warudie na kwamba kuna fukuto kubwa. Kaongea mengi sana huyu bwana ikiwemo kutafuta wadhamini bara na visiwani jambo ambalo halikufanyika. Mimi mwenyewe sio...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Nini Maana ya Kamati Kuu, Halmashauri Kuu, Sekretarieti, Mkutano Mkuu?

    Haya maneno yamekuwa yakisikika sana midomoni mwa Wanasiasa wakubwa na wadogo. Kuna mahali watu wanayachanganya wengine kwa kujua na kutokujua. Wadau wa siasa za Tanzani tujitokeze hapa angalau kwa kundi Mhhimu la.Wanajamii forums na wasomaji wake tuweze kuelewa mambo haya kwa kiasi cha...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Leo wajumbe wa mkutano mkuu CHADEMA msifanye kosa la kukirudisha chama kwenye siku za uanaharakati

    Lissu hajaweza na hataweza kutoka kwenye hulka yake ya uanaharakati (activism). Hii ni hali ya chini kisiasa au utoto wa kisiasa. CHADEMA chini ya Mbowe kilishavuka hatua hiyo kitambo sana. Lissu ataivuruga CDM kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kukosa uzoefu na uvumilivu kwa wanachama...
  17. P

    JamiiForums Tanzania WIMBOMPYA: Hili ni Bonge la Wimbo wa Kuwanadi Lissu na Heche kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu, sikiliza hiki kipaji TOT wakasome

    https://youtu.be/mPmjrS_HcYk?si=9ZuRb3PSprgMakCN Wajumbe sikilizeni huu Wimbo kwa makini sana hakika Watanzania wanataka mabadiliko 2025
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema amtaka Lissu atoke katika vikao vya Baraza Kuu aende Makao Makuu ya Chama

    Kaka , toka hapo Baraza Kuu. Nenda Makao Makuu ya Chama , kuna malalamiko ya watu wengi wanaweza kukosa vitambulisho ! Mod hii ipo account yake ya twitter katembeeleni. Swali. Kama Lissu anaendeshwa hivi na Lema. Mwenyekiti ataumudu?
  19. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wajumbe mkutano mkuu CHADEMA wapokea bahasha nono, Mbowe mitano tena

    Wasalaam, Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague Mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua...
  20. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa rafu nilizoziona za Chama cha Mapinduzi kwenye mkutano mkuu itoshe kusema Lissu ni tishio kwa chama kile hivyo hawezi kushinda uchaguzi

    Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
Back
Top Bottom