Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi.
Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
Mwenyekiti wa Chama cha United Democratic Party (UDP), John Cheyo leo Jumatatu Agosti 11, 2025, amehudhuria mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika katika Ukumbi wa Lulu, Sinza, jijini Dar es Salaam, licha ya changamoto za kiafya zinazomkabili kwa muda mrefu.
Cheyo, maarufu Mzee Mapesa...
https://www.youtube.com/watch?v=WyoacouIms0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango anafungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 Shule ya Polisi Tanzani- Moshi.
Maafisa mbalimbali wakiwasili katika Viwanja vya...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, leo Agosti 11 atafungua mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi.
Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime, amesema kuwa mkutano huo utafunguliwa Agosti 11 na utafanyika hadi Agosti 15, 2025 na...
Asilimia kubwa ya Waliokuwa Viongozi katika kipindi cha Mbowe (alipokuwa CHADEMA) wamehamia CHAUMMA.
Viongozi hao wamekuwa wanamuomba Mbowe ajiunge nao. Pia zimekuwepo tetesi kwamba anatakiwa kuhamia CHAUMMA.
Hata hivyo ameweza kudhami Mkutano huo Mkuu unaoendelea Dar Es Salaam.
Baada ya...
Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya Mkutano Mkuu wake wa Taifa kwa njia ya mtandao, kikihusisha takriban wajumbe 2,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Taarifa kutoka ndani ya chama zinadai kuwa huu ni mkutano wa kwanza barani Afrika wa aina hiyo kufanywa kwa njia ya...
Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025
https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ
Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa...
Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.
Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu...
Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
Na ndio maana mkutano mkuu maalumu wa CCM pale makao makuu Dodoma mapema mwaka huu2025, uliamua, ukaridhia na kuidhinisha mabadiliko ya katiba ya CCM bila tatizo lolote na vile vile mkutano mkuu huo huo wa CCM taifa, ukajadili, ukaamua, ukaridhia mapendekezo ya wajumbe wa mkutano mkuu huo wa...
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la kukivuruga chama.
Mgeja alisema hayo tarehe 21 Julai 2025 wakati akitoa maoni yake kuhusu kauli ya...
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
MKUTANO MKUU ULIKUWA HALALI KIKATIBA
Mkutano mkuu Halali ni lazima uitishwe na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, ni lazima Akidi itimie ya wajumbe halali zaidi ya nusu kuhudhuria lakini taratibu zote kufuatwa.
Mkutano ule wa January 18 na 19 January uliompitisha Rais Samia kuwa mgombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.