mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkurugenzi wa INEC, Ramadhani Kailima aongoza kikao cha kupanga ratiba za kampeni za vyama

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, akizungumza na Wawakilishi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za kampeni zinazotarajiwa kufanyika nchi nzima kuanzia Agosti 28, 2025 hadi Oktoba 28, 2025. Kikao hicho...
  2. R

    GE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEC apitishwa na CCM kugombea Ubunge

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la Butiama. Soma pia GE2025 - Aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi kipindi cha...
  3. Hivi Magufuli aliwahi kumfunga Mkurugenzi yoyote kwa ufisadi? Serikali ya Samia yamfunga miaka 22 Mkurugenzi kwa ufisadi

    Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa, Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio hukusanya ushahidi, kuandaa mashahidi, na kufungua kesi ni watu instrumental kwa mhalifu kufungwa au...
  4. Mkurugenzi Kigoma Jela miaka 22 kwa ufisadi

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha. Hukumu hiyo...
  5. Serikali ikanushe taarifa za taharuki kuhusu mkurugenzi wetu wa idara ya Usalama wa Taifa

    Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu. By Ponjoro wa Kinondoni Kwasasa safarini kizimkazi.
  6. Je Nani atafuata kuwa mkurugenzi wa TISS?

    Wamepita wakurugenzi wengi ndani ya idara Lakini tukumbuke mwaka huu ni wa uchaguzi na Mambo yanaweza kubadilika kabla au baada ya uchaguzi je Nani kuwa kuwa mkurugenzi mpya wa TISS baada ya Mombo?
  7. Tanzania ndo nchi ya ajabu unakutana na mchungaji anajitapa alikuwa jambazi,ona Sasa TRC Ina hasara Bilioni 234 alafu mkurugenzi wake amepitishwa kugo

    Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu enzi hizo kabla ya kuokoka. Kama ilo halitoshi, unashangazwa zaidi mtu aliteuliwa na Rais akawa...
  8. R

    GE2025 Mkurugenzi wa Mbarali, Steven Katemba azuiwa kuchomekea maneno ya Kisiasa msibani kwa Padre Vitalis Bamuhiga

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Steven Katemba, alipewa heshima ya kutoa salamu za rambirambi wakati wa ibada ya mazishi ya Padre Vitalis Bamuhiga wa Jimbo Katoliki la Kayanga. Hata hivyo, baada ya kutoa salamu, alijaribu kuzungumzia masuala ya kisiasa, kinyume na msimamo wa...
  9. Mh. Rais Angalia Unaharibiwa na Mkurugenzi wa Wilaya, Mkoa, Hii Mbaya Sana.

    Moja kwa moja kwenye mada. Zilipotoka ajira za walimu wapya, tayari serikali ilishapiga hesabu na kutoa fungu ambalo lilipelekwa moja kwa moja eneo husika wilaya au mkoa. Baadaye vijana wetu wameitwa kwenye mkoa husika ili wapeleke makaratasi yenye taarifa zao kwa ajili ya uhakiki. Makosa au...
  10. TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

    Rest in peace Dr Hassy Kitine—the former Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (1978-1980). Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayesimamia Usalama wa Taifa, Dr. Hassy (Hassan) Kitine amefariki dunia...
  11. Waziri wa maji na mkurugenzi wa mamlaka ya maji halmashauri ya mji wa Bunda huyu askari anawasaidia au anawahujumu kwenye hii operation?

    Kwanza nitoe pongezi za dhati kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuunda kikosi kazi kinachoshughulikia kero za wanufaika wa huduma ya maji,hapa namaanisha wateja waliounganishiwa huduma ya maji.Baadhi ya kero ni kama uhalali wa bili,miundombinu nk Kikosi kazi hiki kinaundwa...
  12. Mkurugenzi Manispaa ya Songea akabidhi eneo la Mradi wa Ujenzi wa Soko la Sh Bilioni 22.9 - Manzese A na B

    Machi 28, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com aliwasilisha andiko lake akilalamikia changamoto ya Miundombinu ya soko la Bombambili kwa kueleza Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya Alisema Soko la Bombambili ambapo ndipo Wafanyabiashara walipohamishiwa...
  13. Mkurugenzi Manispaa ya Moshi unafunga biashara za watu soko la Mbuyuni kwa nini?

    nina dakika chache za kuwa hapa lakini namtumia salama tu Mkurugenzi Manispaa ya Moshi,Mwajuma Nasombe aache kufungia biashara za watu soko la Mbuyuni. Wafanyabaishara hawa walipatwa na mkasa wa kuulinguliwa soko mara mbili,mwaka 2022 na mwaka jana wameingia hasara kubwa za kupoteza mali zao...
  14. PreGE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC Mhandisi Dkt. Gwamaka Mafwenga Achukua fomu kutia nia ubunge jimbo la Rungwe

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Kada wa muda mrefu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhandisi Dkt. Gwamaka Samwel Mafwenga leo, Jumamosi Juni 28.2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge wa jimbo la Rungwe...
  15. A

    Kisa ubunge 2025 wenye nia ovu waanza kumchafua Mkurugenzi wa Msama promotion!

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amewataka Watanzania kutozitilia maanani na kuzipuuza habari zinazosambaa mitandaoni kwamba, amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam. Msama amesema hayo leo jijini Dar es Salam kuwa kuna baadhi ya watu wenye...
  16. Nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP?

    Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS. Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP? Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ? Wanasheria nielewesheni!!
  17. Mkurugenzi Mpya TRC- Anza na kuondoa ujinga wa Stesheni ya Dodoma kujaza watu kama wanyama sehemu ya kupandia abiria

    Nakumbuka Mkuu wa mkoa na waziri Mchengerwa alishawahi kulalamika uzembe wa kupangilia abiria sehemu ya kusubiri kuingia kwenye treni ya SGR Inaonekana meneja wa SGR dodoma ana kiburi au uwezo mdogo Treni imeshakaa.mkao wa.kuondoka, bado abiria wanazuiwa kuingia mpaka zinabaki dk 10 ndio...
  18. RC Kagera: Naagiza Wabeba Mizigo Bandari ya Bukoba walipwe, Mkurugenzi aje na fedha, asipokuja nazo nitamuweka ndani

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa ameipa siku mbili Kampuni ya IFS Consulting Limited ambayo ilipewa tenda na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ya kupakia na kushusha mizigo, kuwalipa fedha wabeba mizigo malipo yao wanayodai ya wiki Tisa katika Bandari ya Bukoba Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
  19. S

    Ushahidi kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru kuhusu tuhuma za wanafunzi kusahihishiana mitihani S/M Kimandafu

    Ndugu mkurugenzi napenda kukutaarifu kama mtanzania mzalendo na mwenye wivu mkubwa na ubora wa elimu yetu niliandika kupitia mtandao huu wa Jamii Forums juu ya matendo yasiyofaa yanayofanyika ktk shule ya msingi Kimandafu iliyoko ndani ya halmashauri ya wilaya ya Meru unayoiongoza hivi sasa...
  20. F

    Mkurugenzi Mtendaji - mke anahitajika

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. Mkurugenzi Mtendaji (mke na sio mwanamke) anahitajika. KITUO CHA KAZI: MBEYA MJINI Sifa za muombaji: 1. Awe na nia ya kazi anayoiomba sio kujaribu. 2. Umri miaka 25 hadi 33. 3. Asiwe na mtoto 4. Matured enough 5. Mwenye hofu ya Mungu 6. Aanzie elimu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…