mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali yakana kupokea barua ya Mkurugenzi Jatu kukiri Mashtaka

    Upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33) umeileza mahakama kuwa bado haujapata barua ya mshtakiwa huyo kuomba kufanya majadiliano na makubaliano na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kukiri mashtaka yanayomkabili. Gesaya...
  2. Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo kutoka Wizarani Prof. Herzon Nonga nijibu swali langu

    Nikuulize swali Profesa, Umesema Tanzania inaagiza tani 68.7 Za nyama ya Kitimoto kwa mwaka. Hiyo kitimoto mnaagiza kutoka nchi gani? Je, Zanzibar na Pemba ni Sehemu ya Tanzania, walipokea tani ngapi za hiyo nyama ya Kitimoto?
  3. DOKEZO Yusuph Kitumbo mkurugenzi KITAYOSCE Anayetoa rushwa michezoni kwa kurubuni wachezaji. TFF Chukua hatua

    Yusuf Kitumbo ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka cha Mkoa wa Tabora ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora kwa mara nyingine yupo katikati ya tuhuma za rushwa na kupanga matokeo kwa ligi daraja la kwanza. Alifungiwa mwaka 2016 na utawala wa Jamal Malinzi kwa kupanga...
  4. F

    Tetesi: Mtangazaji Salim Kikeke anarudi nyumbani Kuwa Mkurugenzi Azam Media

    Wakuu mpo poa? Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu. Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
  5. Anayejua ilipofikia kesi ya Uhujumu Uchumi iliyomkabili Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke atuambie

    Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, alitimuliwa kwenye kazi hiyo na kushitakiwa Mahakamani kwa Uhujumu uchumi, ambako aliachiwa kwa dhamana huku kesi yake ikipangiwa tarehe nyingine. Tangu hapo hatujawahi kusikia tena kama kesi hiyo iliendelea popote , Je na yeye...
  6. Shigongo aomba Bunge limpe kinga ya Katiba Mkurugenzi wa PCCB

    Eric Shigongo Mbunge wa Buchosa, amesema Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) amewekewa kinga ya kustaafu kazi yake atakapotimiza umri wa miaka 60, ila anashangaa kwa nini Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) hana kinga yoyote kwenye Katiba ya Jamhuri ya...
  7. Mkurugenzi wa JATU PLC aomba kukiri Makosa kwa DPP

    Peter Gasaya (33) anayekabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kujipatia Tsh. Bilioni 5.1 kwa njia ya udanganyifu, amemwandika Mkurugenzi wa Mashitaka Tanzania (DPP) barua ya kukiri na kuomba apunguziwe adhabu. Gasaya alishtakiwa kwa makosa ya kujipatia fedha hizo kutoka katika Saccos ya JATU...
  8. Sifa (qualifications) za kuwa mkurugenzi (director) na secretary wa kampuni

    1: QUALIFICATIONS ZA KUWA MKURUGENZI WA KAMPUNI (DIRECTOR): Sifa (qualifications) za kuwa director wa kampuni zinapatikana kwenye Sheria ya Makampuni ya Tanzania (the Companies Act), ya mwaka 2002. Ukisoma kifungu cha 194. (i): Kwanza ni kigezo cha umri: Je, director anatakiwa kuwa na umri...
  9. Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama alazwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

    Mkurugenzi wa Msama Promotions na muandaaji wa Matamasha ya Injili nchini ambaye ni mdau mkubwa wa maendeleo ya sanaa Alex Msama amelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) akisumbuliwa na maradhi. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Mkurugenzi huyo amesema siku chache baada ya kumalizika...
  10. Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Sekiete Selemani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili, 2023. IKUMBUKWE KUWA: Mwanzoni mwa mwaka Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'alimshtaki' Mkurugenzi huyo kwa...
  11. J

    Aweso afanya mabadiliko Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Korogwe, asisitiza utatuzi wa changamoto ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo kwa Ziara ya kikazi akiwa na lengo la kutatua changamoto mbalimbali na kufuatilia hali ya Utekelezaji wa Miradi ya Maji na hali ya utoaji wa huduma ya Maji eneo...
  12. K

    Hongera kwa Mkurugenzi Mkuu na Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando

    Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center. Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi. Mimi binafsi...
  13. M

    DOKEZO Rais tuokoe Wananchi wako wa Dodoma Jiji juu ya dhuluma hii ya Mkurugenzi Jiji. Mkuu wa wilaya kashindwa

    Kichwa cha habari cha jitosheleza. Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali. Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na...
  14. Kwa aliyoyasema Rais Samia kuhusu ATCL, ni vyema Mkurugenzi akajiuzulu mapema kabla hajatumbuliwa

    Leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku...
  15. Upelelezi kesi ya Mkurugenzi Jatu wakamilika

    Upande wa mashtaka wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwa upelelele wa kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kiasi cha Sh5.1 bilioni, inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JATU PLC, Peter Gasaya (32) umekamilika. Wakili wa Serikali, Jaribu Bahati ameieleza Mahakama...
  16. Naibu Waziri wa Maji atoa wiki 2 kwa mkurugenzi, Rais Samia apigilia msumari ''hi kero nisiikute''

    ENG. MARYPRISCA MAHUNDI - NAIBU WAZIRI WA MAJI ATOA WIKI 2 KWA MKURUGENZI, RAIS SAMIA APIGILIA MSUMARI ''HI KERO NISIIKUTE'' Mhe. Eng. Mahundi akiwa Usa River Ausha amesema kuwa Wizara ya Maji imepeleka neema ya miradi ya Maji ili kutimiza dhamira njema ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  17. Upelelezi kesi aliyekuwa mkurugenzi TPA wakamilika

    Upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA), Madeni Kipande na wenzake umedai kuwa upelelezi umekamilika na wapo kwenye hatua ya kuwasilisha nyaraka katika Mahakama Kuu. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la...
  18. Mahakama yagoma kubadili masharti ya Dhamana ya Mkurugenzi wa JATU

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali maombi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JATU PLC, Peter Gasaya aliyotaka apunguziwe masharti ya dhamana ili aweze kudhaminiwa. Gusaya anakabiliwa na shtaka moja la kujipatia Sh 5.1bilioni kutoka katika Saccos ya JATU kwa madai kuwa fedha...
  19. Dkt. Tulia: Viongozi walioapa akiwemo Mkurugenzi wa Uchaguzi wasome na kuelewa Ilani ya CCM ili kumuunga mkono Rais

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 27 Februari, 2023 Dr. Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amewaasa viongozi wote walioapa leo akiwemo Mkurugenzi wa Tume...
  20. DOKEZO Viongozi wa Halmashauri ya Mji Masasi ni tatizo, Mkurugenzi huyu anawaonea watu

    Mimi nina jambo natamani kuchangia lijulikane kwa umma, imekuwa ni kawaida sana kwa Watumishi wa Serikali hasa katika Halmashauri ya Mji Masasi kuwahudumia Wananchi hovyo na kwa uonevu. Inapotokea mwananchi akaenda kwa Mkurugenzi wengine wanatushiwa hadi kuwekwa ndani ilimradi tu Mkuu awalinde...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…