mkurugenzi mtendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, afariki dunia akiwa gerezani

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, amefariki dunia akiwa gerezani wakati akitumikia kifungo chake. Kwa mujibu wa taarifa hizo, Gunzah alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya rushwa na matumizi mabaya...
  2. Roving Journalist

    TANESCO: Tuliona tunasumbuana na Mkandarasi wa Mradi wa Imalilo tumeamua kuuendeleza na Wataalam wa ndani

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme inayotekelezwa Mkoani Simiyu kwa lengo la kujionea maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa Kituo cha Kupokea na...
  3. Blasio Kachuchu

    Mkurugenzi Mtendaji Wa Benki ya CRDB Atembelea Matawi na Kukutana Na Wateja

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela ameendelea na ziara zake katika baadhi ya matawi ya jijini Dar es Salaam kukutana na wateja ikiwa ni siku chache baada ya Benki kukamilisha maboresho makubwa ya mfumo wake mkuu wa utoaji huduma (Core Banking System). Akiwa katika tawi la...
  4. Maxence Melo

    Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu...
  5. PAYE

    GE2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Standard Radio FM achukua fomu ya Ubunge Buhigwe

    Mkurugenzi Mtendaji wa Standard Voice Limited ambayo inamiliki Standard Radio FM, James Japhet Daud amechukua 'Form' kuwania Ubunge Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma.
  6. Just Pray

    Dkt. Delilah Charles Kimambo ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Delilah Kimambo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Kwa taaluma, Dkt. Kimambo ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo, na anachukua nafasi ya Profesa Mohamed Janabi ambaye alichaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani...
  7. S

    Ushahidi kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru kuhusu tuhuma za wanafunzi kusahihishiana mitihani S/M Kimandafu

    Ndugu mkurugenzi napenda kukutaarifu kama mtanzania mzalendo na mwenye wivu mkubwa na ubora wa elimu yetu niliandika kupitia mtandao huu wa Jamii Forums juu ya matendo yasiyofaa yanayofanyika ktk shule ya msingi Kimandafu iliyoko ndani ya halmashauri ya wilaya ya Meru unayoiongoza hivi sasa...
  8. F

    Mkurugenzi Mtendaji - mke anahitajika

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. Mkurugenzi Mtendaji (mke na sio mwanamke) anahitajika. KITUO CHA KAZI: MBEYA MJINI Sifa za muombaji: 1. Awe na nia ya kazi anayoiomba sio kujaribu. 2. Umri miaka 25 hadi 33. 3. Asiwe na mtoto 4. Matured enough 5. Mwenye hofu ya Mungu 6. Aanzie elimu ya...
  9. S

    Busega: Mvutano mkali waibuka kati ya mwakilishi wa CHAKUHAWATA na mkurugenzi mtendaji bwana Maiko R.Kachoma

    Licha ya maelekezo kutoka serikalini yanayomtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, ndugu Maiko Richard Kachoma, kutekeleza sheria zinazohakikisha uhuru wa mtumishi kujiunga na chama cha wafanyakazi cha uchaguzi wake, bado ameendelea kukaidi maagizo haya kwa takribani mwaka...
  10. Titho Dyakiye Philemon

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) Ndugu Solomon O. Kimilike, Msalaba Mzito kwa Maendeleo ya Halmashauri yetu ya Ngara

    Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
  11. Titho Dyakiye Philemon

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Ndugu Solomon O. Kimilike, Msalaba Mzito kwa Maendeleo ya Halmashauri ya Ngara

    Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
  12. Tlaatlaah

    Prof. Mohamed Janabi ana nafasi kubwa zaidi ya kuchaguliwa kua mkurugenzi mtendaji wa who kanada ya Afrika

    Licha ya kua ana sifa zote, vigezo na masharti tajika ya kitaaluma kulingana wajibu anaoelekea kuutwaa, uzoefu usio na shaka wa Prof.Janabi katika kazi za kada ya Afya kitaifa na kimataifa ni wa kuaminika. Lakini pia umahiri, bidii na ubobevu wake katika masuala ya tiba na tafiti mbalimbali za...
  13. Dalton elijah

    TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Han Jong-Hee Amefariki Dunia

    Mkurugenzi Mtendaji Samsung Electronics Han Jong-Hee aAmefariki kutokana na mshtuko wa moyo siku ya Jumanne,hiini kulingana na msemaji wa kampuni kubwa ya teknolojia ya Korea Kusini. Han alikuwa na umri wa miaka 63. Alizaliwa mwaka wa 1962, Han alikuwa amesimamia biashara za kampuni hiyo za...
  14. The Palm Beach

    KERO Tabora yafurika harufu ya majitaka – Uongozi upo wapi?

    Sura ya mji wowote hujionesha kwenye maeneo makuu ya kibiashara (business center), soko kuu na stendi kuu ya mabasi... Kwa wakazi wa Tabora na wasafiri kama mimI mnaofika ktk mji huu wa Tabora mara kwa mara kwa njia ya barabara kwa kutumia usafiri wa bus, mnaweza kuthibitisha hili, kwamba...
  15. U

    Wasifu wa Dr. Peter Richard Kisenge Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya moyo ya jakaya kikwete JKCI

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka CV ya mhusika Mchana mwema • M.D -Dr. Peter Richard Kisenge -SUPER SPECIALIST • Registration No: 350 QUALIFICATION(S): • MD(2002) - Tumaini University Kcm College • M.MED - Internal Medicine)(2007) - •Tumaini University Kcm College • MSc - Cardiology (2011)...
  16. Roving Journalist

    Responded Mkurugenzi wa Halmashauri Songea: Watu 5,720 wamenufaika na TASAF - Songea kati yao waliohitimu ni 1,450

    Awali, Mdau wa JamiiForums.com alilalamikia utendaji kazi wa TASAF Wilaya ya Songea. Alidai Moja ya changamoto ambayo imekuwa ikitokea ni baadhi ya wahusika kuondoa wanufaika kwenye mfumo kwa vigezo kwamba anajimudu kiuchumi, jambo ambalo halina ukweli. Mdau aliongeza kwamba, Kuna watu ambao...
  17. Nyani Ngabu

    Mkurugenzi mtendaji wa UnitedHealthcare auliwa nje ya hoteli Midtown Manhattan

    https://youtu.be/NM2hAO4p8IU?si=6YELos-i_A88ekRw Inavyosemekana mauajj yametokea mapema asubuhi mishale ya saa 12 na dakika 45 nje ya hoteli ya Hilton. Huyo CEO ni Brian Thompson. Inavyoelekea mauaji hayo ni kuwindwa. Jamaa alipomaliza mauaji yake akapanda ki baskeli cha umeme na kutokomea...
  18. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia: Sisi ni Watumishi wa Wananchi na si Mabwana wala Watawala wa Wananchi

    https://www.youtube.com/watch?v=i0jHmbJVjS4 Akizungumza wakati anazindua jengo la ofisi y mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Rais Samia amewataka viongozi wa Halmashauri hiyo kutumia jengo hilo kurahisisha kufanya kazi zao kwa sababu miundombinu ni mizuri na pia aliwataka watumishi...
  19. Waufukweni

    Mkurugenzi Mtendaji wa Man United: Ten Hag ndiye kocha sahihi kwetu na tunamuunga mkono kikamilifu kwa 100%

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manchester United Omar Berrada anasema kocha Erik ten Hag anaungwa mkono kikamilifu na klabu hiyo na ana amini kuwa ndiye kocha atakayewapa mafanikio ya muda mrefu. "Tunafikiri Erik Ten Hag ndiye kocha sahihi kwetu na tunamuunga mkono kikamilifu kwa 100%". United...
  20. Ritz

    Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port Golber ametangaza kuwa kazi katika bandari ya Eilat imesimama kabisa

    Wanaukumbi. Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port: "Operesheni zimesimama kabisa katika Bandari ya Eilat kutokana na meli kushindwa kupita upande wowote kufika bandarini." https://x.com/suppressednws/status/1815004127891423470?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Back
Top Bottom