mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Msiba mkubwa kwa wafanyabiashara walio wengi

    Katika biashara, si kila anayepita anaweza kuwa mteja wako. Kama hujawahi kukaa chini na kufahamu ni nani hasa anayehitaji bidhaa au huduma yako unaendesha biashara kwa kubahatisha. Na bahati mbaya haijawahi kuwa mkakati wa mafanikio. 1. Fahamu Mahitaji ya Wateja Wako Kabla hujatangaza au kuuza...
  2. Simba SC mlituambia kuwa Elie Mpanzu ana Miaka 22 sasa ila leo katupia Picha yake akiwa na Mwanae mkubwa wa Kiume na Wajukuu Wawili

    Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika Propaganda (Kudanganya) Mashabiki. Mlisema kuwa Mchezaji Elie Mpanzu ndiyo Kwanza sijui ana Umri wa...
  3. Msoga, kijiji maarufu kinachompa jeuri bi mkubwa.

    Wakuu, Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua. Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima haraka sana akimbilie kijiji kile. Ukileta dharau dhidi ya kijiji kile ni ngumu sana wewe kutoboa...
  4. Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

    Ni kweli! Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara Inashangaza...
  5. Huyu jamaa huenda ana umri mkubwa kuliko mzee Majaliwa

    Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba. Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako.
  6. Usiku ule ulikuwa mkubwa na mzito sana kwetu.Tukio lililoacha kumbukumbu nzito maisha mwangu

    Mapendo Daima. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa na umri wa miaka 10 Famili yetu ilipatwa na tukio kubwa lenye kuacha historia kubwa sana. Tukio la kinyama ambalo daima tulikuwa tuna sikia tu kwa wengine. Majira ya saa12 jioni jua likielekea kuzama nikiwa mimi na wadogo zangu wa3 tukirudisha...
  7. Q

    Nauza Friji, Mtungi wa gesi mkubwa na Jiko.

    🧊 Friji zuri - Tsh 120,000 πŸ”₯ Mtungi wa gesi (full) + jiko lake - Tsh 120,000 Viko katika hali nzuri kabisa. πŸ“ž Wasiliana nami kwa maelezo zaidi: 0685063688 πŸ“ Mahali: [Tegeta] Karibuni sana.
  8. Mkubwa kashtukia mchezo wa July - Sept, anawapukutisha Kama majani ya Kiangazi, bundi katua kwa taita

    Anawasifia mchana usiku anataka maini Yao Ila Israel mtoa roho! Naandika mimi sasa ✍🏻✍🏻✍🏻 Yeye Yule ambaye alitukanwa sana kwenye korido za Nyumba nyeupe mithiri ya Meli, pale kwenye Shombo, sasa akawa mwenyewe. Anafanya kulipiza kisasi kuanzia ameshika hatamu akamuwajibisha aliyeonya SIGARA...
  9. Nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP?

    Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS. Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP? Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ? Wanasheria nielewesheni!!
  10. Mtu anayesema tusirudie kuchagua wabunge vilaza tena je huyu mtu anayeongea hivi na yeye ni kilaza mkubwa ambaye kaamua kujitoa ufahamu.

    Yaani kuna wanaJF ni vilaza Sana Mfano huyu jamaa anajiita Pascal Mayalla , anasema kuwa watanzania tusichague wabunge vilaza Kama ilivyokuwa 2020. Swali je mwaka 2020 sisi hao wabunge wananchi tuliwachagua au walipitishwa tu na Ccm?. Kwa kutumia Dola.?
  11. Policy Forum Breakfast Debate: Bomba la Mafuta la Uganda, EACOP,Ndio Mradi Mkubwa Kuliko yote Tanzania kwa Sana, Una Fursa Kibao!, WaTZ Tuuchangamkie

    Wanabodi, Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania...
  12. Alivyotendewa Tundu Lissu Ukonga ni Uvunjifu Mkubwa wa Ibara 13 ya Katiba

    Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu. Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu...
  13. Historia ya McDonald's: Safari Kutoka Mgahawa Mdogo Hadi Mnyororo Mkubwa wa Chakula Duniani

    McDonald's ilianzishwa mwaka 1940 na ndugu wawili, Richard na Maurice McDonald, waliokuwa wakijulikana kama Dick na Mac. Walifungua mgahawa wao wa kwanza huko San Bernardino, California, Marekani. Mwanzoni, walikuwa wanauza vyakula vya barbeque na walikuwa na menyu yenye zaidi ya aina 20 za...
  14. Historia ya McDonald's: Safari Kutoka Mgahawa Mdogo Hadi Mnyororo Mkubwa wa Chakula Duniani

    McDonald's ilianzishwa mwaka 1940 na ndugu wawili, Richard na Maurice McDonald, waliokuwa wakijulikana kama Dick na Mac. Walifungua mgahawa wao wa kwanza huko San Bernardino, California, Marekani. Mwanzoni, walikuwa wanauza vyakula vya barbeque na walikuwa na menyu yenye zaidi ya aina 20 za...
  15. Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo. Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !? Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
  16. Kuna umuhimu Mkubwa wa kuwa na ndoto kubwa sana

    Ni nani Leo angejua mtoto wa kimasikini kutoka Tandale angefanya Show Uingereza London na ticket kuwa sold out In this life everything is possible keep chasing ur dreams and don't give up.
  17. Mikopo na Mzigo Mkubwa wa Madeni Nchini Kwetu Tanzania: Wakati wa Uwajibikaji, Uwazi na Mpango Madhubuti wa Kulipa-100 Trillion

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni mpaka budget ya jana ikisomwa na Mh. Nchemba, mzigo wa madeni kwa taifa letu la Tanzania umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na cha kutisha. Takwimu za zilizotolewa hata jana zinaonyesha kuwa deni la taifa limevuka zaidi ya shilingi trilioni 100...
  18. Rais wa Yanga Hersi Said aitelekeza timu yake katikati ya mgogoro mkubwa

    Kawaida, kiongozi wa taasisi au hata wa nchi inapotokea kuna mgogoro mkubwa unaohitaji uangalizi wako wa karibu na haraka, unaacha unachofanya unarudi kuokoa jahazi. Tumeshuhudia marais hata wa Marekani wanasitisha ziara zao na kurudi kusimamia jambo la dharura hadi litakapokaa sawa. Cha...
  19. PreGE2025 Camillus Wambura: Jeshi la Polisi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi. "Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025...
  20. M

    Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X Linalodaiwa Kumkashifu Kiongozi Mkubwa

    Mwanaume mmoja aitwaye Albert Ojwang alifariki saa chache baada ya kukamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kutokana na chapisho alilodaiwa kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X. Ojwang alikamatwa Jumamosi mchana na polisi katika eneo la Kakot, Kaunti ya Homa Bay...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…