mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sanaa na wasanii, Mkubwa Fella unalilia wakati pesa zipo! Someni hapa

    Si ndani wala nje ya nchi ila wasanii wanaishi maisha ya sanaa. Marehemu ruge respect sana kwa kutuambia ogopa mungu na teknolojia. Hii ilikuwa mwaka 2021
  2. H

    JamiiForums Tanzania Utofauti mkubwa wa umri na dini

    Happy new year 2026 MMU. Kuna binti wa ki-islamu nimefikiria nianze kufanya mchakato wa kufikisha taarifa kwa wazazi wake kuhusu nia ya kutaka kumuoa binti yao. Hii ni baada ya penzi la mtu wangu wa muda mrefu kufa kabisa. kabla sijaamua kufikisha taarifa kwa wazazi wa huyu binti wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza pale mliposema kuwa Simbachawene ana uwezo mkubwa na Busara kuliko Mwigulu Nchemba

    Mlipomsifia tu kuwa Simbachawene anabusara na uwezo mkubwa wa kufanya shughuli za umma. Hapo ndipo yalianza matatizo
  4. JamiiForums Tanzania Dudubaya: Hata nisikie Mkubwa Fella amefariki, siwezi kwenda kumzika

    Jamaa anakuambia "You love I love You, You dont love Me I dont love You".
  5. JamiiForums Tanzania "Kuji-brand" ni kitu kinachowatafuna wasanii wengi kimyakimya na kuja kuumbuka vibaya kama mkubwa Fella

    "Kujibrand", "Kulinda brand" ni mambo yanayowaumiza wasanii wengi kimyakimya na baadae kuja kuumbuka vibaya mambo yanapowazidia. Wasanii wengi wanadhani "Branding" ni kuishi maisha feki ya kitapeli ili uonekane wa thamani huku ukiteketea ndani kwa ndani. Mkubwa Fella kwa sasa anaomba michango ya...
  6. JamiiForums Tanzania Dudu baya amjibu mkewe mkubwa Fela aliyelalamika kuwa mmewe ametengwa na wasanii baada ya kuwa mgonjwa mahututi

    Mapema wiki hii mke wa mkubwa Fela amelalamika kuwa wasanii ambao mkubwa Fela aliwasaidia Sasa hawapokei simu wala kutoa msaada, mkubwa Fela amekosa pesa za matibabu yupo hoi nyumbani kwake hana huduma wala msaada wowote Dudu baya amebainisha kuwa 1. Mkubwa Fela alifanya dhulumu nyingi na...
  7. JamiiForums Tanzania Mkubwa Fella marafiki wamemtenga baada ya kuugua

    Timu kataa NDOA, mmhhh haya, jamaa yetu anapiganiwa na mkewe, WAKUU NDOA SIO mbaya, SHIDA huanza unapo kosea kuchagua, HAPO NDO tatizo linapo tutafina vijana wengi, wkuangalia matrako, rangi, ujanja, uzuri nk, MKE WA fella kqnifurahisha SANA jinsi anvo pambana mumewe arudi barabarani kuendelea...
  8. JamiiForums Tanzania Ipo siku atakufa mwanasiasa mkubwa wa CCM na Watanzania watachinja ng'ombe na kusherehekea.

    Napata picha mbaya sana ya hii chuki. Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru. Leo hii askari polisi au MwanaCCM akipata ajali watu wanafurahia afe. Akifariki mwanaCCM au chawa wa CCM watu wanashangilia kifo ni kifo tu.
  9. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia kuuaga mwaka 2025 yazua mjadala. Aendelea kukebehi maelfu ya waliouawa. Yadaiwa si halisi, imetengenezwa kwa Akili Mnemba (AI)

    https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9 Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe 31/12/2025 masaa machache kabla ya kuingia mwaka mpya 2026 imezua balaa na mjadala makubwa kuhusu uhalisia...
  10. JamiiForums Tanzania Kuifuta CCM sio kuondoa matatizo ya taifa hili. Hiyo ni propaganda yenye uongo Mkubwa

    KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa chama cha mapinduzi( CCM ). Huo ni uongo mkubwa. 2. Wengine wanausema uongo huo kwa makusudi wakijua...
  11. JamiiForums Tanzania Nina mashaka sana na Mange Kimambi. Inabidi atazamwe kwa umakini mkubwa

    Sehemu ya kwanza (01) Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia . Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki...
  12. JamiiForums Tanzania Neno guys, si heshima kutumiwa na kiongozi mkubwa anayejiheshimu

    Guys ni kingereza fasaha lakini matumizi yake, na anavo tumia Fulani sio sahihi, guys tumia kwa vijana na lika la kawaida, wazee wetu kuwaita guyz ni kipimo Cha dharau na kuto jitambua, naomba ashauriwe, sio VIZURI, tumevumilia Sasa basi.
  13. JamiiForums Tanzania Zizini TV: Kwenye zizi la ng'ombe, Chui ndiye Mhubiri mkubwa wa "Amani na Utulivu"?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Anapaswa Kuwa Mtu Mwenye Maono Makubwa na Upeo Mkubwa Kiakili

    Samia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli. "Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Maelezo Yaliyotolewa na Malisa Ni Ya Uongo Na Uzushi Mkubwa. Wananchi Puuzeni Taarifa Hizo. Hali ya Usalama ni Shwari Kabisa

    Ndugu zangu Watanzania, Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya uongozi mahiri,shupavu ,madhubuti na Imara wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  16. JamiiForums Tanzania Uvunjaji mkubwa wa sheria, unaofanywa na mamlaka kwa kushirikiana na baadhi ya askari wapenda rushwa hauvumiliki na lazima ukomeshwe

    Uvunjaji mkubwa wa sheria, unaofanywa na mamlaka kwa kushirikiana na baadhi ya askari wapenda rushwa hauvumiliki na lazima ukomeshwe. Tunapinga vikali watu wote wanaofanya mauwaji na utekaji ambao kwa vyanzo vya kuaminika vinafanywa na vyombo vya usalama vikiongozwa na samia havikubariki na...
  17. JamiiForums Tanzania Mikoa 10 yenye uchumi mkubwa 2024; Mbeya yashika namba 3

    Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara kwa kuangalia pato ghafi la mikoa hadi 2024: 1. Dar es Salaam - Trilioni 34.8 2. Mwanza -Trilioni 14.6 3. Mbeya - Trilioni 11.6 4. Morogoro -Trilioni 9.8 5. Arusha - Trilioni 9.7 6. Tanga - Trilioni 9.5 7. Geita - Trilioni 9.3 8. Kilimanjaro - Trilioni 9.3 9...
  18. JamiiForums Tanzania Sikuwahi kufikiri kama Wanachuo wa UDSM wangefanya mzaha mkubwa kiasi, hii inaonesha dunia kuwa masihara ni sehemu ya maisha yao

    Sikuwahi kamwe kudhani kuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kingekubali Wanachuo wake waoneshe uma masihara makubwa ya kiasi hiki Masihara haya yataeleza dunia kuwa ni kiasi gani Chuo hiki hakina hadhi Wamejitokeza Wanachuo wa UDSM wakaunda toy nakuita Robot Kujaribu sio kosa bali ni mwanzo wa...
  19. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM mlikataa mabadiliko ya Katiba kwa umoja wenu mkiamini mnawakomoa CHADEMA, sasa msitupigie kelele

    Nakumbusha CCM mlikataa mabadiko ya katiba kwa umoja wenu mkiamini mnawakomoa CHADEMA, sasa msitupigie kelele mna mchango mkubwa kwa yaliyopo sasa Yaani nyuma ya pazia kelele ni nyingi sana za wana CCM tena nyingi kweli kweli wakati mabadiliko ya katiba waliyakataa wenyewe huko bungeni kwa...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Simbachawene ni presidential material, atunzwe na alindwe kwa wivu mkubwa

    Ukitulia vizuri ukachambua mambo ya siasa na wanasiasa kwa jicho la tatu, utagundua Tanzania ina uhaba wa wanasiasa wenye utulivu. Lakini kila nikimuona Simbachawene naiona future iliyo bora kabisa kwa ustawi wa nchi yetu. Namsihi aendelee hivyo hivyo, unaweza kuwa mtulivu na mwenye hekima na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…