mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimepishana na msafara mkubwa wa magari ya polisi hapa Kibaha, uelekeo wao ni Dar Es Salaam

    Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar. Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
  2. Serikali isitishe mishahara kwa watumishi waliorudi masomoni ni upotevu wa pesa tena wengine wanahama fani kabisa

    Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa. Sasa ubaya wa hili jambo ni pale...
  3. L

    CHADEMA kujiandaa kumjibu Rais Samia ni utovu mkubwa wa adabu

    Rais ameshaongea nyie kuweni na adabu, Mbowe najua sasa hivi unafundishwa na wanasheria namna nzuri ya kuongea ili usitengeneze jinai, hao wanaokutuma ujibizane na Rais wanakuingiza chaka Mzee wangu Huna sababu ya kumjibu Rais, yeye ni kiongozi wa nchi, usije kusema sikukwambia. Pia soma...
  4. Vitendo wanavyofanya Waarabu kwa timu zetu ni kukosa Ustaarabu

    Katika mashindano ya kimataifa, timu zetu zimekuwa zikishuhudia vitendo vya unyanyasaji na ukatili kutoka kwa wenyeji wao. Angalia timu nyingi ambazo zimekuwa zikinyanyasika kwenye mashindano haya, hali ambayo inatufanya tujiulize kuhusu kiwango cha ustaarabu walionacho waarabu. Kwa mfano, timu...
  5. Kuna Upigaji mkubwa sana kwenye Miradi ya Ujenzi hasa Barabara

    Katika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania. Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya kiwango, kuanzia upana , hadi ubora wa barabara husika na kamwe huoni wakandarasi wakichukuliwa hatua...
  6. Huu ndio ukweli wa namna ya kufanikiwa na kupata utajiri mkubwa

    Katika moja ya matamanio ya wana dunia wengi ni kupata mafanikio makubwa katika upande wa kifedha, hivo husababisha watu kujaribu kutumia njia nyingi sana ili kuongeza nafasi zao za kufikia utajiri huo, lakini ukwel wa utajiri umejificha katika sehem ndogo sana Mimi sio tajiri lakini nlipofikia...
  7. Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

    kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO... demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi...
  8. G

    Ni kwanini K Lyn hakupata heshima anayostahili kwa mchango wake mkubwa kwenye Bongo Flava industry?

    Mchango wake kwenye sanaa ya bongo sio wa kubeza lakini alichukuliwa poa. Hakuwa msanii aliebahatisha kutoa Hit moja au mbili akapotea, Alihusika kwenye Hits 5, Ni wasanii wa kike wachache sana waliweza kutoa hits zaidi ya 3 (Ray C, Jide, Enika, n.k.), Sio rahisi !! Zifuatazo ni hits zake 5...
  9. B

    Je Unahitaji Mtaji Mkubwa wa Biashara Kuanzia 2.7b?

    Kufanya biashara kunahitaji muongozo, lakini pia taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi inaweza kufanya tofauti kubwa. Tunatoa ushauri kwa wafanyabiashara wanaotaka mitaji mikubwa ya biashara na wenye historia au uzoefu wa biashara na asset kwa ajili ya dhamana. Wasiliana nasi kwa email...
  10. L

    Kamati ya usajili Simba iwaangalie wachezaji hawa wana uwezo mkubwa wa kuchezea timu yoyote nchini na Afrika na wakaanza First Eleven

    Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo. Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana. Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na...
  11. Nimeamua rasmi kuwa mwekezaji mkubwa katika soka la Tanzania

    Ndugu wanahabari wenzangu, ni mimi tena Sheikh Sayville mwenye visima vya mafuta ya alizeti. Baada ya kutafakari kwa kina na kusikia vilio na maombi ya wengi, nimeamua kwa utashi wa moyo wangu kuwekeza katika soka. Nimezingatia jinsi ninavyotumia muda mwingi katika mambo haya ya mipira, ni...
  12. Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

    Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao. Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na...
  13. hivi kuna uwezekano wa mfumo wa ujamaa kufanya kazi kukiwa na wastani mkubwa wa ongezeko la watu?

    tunafahamu kuwa ujamaa ni mfumo bora ambao ndani yake kuna baraka kubwa kutoka kwa mungu,kawaida mungu hutaka watu wake wajumuike ili kumuabudu na kumsifu kwa pamoja,kuishi,kumiliki na hata kufa na kuzikana kwa pamoja,lakini naweza kusema ujamaa ni mfumo wa mbinu/mchakato katika kujenga ubepari...
  14. Waziri Mavunde Ageuka Mbogo; Ataka Mradi wa Dhahabu Magambazi Uanze Uzalishaji Mkubwa

    WAZIRI MAVUNDE AGEUKA MBOGO; ATAKA MRADI WA DHAHABU MAGAMBAZI UANZE UZALISHAJI MKUBWA -Awataka wamiliki wa leseni kufuata masharti kwa mujibu wa Sheria*, -Awapa mpaka 1 Septemba 2024 kujibu hoja za matakwa ya kisheria -Mgodi una wastani wa Wakia 700,000 -Wananchi wa Handeni-Tanga waishukuru...
  15. Maasai kama Aborigines (Australia) walindwe kwa wivu mkubwa

    1. Ndugu zetu Maasai pale Ngorongoro wanalindwa/kutambuliwa na mikataba ya Kimataifa mfano United Nations Declaration No. 169 on the Rights of Indigenous People - jamii husika inatambulika na kuheshimiwa katika Ardhi Yao ya asili, Mila na tamaduni. Na wanao Uhuru wa kuamua maendeleo yao. 2...
  16. Tetesi: Hana mda mtoto pendwa anamtuhumu kuuza siri za bi mkubwa

    Mnaendeleaje huko? Mtoto pendwa anamtuhumu mwamba kuuza siri za bi mkubwa kwa wana waliotimuliwa majuzi. Mtoto pendwa ameenda mbali zaidi kwa kudai mwana anajipatia mamilioni ya frw kwa kuwaunganisha kina watakaye ili kumuona mama Wau. NB: Picha hapo juu ni ya mmoja wa wasaidizi wa Rais.
  17. Benki ya Biashara Tanzania (TCB) yasisitiza kuendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo visiwani Zanzibar

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar. Benki imeendelea kusisitiza dhamira...
  18. Mwangwi mkubwa; Vita ya mabinti na wamama (mashangazi)

    Kama kuna watani wa jadi wengine wasiotajwa sana basi ni hizi mbari mbili Mabinti under 25 Wamama( mashangazi) over 40 Kesi ya binti under 18 aliyebakwa na kulawitiwa na vijana under 30 Refer ule Mziki wa bongo fleva uliokuwa unaimba wakati wa kurekodi lile tukio.. 'Mwana kayataka' Mtaani...
  19. Umaskini ndio mtaji mkubwa ccm kuwafanya kuwepo madarakani

    Kuna mambo unaona yakiondolewa ccm wanaweza kukosa madaraka. Mfano swala la bima za afya zilitakiwa kuwa bure hivi kuna mtu anashindwa kulipa bima kwa mwezi shilingi 4000. Tupo wangapi tanzania?. Kuondoa kodi ambazo hakuna faida yoyote zaidi ya wao kujinufaikia tu mfano. Kodi za bandarini...
  20. A

    DOKEZO Uvunjifu mkubwa wa Sheria za Mazingira na Makazi Misugusugu, Kibaha - Pwani

    Mimi ni mkazi wa mtaa unaitwa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani. Hapa jirani yangu kimejengwa kiwanda kikubwa cha kuten geza Ethanol na vingine vinavyotokana na molasses ya miwa. Tatizo linakuja, kiwanda kimejengwa ubavu kwa ubavu na makazi, kuna shule mpya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…