mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Upi Uoga wako Mkubwa kwenye mapenzi?

    kwenye suala la mapenzi,woga wako mkuu ni upi?
  2. M

    Muislam kufa vitani ni ushujaa mkubwa

    Khalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani, alikufa kitandani akiwa na huzuni kwa sababu alitarajia kufa shahidi vitani. Inasemekana kwamba kabla...
  3. Mwanamke yupo na uwezo mkubwa wa uvumilivu.

    Jumapili njema . Katika nyakati tofauti huwa watu wanazungumzia uwezo wa uvumilivu wa mwanamke katika MAISHA. Leo nitazungumzia kuhusu uwezo wa kipekee wa mwanamke unaitwa Incubation power incubation ni uwezo ambao mwanamke anakuwa nao unaomfanya kuweza kumvumilia MTU au jambo fulani, au...
  4. Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  5. Toyota Land Cruiser V8 Amazon Ushuru umekua mkubwa kuliko bei ya gari

    Habari wakuu hivi Kuna namna ya kufanya discount ya Ushuruu? Nahitaji kuagiza hii chuma ila Ushuruu umeipiku Hadi bei ya Gari
  6. Home made incubator yenye ufanisi mkubwa.

    Habari? Katikat pitapita mitandaoni na kusoma vitabu tofauti tofauti juu ya hizi mashine za kutotolesha vifaranga nimefanikiwa kutengeneza Moja yenye uwezo wa mayai 33. Na nimefanya majaribio mara mbili imekuwa na ufanisi wa 100% yaan imetotoa vifaranga 66 kwa awazo zote mbili. Ili uweze...
  7. Mgodi Mkubwa wa Dhahabu Nyanzaga - Sengerema Kuanza Ujenzi Mkubwa Januari 2025

    MGODI MKUBWA WA DHAHABU NYANZAGA - SENGEREMA KUANZA UJENZI MKUBWA JANUARI 2025 ⚫️ Utakuwa mgodi mpya mkubwa katika kipindi cha Rais Samia ●Mgodi kutoa ajira zaidi ya 1500 ● Waziri Mavunde aelekeza mgodi kufuata mpango wa CSR kwa mujibu wa Sheria. ●Aitaka Tume ya Madini kuwajengea uwezo...
  8. Kwanini zamani mtu alikuwa akitukaniwa mama yake inakuwa ugomvi mkubwa sana?

    Zamani nilikuwa naona watu wakigombana halafu mmojawapo akimtukana mama wa mwenzake ugomvi unakuwa mkubwa zaidi kama njiti ya kiberiti imetupiwa kwenye petrol, Yani hata kama ugomvi ulikuwa unaelekea kutulia hapo utaanza upya na kuwa na vurugu kubwa zaidi, aliyetukanwa mara nyingi atakuwa...
  9. Hivi serikali imejipangaje kukabiliana na uwezekano wa kutokea uhaba wa mafuta mkubwa duniani kutokana na mzozo unaoendelea katika ghuba ya Uajemi?

    Iran Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake mafuta (oil facilities) , hazitabaki salama. Iran itajibu mapigo kwa kuangamiza oil facilities zote...
  10. Y

    Biashara ipi ina mzunguko mkubwa kwa maeneo ya uswahilini Dar kati ya hizi?

    Wakuu wa JF Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au yenye kipato Cha kawaida kwa hapa Dar?
  11. S

    Kuna uwezekano kwamba wanaoteka na kuua wanafanya hivyo kwa maslahi yao bila raisi Samia kujua kwa kuwa wananufaika na uwepo wake madarakani?

    Kuna watu wamemlaumu raisi Samia moja kwa moja kwamba anahusika na utekaji na uuaji unaofanyika nchini kwa sababu kuna viashiria vikubwa sana vyombo vya dola vinahusika katika uhalifu huu. Lakini je, ni kweli kwamba raisi Samia anahusika moja kwa moja na utekaji na uuaji unaofanyika nchini hivi...
  12. Swift Ampiku Rihanna na Kuwa Mwanamuziki wa Kike Mwenye Utajiri Mkubwa Zaidi

    Taylor Swift sasa ndiye mwanamuziki wa kike tajiri zaidi duniani, akiwa na utajiri wa dola bilioni 1.6, akimshinda Rihanna. Mafanikio haya makubwa yanatokana hasa na ziara yake ya "Eras Tour" na umaarufu wa nyimbo zake. Swift ameendelea kuwa mmoja wa wasanii wenye ushawishi mkubwa katika tasnia...
  13. A

    40-49 yrs Christian man

    Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa Mkristo hasa mpetekoste NB alietayari ku asili mtoto Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
  14. Ruvuma na Songea wameonesha nguvu na ushawishi mkubwa wa CCM na Rais Samia!

    Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035. waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji...
  15. Nani supplier mkubwa wa mayai ya kisasa dar

    Nahitaji kufanya biashara ya mayai, nani supplier au mzalishaji mkubwa. Niko dar
  16. T

    Ni ofisi gani inatoa ajira bila kupitia utumishi na wana mshahara mkubwa?

    Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA Pia ni ofisi gani ambayo interns wanalipwa hela kubwa😂
  17. Refinery ya Dangote ni ushindi mkubwa kwa Waafrika

    Baada ya vita kali toka mwaka 2013 hatimaye refinery ya Dangote imeanza kazi. Mwaka 2013 Dangote alitangaza kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta. Gavana wa jimbo alilotaka kujenga akataka rushwa, ikabidi ahamishie kiwanda huko Lagos. Kimeanza kujengwa mwaka 2016 na kukamilika 2023-2024 kwa...
  18. M

    CHADEMA mmeshapata ushindi mkubwa sana. Ikifika saa 2:55, ahirisheni maandamano

    Mpaka sasa, CHADEMA wameshinda maandamano. Nashauri ahirisheni maandamano kwa leo, kaeni kama siku mbili hivi, tangazeni maandamano mengine ili tu kuwapa pressure watesi wenu
  19. I

    Katika vita vya kibiashara vya Marekani na China, Mexico ndio anaibuka na ushindi mkubwa.

    Kadri uchaguzi mkuu wa nchini Marekani unavyozidi kukaribia ndivyo wachina wanavyozidi kuingiwa na hofu. Ustawi wa uchumi nchini China unaitegemea mno Marekani na ni wazi kwamba bila ya Marekani taifa la China lisingefika hapo ilipo leo kiuchumi. Sasa basi, wagombea urais wa vyama vikuu nchini...
  20. F

    Kwanini rais Samia amerudi nyuma kwenye masuala ya maridhiano? Neno maridhiano sasa limekuwa na ukakasi mkubwa

    Rais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi. Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sita katika masuala ya kidemokrasia. Maridhiano ilikuwa ni moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…