mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Leo nimeona clip ya Rah-P akiwa anarap wakati yupo shule ya sekondari. Sijui huyu dada mkubwa yuko wapi siku hizi

    https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s. Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko. Hata unajiuliza hao wenzake waliokuwa wana m-hype sasa hivi wako wapi, maisha yao, familia zao, kazi zao, etc...
  2. Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa

    Wanabodi, Hii ni barua ya wazi ya mtu akimuandikia Dada yake. Japo Dada yake huyo ni mtu mzima, ameolewa na ana watoto, hivyo kwa watoto wake wanamwita Mama na ana wajukuu ambao wanamwita Bibi, lakini kwa sisi wa rika lake, wale watu wa 60s, huyu kwetu ni dada yetu mkubwa!, hivyo hili ni...
  3. Watumiaji wengi wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa

    Idadi kubwa ya watumiaji wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa ili kampuni yake ya META iongeze watumiaji Watumiaji hao wamedai hawako tayari kutumia bidhaa za META na wengi wamefuta Application zake katika simu zao...
  4. Unafiki mkubwa wa baadhi ya watanzania

    1. Kuwadanganya watu wa mwanza kuwa dagaa zao ni tamu kushinda dagaa Mchele wa pwani na dar na WA majichumvi huu unafiki nmeuvumilia mda MREFU sana kiukweli dagaa watamu ni wa 1. DAR, 2.MWANZA ,3KIGOMA WALE WA KIGOMA HAWANA RADHA YEYOTE 2.Unafiki wa pili ni Kwa watumishi wengi wa UMMA na...
  5. CCM iache Siasa nyepesi za kubebana na Wasanii kutafuta Justification ya Umati mkubwa, LITERACY RATE Kwa watanzania wa Leo ni Kubwa, hawadanganyiki !

    Mbinu zilezile za miaka ya 1960 ,ndizo zinazotumika hata Leo . 🤣
  6. Mtani wangu Mkubwa na Kaka yangu Maxence Melo ana Undugu wowote na Mwanasiasa Boby Wine wa Uganda kwani wamefanana sana

    Na ukizingatia Watani zangu Wahaya kwa 99% ni Waganda na Boby Wine nae ni Mganda nahisi labda ni Ndugu kwa jinsi walivyofanana. Ni kama hata Mimi pia Watu wengi wanavyosema kuwa nafanana mno na yule 'Mjanja Mjanja' wa 'Kiimani' Tanganyika Packers Kawe. ANGALIZO Hili ni Jukwaa la CHATS and...
  7. Kuna utofauti wa kuwa introvert na kuwa na social anxiety dis-order (social phobia)

    Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi. Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
  8. Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

    Natanguliza shukran zangu kwenu Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana Kikubwa tu tupendane Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo Pia na kwa wale...
  9. Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

    Wakuu! Naomba nielezee na hii walau kwa uchache. Katika pitapita zangu za hapa na pale na kuangalia huku na kule kwenye kujitafuta, kujitafakari, kufikiri na kujichanganya na watu tofauti tofauti. Nimekuja kugundua/kubaini kwamba kuna ongezeko kubwa sana la wanawake wenye msongo mkali wa...
  10. Nimeanza kuamini kuwa wanawake wana roho mbaya na ubinafsi mkubwa sana

    kuna mke wa jirani yangu anaitwa mama D Huyu mama D nimemkuta anaishi na mtoto ambaye Ana umri 18+ huyu mtoto Ana undugu na mume wake . Sasa nimemtfutia Kazi huyu binti Kazi yenyewe atalipwa 300K Kwa mwezi Sasa mama D amekasirika hatari anadai huyo mtoto hafai na hiyo Kazi nimtafutie...
  11. PreGE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
  12. Kuna uwezekano Mkubwa Lissu na Magufuli waligombanishwa. Yawezekana Lissu alitumiwa pasi na kujua

    Happy New year Wakuu! Bado sina uhakika lakini uelekeo ni kuwa yawezekana kabisa Lisu na Magufuli walijikuta kwenye vita kubwa ya kupiganishwa pasipo ya wao kujua. Wasiwasi wangu unaenda mbali zaidi kuniambia, huenda Lisu kuna sehemu alizidiwa akili akatumiwa pasipo ya yeye mwenyewe kujua...
  13. "Mama anatosha" Ni ukosefu Mkubwa wa Maadili wa Vijana wa sasa

    Unapata wapi Ujasiri wa kumwambia Baba yako kuwa Mama yako anatosha asiongeze mwanamke mwingine? Zamani ilikuwa ngumu sana kuona au kusikia jambo kama hilo. Jamii nzima itakushangaa. Kwa Wamila au Waislamu wanaruhusiwa wake mpaka wa 4. Wewe unaanzaje kumwambia babayo kuwa mama yako anatosha...
  14. Wewe ni mkubwa kuliko shilingi milioni Kumi

    Hivi leo hii ukisikia mtu kaokota shilingi milioni kumi [10,000,000] halafu kaipeleka polisi au karudisha kwa mwenyewe,je utamwonaje? Bilashaka wengi wetu tutamwona ni mpumbavu Ukweli ni kwamba mtu huyu ni mkubwa kuliko hiyo hela ambayo wengi wetu tunababaika nayo,yupo imara kiroho,kihisia na...
  15. Bob Chacha Wangwe naye atema ya moyoni, aungana na Lissu, japo mbowe ndiye rafikiye mkubwa!

    Kwa Watanzania na Wanamageuzi wenye mapenzi mema na CHADEMA na Taifa letu. Kwa vijana wanaotamani kufanya siasa za Upinzani kwa miongo kadhaa ijayo. Lissu is the way! Hawezi kuwa mkamilifu kama Binadamu, lakini ana sifa muhimu kwa maslahi ya CHADEMA na Taifa. Kwa kizazi hiki watu wa aina yake ni...
  16. L

    Uwekezaji wa moja kwa moja wa China barani Afrika umekuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo barani Afrika

    Uwekezaji wa moja kwa moja kutoka China barani Afrika, umekuwa ni sehemu ya mtindo mpya ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, ambao tangu mwaka 2000 umekuwa ukiongezeka kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 25 kwa mwaka, na kupungua kiasi kutokana na changamoto za janga la...
  17. USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

    Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD. Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi Mchina ana safari ndefu Sana. Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
  18. Kwa hali ilivyo sasa;TUNDU LISSU ni Mkubwa kuliko ata CHADEMA yenyewe!!!!

    Siasa ni sayansi na sayansi inategemea siasa; CHADEMA wameondoka Vigogo wakubwa sana tena wenye profile kubwa na nzito kweli kweli kama vile Dkt Wilbroad Slaa,Zitto Kabwe,Kitila Mkumbo etc…… Ila Wanachama na wananchi wa kawaida waliona tu kuwa huo ni wakati wa kawaida chama chao kinapitia...
  19. Unawakutaga na mabango ya "DEATH TO AMERICA", alafu tabu inapowafikia nchi ya kwanza kuanza asylum ni America. Unafiki mkubwa

    Mara ooh "mashoga", mara mashetani, mara illuminati ila wanapoeletewa shari na watu wa itikadi yao wenyewe tena wanakimbilia kule kwa mashoga kupata hifadhi zidi ya majanga na vifo wanavyoletewa na watu wao wa itikadi sawa wanaoikubali. . Mna vituko sanaa🚮🚮
  20. Kumbukizi: Tusiwalaumu tena vijana wetu kwa kuendekeza mpira, tatizo lilianzia kwenye kauli za kiongozi mkubwa wa taasisi

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa kauli hizi ndugu zangu, kuna sababu ya mtu mwenye akili timamu kuacha kushabikia mpira kweli?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…