mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MUHIMU: Mkuu Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie,

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Naelekea mkoa wa geita kwaajili ya kilimo

    Habari wakuu Kama kicha cha habari kinavojieleza,,,nimeplani mwezi wa kumi msimu wa kilimo kwa kanda ya ziwa, kwenda mkoa wa GEITA, hasa geita vijijini, kijiji cha BUTUNDWE Lengo ni kwa ajiri ya kupambana na uchumi kwenye nyanja ya Kilimo cha maharage na mahindi Nime plan kukaa kwa miezi...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Je ni mkoa gani nchini ambao unafaa katika kuanza maisha?

    Je ni mkoa gani wa kwenda kuanza maisha?
  4. JamiiForums Tanzania Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam

    Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam, nicheki 0756704145
  5. JamiiForums Tanzania Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam

    Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam, nicheki 0756704145
  6. JamiiForums Tanzania Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General. Swali...
  7. JamiiForums Tanzania Kisiasa nini Maana halisi ya Kihongosi kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM na Makalla kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa?

    Wajuzi wa mambo ya karata za siasa, mikakati ya kisiasa, let's talk about strategic political approach, ambayo inaakisi mabadiriko hayo. Je, talent ya Kihongosi kucheza na jukwaa la siasa hasa mvuto kwa vijana na kipawa chake cha kuburudisha na kwenda sambamba na aina ya hadhira katika majukwaa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa X kwenda mkoa Y ndani ya taasisi moja

    Mimi ni mwajiriwa kwenye taasisi X na nimepangwa mkoa ambao mazingira yake sio mazuri kuendana na afya yangu. Nataka niombe kuhama kwenda mkoa Y. Je, inawezekana ikiwa bado sijathibitishwa kazini? Na nifanye nini ili uhamisho wangu uweze kukubalika?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mkwamo katika kuhusu uhamisho kutoka halmashauri Moja kwenda mkoa mwingine

    Habari za alfajiri hii wana Jf!! Kwanza nipende kupongeza uwepo wa jukwaa hili la hoja mchanganyiko Niende moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni mtumishi wa umma idara ya elimu nimejikuta katika mkwamo mkubwa mno na hii ni baada ya kuhamishwa kituo cha awali miezi kadhaa nyuma kwa ukatili mkubwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shinyanga: Kuna Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi wanatengeneza mazingira ya rushwa waziwazi

    Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi Mkoa wa Shinyanga na wale wa Manispaa ya Shinyanga wanafanya kazi zao kwa mazoea sana huku wakitengeneza mazingira ya kupokea rushwa kutoka kwa wananchi. Kama week mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la urasimishaji wa ardhi katika kata ya Kizumbi, kijiji cha...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mwaka jana mkoa wa mtwara masasi NIDA zilikusanywa majumbani

    Habari wakuu! Mwaka jana mwezi wa 8 kuna watu walikuwa wakipita kila nyumba kuchukua namba za NIDA , alichokisema polepole ni ukweli mtupu! Wanaccm wezangu ni muda sasa tumuunge mkono Tundu lissu mzalendo wa kweli! Hawa ccm wametutumia sana! Kuanzia sasa nipo kwenye NRE! NIMEUJUA UKWELI
  12. Y

    JamiiForums Tanzania RC Mhe. Mwanamvua Mrindoko: Hii ndio Picha ya Rais Samia Mkoa wa Katavi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko amesema kuwa Mkoa umefanikiwa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara kuu na za ndani (km 526.85), madaraja mawili ya Kavuu na Msadya, shule mpya 129, shule maalumu mbili, vyuo vya VETA viwili, miradi ya maji 28...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar: Kama hakuna amani na haki pia haipo. Kikishanuka kwelikweli unaweza kwenda mahakamani kutafuta haki yako?

    Wakuu, Kwenye huu mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 ambao umeandaliwa na JMAT - Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania kuna point imeibuliwa na huyu Sheikh Anasema pamoja kwamba kuna ukweli kwenye kauli ya kwamba hakuna amani bila haki lakini pia ni...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Katavi (hasa Mpanda) wanakata umeme bila taarifa, ni kawaida kukatika asubuhi kisha unarudi jioni

    TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana. Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
  15. J

    JamiiForums Tanzania RC TABORA: Mkoa umepokea kiasi cha TZS226bn kwa ajili ya barabara tayari kilometa mpya 100 za lami zimejenjwa ndani ya miaka minne ya Rais Samia

    Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao TANROADS TZS124.277bilioni, TARURA TZS101.716bilioni kuimarisha mtandao wa barabara wa kilometa 10,592...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nasimamia miradi na ujenzi wa nyumba, Majengo na n.k, mkoa wa dar es salaam

    Kama unahitaji msimamizi wa miradi au nyumba inajegwa kwa mkoa wa dar es salaam nafanya kwa bei ya 300,000 Tsh kwa mwezi, elimu yangu ni fundi mitambo ngazi ya stashahada, mawasiliano - 0756704145, dar es salaam, Mbezi.
  17. JamiiForums Tanzania Nani karuhusu hizi kelele za club nyuma ya Golden Rose hotel Arusha.. Hatumwogopi Mungu?

    KWAKO MKUU WA MKOA WA ARUSHA MKURG WA HALMASHAURI NA WENGINEOOO NILIKUJA KWENYE SEMINA MOJA ARUSHA NIMRONDOKA LEOOPOO ILA NILIYOYAONA ARUSHA YA ASIKITISHA SANAA SANAAAA KUNA CLUB IKO NYUMA YA GOLDEN ROSE HOTEL.... HII SEHEMU JTATU ASBH MPAKA SAA MBILI N MAKELELE YA MZIKI FUJO ZA WANAWAKE...
  18. JamiiForums Tanzania Simiyu: TRA yamtembelea mkuu wa mkoa wa Simiyu na kufanya mazungumzo

    Meneja Wa TRA Mkoa wa Simiyu Ndugu Joseph Mtandika Siku ya Ijumaa tarehe 01.08.2025 alimtembelea mkuu mpya wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anamringi Macha Kwa lengo la kujitambulisha na kumkaribisha. Pia Meneja alimkabidhi tuzo ambayo Mkoa umepewa na Kamishna Mkuu Ndg Yusuph Juma Mwenda kwa kuvuka...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Nini kinaendelea majimbo ya CCM Mkoa wa Katavi mbona majibu hayawekwi wazi?

    Mkoa wa una majibo Matano; Jimbo la Mpanda Mjini, Jimbo la Katavi, Jimbo la Tanganyika, Jimbo la Katavi na Jimbo la Nsimbo yote naona kuna ukimya unatawala kuhusu majibu ya Kura za Maoni kuhusu wanaowania Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nini kinaendelea? Pia soma ~ Nini kinaendelea...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kwa walioko nje ya mkoa wa Mwanza na unahitaji msaada, wasiliana nasi tukusaidie

    Tumeamua kutoa huduma mbalimbali ndani ya Mkoa wa Mwanza (Wilaya zote) ili kuwasaidia watanzania wenzetu walioko mbali na Mkoa huu. Wasiliana nasi ili tukusaidie kupunguza changamoto Kama si kuimaliza kabisa - unayokabiliana nayo kwa vile uko mbali na Mwanza. Kwa wenye uhitaji huo njoo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…