mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema wakazi wa Ngorongoro wanabomoa makazi yao kwa hiyari, Wakazi 296 wajiandikisha kuhamia Tanga

    Baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kueleza kuwa imekamilisha maandalizi ya msingi katika makazi mapya yaliyopo Handeni Mkoani Tanga, ambapo yanatarajiwa kutumiwa na Wananchi watakaohamishiwa hapo hivi karibuni, Serikali imezungumzia jinsi Wakazi wa Ngorongoro wanavyoboa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hizi Kauli ya Spika na Mkuu wa Mkoa ukiunganisha na tukio zima,Kipi tuamini Mgogoro toka zamani upo au umeibuka saivi?

    Spika anatoa kauli yake Juu ya swala la Ngorongoro na mkuu wa Mkoa anatoa Taarifa yake ambayo ina kinzana na Taarifa ya Spika na ukitazama Mtu alie kwenye control ya Lile eneo ni Mkuu wa Mkoa so ana details za kutosha na inaonyesha huu Mgogoro sio wa Leo lakini spika alikanusha hapa, Nani...
  3. JamiiForums Tanzania Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

    Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kwanza ya "City Park Audiobook House" katika Mkoa wa Henan, China yazinduliwa

    Tarehe 9 Juni 2022 "Nyumba ya Kitabu cha Sauti ya City Park" ilizinduliwa katika bustani ya umma ya Zhengzhou mkoani Henan, yenye zaidi ya vitabu 16,800, na wakazi wa huko wanaweza kusikiliza vitabu hivyo bila malipo.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wa Kagera kwanini mkoa wenu unaongoza kwa umasikini?

    Inasikitisha kujua hili la kwamba Kagera ni mkoa masikini kuliko yote Tanzania. 1. Ina wasomi wengi sana 2. Ardhi nzuri 3. Ziwa kubwa 4. Mipaka ya nchi yetu mingi Pamoja ya yote hayo ni swali ya kujiuliza wenyewe watu wa huko bila kuweka lawama kwa serikali. Ukiangalia vizuri Kagera na...
  6. JamiiForums Tanzania Zoezi la 'Beacons' Loliondo lamuibua Mkuu wa Mkoa John Mongella

  7. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma azindua tamasha la majimaji selebuka 2022

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mh Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge, ameagiza ushiriki wa wilaya na halmashauri zote za Mkoa Wa Ruvuma kwenye tamasha la Majimaji Selebuka litakalofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 30 July 2022 mjini Songea. Tamasha hili limekua jukwaa kuu la biashara, kutangaza...
  8. JamiiForums Tanzania Antony Mtaka Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na ya Nebukadneza Mfalme wa Babel

    Jana nilifatilia kongamano la usalama la mkuu wa mkoa wa Dodoma maeneo ya s/m kisasa, mkutano huu ulikuwa mbashara TBC TAIFA, kilichoniskitisha ni kupigwa marufuku kwa mapambio ya kumsifu Mungu wakati wa mikesha usiku, nimeskitika Sana , niseme huo ni ushetani, Mungu wetu hana mipaka katika...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jina " Mfaume" ni wenyeji wa mkoa gani na kabila gani?

    Naomba kujuzwa tafadhali
  10. JamiiForums Tanzania Jina "Msangawale" ni wenyeji wa mkoa gani/kabila gani?

    Mwenye kujua naomba anijulishe tafadhali. Kama anajua na maana ya jina itakuwa vizuri zaidi. With much thanks in advance.
  11. JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani mzuri kwa kuanzia maisha from Zero?

    Wakuu habari za muda huu! Baada ya kukaa nyumbani muda mrefu nikifanya kilimo cha kutegemea mvua, mwaka huu kilimo kimeniangusha sana na hata miaka iliyopita mara zote mavuno yalikuwa tofauti na matarajio hivyo nimeamua kuachana na kilimo kwani sioni hatima ya maisha yangu ikiwa tofauti na ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kama Mbeya ingekuwa ni nchi, kwenye football hii ndio ingekuwa first eleven yake

    Kama Mbeya ingekuwa ni nchi, kwenye football hii ndio ingekuwa first eleven yake. 1. BENNO KAKOLANYA- simba sc 2. DAVID KAMETA DUCHU- geita gold 3. BENJAMIN ASUKILE- tanzania prisons 4. LUSAJO MWAIKENDA- azam fc 5. DAVID MWANTIKA- dtb fc 6. AZIZ ANDAMBILE - mbeya city fc 7. JIMMSON MWANUKE-...
  13. JamiiForums Tanzania Leo nimeota nitachaguliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Hizi ndoto sijui kama ni kweli lakini hivyo ndivyo nilivyoota leo. Lakini haiwezelani mimi niwe Mkuu wa Mkoa kwa sababu sijui economics. Hii ndoto inaniahidi mambo mazuri au nitapata vip treatment ya Iddi Amin? Halafu sijui wapi naweza kukutana na mtu nimpe zawadi ili niwe Mkuu wa Mkoa.
  14. JamiiForums Tanzania Iringa: Mkuu wa Mkoa azungumzia Wanaume Wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha ili kukata pombe

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga ametangaza kuwasaka wale wote wanaojihusisha na vitendo vya ukatili ndani ya mkoa huo. Pamoja na msako huo amedai ukatili wa baadhi ya wanaume hasa wanaolewa kupindukia kunyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha kwa imani ya kukata pombe unaendelea kupungua...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kukaa stationary mkoa wa Mwanza

    kama wewe ni mdada,upo mkoa wa Mwanza, unaweza kufanya kazi ya stationary na unajua kutumia computer tuwasiliane pm.kuna kazi.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hivi jina Nyalusi huwa ni wenyeji wa mkoa gani?

    Naomba kujuzwa tafadhali
  17. JamiiForums Tanzania Mafuta kwa Zanzibar bei nafuu, mishahara yapandishwa kwa asilimia 15. Zanzibar ni kama mkoa?

    Hali ndivyo ilivyo hapo.. Wana raisi wao na huku pia ni lazima (sio ombi) aidha awepo raisi au makamu wa raisi wa Zanzibar mwenye kitambulisho cha uraia wa Zenji. Achana na bei za mafuta kwa zanzibar kuwa 2600 huku kwetu yakiwa 3,300. Hii ya ongezeko la mihahara kwa asilimia 15.6 bado zanzibar...
  18. JamiiForums Tanzania Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) latengua maamuzi ya Mkuu wa Mkoa simiyu

    Mwenyekiti wa TFC Taifa, Gishuli Charles SHIRIKISHO la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) limetengua agizo la kuzivunja Bodi za Vyama vya msingi vya Ushirika (AMCOS) 335 mkoani Simiyu ambalo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kwa vile halikuzingatia taratibu za ushirika...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mwenzangu mkoa wa Iringa muaminifu na muona fursa tuje tufanye jambo

    Habari. Mimi nina mpango wa kuhamia Iringa. Ni jinsi ya kiume. Natamani sana kufahamiana na wenyeji, mtu mchakarikaji na mwenye maono na mwenye hofu ya Mungu. Sijali jinsi wala dini. Yoyote karibu. Kwa mawasiliano zaidi pm iko wazi
  20. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, unadhani kwa ulichobaini Mwanza, viongozi wa mkoa wanakusaidia wewe na Rais? Kama umebaini awawasaidii wanafanya nini ofisini?

    Ukifutalia maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu huko Mwanza Kuhusu uundaji wa meli pamoja na ubainishaji wa mitaa utabaini haya Siyo mambo yakumsubiri Mhe. Waziri Mkuu ndipo hatua zichukuliwe, Kuna viongozi wamekaa ofisini bila kutimiza wajibu wao. Kwa nchi za ulimwengu wa kwanza baadhi ya viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…