mkoa wa kagera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kuzorota kwa huduma za Tiba na Matunzo kwa WAVIU mkoa kwa Kagera kuanzia January 2026

    Habari, Ninaishi na VVU na ninatumia ARV tangu 8 February 2015 katika Kituo cha Afya Katoro Bukoba vijijini. Kwa taaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini. Kuanzia mwezi wa pili mwaka 2026, sisi WAVIU tumeanza kupata shida ya kuzorota kwa huduma. Kwa mfano...
  2. Richard

    Kuondolewa Jeshini kwa Meja Jenerali Gaguti awe balozi na pia kuondolewa kwa RC wa Kagera Hajjat Fatma ni maandalizi ya kustaafu au ni mambo mengine?

    Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi. Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa). Meja...
  3. Fbn

    Vyuo vikuu vikubwa sasa viwe mfano wa UDSM kupeleka mkoa wa kagera

    Kurundika wasomi wote wasome Dar kuna changia mazingira ya ushawishi wa vijana ambao wanatoka mikoani kutoshawishika na mikoa mingine. Hongera UDSM kufanya campus yenu kuwa mkoa wa kagera ili kuvutia wanaotoka mikoa ya kanda zaiwa na nchi jirani kusoma. Kuweka campus kubwa kuna saidia...
  4. M

    KERO Kwanini Serikali inaonekana kuubana mkoa wa Kagera kielimu? Mpaka leo hakuna chuo chochote cha degree. Chuo cha kanisa kilifungiwa

    Ni hali ya kusikitisha kwamba, licha ya historia yake yenye mafanikio katika elimu, mapenzi makubwa katika elimu, jitihada, uwezo wa kipekee, na mchango mkubwa katika kuzalisha wasomi, Kagera bado haina chuo chochote kinachotoa elimu ya juu ya kiwango cha degree. Vyuo vinavyopatikana ni vile...
  5. Inside10

    GE2025 John Heche: Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bukoba Mjini, Chifu Kalumuna, achukuliwa na Polisi bila kuambiwa kosa

    Ameandika Heche, Nimepokea simu kutoka kwa mdogo wake Chifu Kalumna ambae ni Mwenyekiti wetu wa wilaya ha Bukoba mjini. Anasema polisi wakiwa na silaha za moto na magari mawili, wamevamia nyumbani kwa Chifu mda huu na kuondoka nae bila kumwambia wanamhitaji kituo cha polisi bila sababu yoyote...
  6. Bibianna

    Fatma Mwasa: Rais Samia ametoa TZS327bn kwaajili ya barabara za mkoa wa Kagera| Angalia hii orodha uone kama kuna barabara inakuhusu kwa safari zako

    https://www.youtube.com/live/sypEPTFaiCI?si=GsKjBWqJIDu50RpP Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mkoa wa Kagera Katika Kipindi cha Rais Samia Katika hotuba yake kwa wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bi Fatma Maswa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
  7. Stephano Mgendanyi

    Oliver Semuguruka apongeza ushindi wa madiwani wa viti maalum wilaya za mkoa wa Kagera

    OLIVER SEMUGURUKA APONGEZA USHINDI WA MADIWANI WA VITI MAALUM WILAYA ZA MKOA WA KAGERA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Daniel Semuguruka ametoa pongezi za dhati kwa Madiwani wa Viti Maalum kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Kagera kutokana na ushindi waliopata kwenye uchaguzi...
  8. R

    Serikali imeanza ujenzi wa ofisi mpya ya kisasa ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera

    , ambayo itagharimu shilingi bilioni 9 hadi kukamilika kwake. Katika hafla fupi ya makabidhiano ya eneo la ujenzi na usaini wa mkataba iliyofanyika jana, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa, alieleza kuwa jengo hilo litakuwa la kisasa, imara na litaweza kudumu kwa zaidi ya miaka 100 bila...
  9. ngara23

    Serikali imekatisha tamaa wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera

    Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500 Ila ajabu bei imeshuka Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
  10. A

    DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  11. ngara23

    Umasikini mkoa wa Kagera unaletwa na Serikali

    Sijui sisi watu wa Kagera tuliwakosea nini serikali? Pamoja na kuwa na kila kitu ila serikali imeufanya mkoa wa Kagera kuja na kuchuma mapato na kuutelekeza Serikali ipo kutawala na kunyonya mkoa wetu bila kuwekeza chochote Mkoa wetu unazalisha mazao kama kahawa, ndizi, maharage n k Tuna...
  12. T

    Anguko la uchumi wa mkoa wa Kagera

    Na Mimi kama mwana Kagera nitoe mawazo yangu juu ya anguko la uchumi wa mkoa wa Kagera. Nimeona majadiriano ya kila aina ya sababu ya anguko la uchumi wa mkoa wa Kagera. Ni kwa bahati mbaya kwa majadiriano hayo, wengi huchukulia picha ya mji wa Bukoba tu kuwa kiwakilishi cha mkoa wa Kagera...
  13. S

    Taaluma mkoa wa Kagera inaporomoka kwa kasi ya ajabu

    Mkoa wa Kagera ni miongoni mwa mikoa michache hapa nchini iliyojijengea heshima kubwa katika utoaji wa elimu Bora na wataalamu wengi katika fani mbalimbali. Ndiyo maana hata Sasa hivi ukimuuliza mtanzania yeyote akutajie mikoa inayoongoza kuwa na wasomi wengi lazima Kagera ni mkoa mmojawapo...
  14. Roving Journalist

    LHRC: Makazi ya watu Muleba yanabomolewa wakati kuna kesi Mahakamani, huu ni ukiukwaji wa Haki

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKEMEA VIKALI VITENDO VYA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU KATIKA KATA YA NGENGE, WILAYA YA MULEBA MKOA WA KAGERA Dar es Salaam 10, Februari 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimepokea taarifa za ubomoaji na uchomaji wa makazi ya watu katika Kata ya...
  15. Influenza

    Mlipuko wa Marburg Tanzania: Serikali yatoa Mwongozo wa Wasafiri wanaoenda na kutoka Mkoani Kagera

    Tarehe 20 Januari 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) unaoathiri wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini-Magharibi mwa nchi Kilomita 1450 na 1068 kutoka Dar es Salaam na Arusha kwa mtawalia. Kufuatia mlipuko huu...
  16. T

    Uvivu wa kutisha, uchawi (kulaguza), na vijana kuamini kwenye quick gain ni baadhi ya sababu zilizorudisha nyuma maendeleo ya Mkoa wa Kagera

    1. UTANGULIZI Najua watani wangu wa Kagera, akina nshomile mtakuja juu na hawatapenda hili andiko, hasa kwa nini ninawaandama?. Jamani huu ni mwendelezo wa andiko langu la kwanza kuhusu kagera lisemalo "Mkoa uliong'aa (the shiny BK) leo umekuwa mkoa giza (the dark Bukoba) kwenye kila sekta ya...
  17. ngara23

    Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

    Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu: Uchumi Wakazi na Makazi Historia Makabila Fursa za Uchumi Hali ya hewa Mahusiano n.k Nitajibu kila swali leo Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni: Bukoba manispaa Karagwe Ngara Biharamlo Muleba Kyerwa Misenyi Bukoba vijijini
  18. BabaMorgan

    Unapowaambia wakazi wa mkoa wa Kagera kuhusu gari wanachowaza kwanza

    Corona Premio the number one choice ya kina Rweyemamu wa Muleba, Muganyizi wa Karagwe, Kalikawe wa Kiziba. Tasipota..
  19. October 2pm

    KERO Responded Sikuchagua Mkoa wa Kagera lakini wamenichagua Kagera ndiko nitafanya Oral interview Nauli 100,000

    Habari Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
  20. Mkalukungone Mwamba

    Mashabiki wa Yanga Kagera wapiga supu wakiisubiri Kagera Sugar kesho mchezo wa Ligi kuu

    Mashabiki wa Yanga SC mkoa wa Kagera leo wamejumuika na kupata supu kama utamaduni wao wakifurahia na kusherekea ubingwa wa Ngao ya Jamii na kusubiri kuanza kucheza michezo ya ligi kuu ya NBC hapo kesho. Yanga kesho watakuwa katika dimba la Kaitaba kucheza mchezo wao wa kwanza wa ligi msimu...
Back
Top Bottom