Habari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Mashabiki wa Yanga SC mkoa wa Kagera leo wamejumuika na kupata supu kama utamaduni wao wakifurahia na kusherekea ubingwa wa Ngao ya Jamii na kusubiri kuanza kucheza michezo ya ligi kuu ya NBC hapo kesho.
Yanga kesho watakuwa katika dimba la Kaitaba kucheza mchezo wao wa kwanza wa ligi msimu...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha hatua za utekelezaji wa miradi ya Sekta ya Ujenzi inayoendelea kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkoa wa Kagera hususan ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja...
Kata ya Ruzinga wilaya ya Missenyi Mkoa wa Kagera kuna mradi wa maji haujawahi kamilika toka mwaka 2012 hadi watu washachoka kulalamika maana ukijaribu kufuatilia taarifa zinasema mradi ushakamilika ila kiuhalisia maji yanayotoka hayatoshi.
Mara nyingi huwa yanatoka tu pale kama kuna kiongozi...
Anonymous
Thread
mkoawakagera
mradi wa maji
mradi wa maji kata ya ruzinga
Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha.
Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani...
BUKOBA MANISPAA
KAGERA ,TANZANIA
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. : Kwanza Hongera na kazi katika harakati za kulipambania Taifa hasa kwenye secta ya AFYA hapa nchini.
Sisi ni wahudumu wa afya ngazi ya jamii, kutoka MKOA KAGERA wilaya ya BUKOBA MANISPAA tulifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.