Sisi wakazi wa kata ya Kimala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa tumekuwa na kero ya Barabara ya kuingia kwenye kata yetu.
kata hii ina vijiji 4 ambavyo havina Barabara za uhakika za kupita mwaka mzima. Kwenye kipindi hiko cha mvua, Barabara huwa mbaya na mbovu na kama tukipata mgonjwa yatupasa...
Anonymous
Thread
barabara
iringa
kero
kero ya barabara
mkoa
wakazi
wilaya
wilaya ya kilolo
Mimi najiuliza sana, inakuwaje ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe, wanatuma barua kwa Wafanyabiashara wakiomba mchango kwaajili ya Meimosi na kiasi wamekuandikia kabisa, ina maana hauna machaguzi hapo, ni kama unafanya biashara kwa hisani, wakati kodi unalipia na fee zote unalipia.
Sasa kwanini...
Anonymous
Thread
biashara
katika
kitaifa
kuchangisha
mkoa
pesa
ugeni
wafanya biashara
wafanyabiashara
Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi.
Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa kiasi wanachojua wao.
Je! Kwanini elimu isitolewe kuhusu malipo ya likizo ili kuepusha kunyimwa...
Anonymous
Thread
halmashauri
kigoma
likizo
malipo
malipo ya likizo
mkoa
tanganyika
umbali
watumishi
Bara bara ya kwenda na kutoka hospital ya mkoa wa pwani (Tumbi hospital) Ambayo ni ya kiwango cha rami imeharibika na kuwa mbovuu kwa muda mrefu na imejaa mashimo yanayo tanuka kila siku.
Mwezi wa kwanza mwaka huu waliyachimba ili kurekebisha barabara na wakayatelekeza bila marekebisho kiasi...
Anonymous
Thread
bara
hatari
hospital
kibaha
kuelekea
kutoka
mbovu
mkoamkoa wa pwani
njia
pwani
MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
Habari,
Kwa wahitimu wa course ya Industrial Engineering Management inayotolewa (Mzumbe University) imekuwa ngumu kupata kazi Serikalini.
Kimsingi sisi ni wasimamizi wa viwanda na kuna Wizara ya Viwanda na Biashara ambao wana Idara ya Viwanda wanaweza kutuajiri kwa taalum yetu kufanya...
Anonymous (ba44)
Thread
bodi
huduma
iringa
kero
kuhusu
maktaba
mkoa
tanzania
yangu
Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya.
Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
Anonymous
Thread
hostel
katika
kidato
kidato cha nne
kisarawe
kulazimishwa
makurunge
mimi
mkoa
mwanafunzi
mzazi
pili
sekondari
shule
shule ya sekondari
wanafunzi
Sisi Mawakala wa kutuma na kuweka fedha kwa njia ya simu hasahasa hizi kampuni mbili pendwa hapa nchini najua mtakuwa mmeshazifahamu, tuna kilio chetu kuhusu kampuni za simu, hizo mbili zinatukata kuanzia Asilimia 10 hadi 20 ya commission tunayostahili kupata kwa kufanya miamala nje ya mkoa...
Anonymous (c723)
Thread
kampuni za simu
kutuma fedha
kutuma fedha nje
mkoa
wizi
Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi..
Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe..
Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua...
Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini.
Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
Anonymous
Thread
chuo
iringa
iringa mjini
katika
lecturer
maktaba
mbovu
mdau
mimi
mjini
mkoa
moja
msimamizi
nidhamu
nyingi
siku
udhalilishaji
watumishi
Waziri wa vijana elewa kitu kitu kimoja SI kwamba serikali haitoi fedha kwenye HALIMASHAURI la hasha,
Ilikuwa inatoa tuliisha kwambia fedha hizo zililiwa na mchana uvccm na wake na ndugu wa madiwani
Sasa wewe ni waziri wa vijana wote weka utaratibu mzuri wa kuwasajili vijana platform kila mkoa...
https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs
Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha magari ya Daladala Kutoka stendi mpya iliyopo kwa Mama Kibonge hadi Stendi ya Buza kanisani...
Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi.
Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa).
Meja...
Unatuletea siasa uchwara Kanda ya Kasikazini utachinjwa mchana kweupe we endelea na magonjwa yako badala ufanye kazi unaanza siasa mfu heti Maendeleo yalichelewa kisa upinzani, kwani Hela ni Mali ya CCM?
Mnaturudisha kwenye siasa za kishamba kwa manufaa ya nani?
Umepewa bilioni mbili...
Nilipokua Mkoa X Mwaka Z, ghafla tu nikaanza kuumwa ugonjwa fulani siuelewi ulipotokea mpaka nikaanza kuhisi labda nishapigwa kipapai au namna gani vile maana ule Mkoa unasifika kwa hayo masuala ya kuroganarogana tu, usiku hakulaliki mchana hakukaliki na haakutembeleki baridi sio baridi joto sio...
Hili suala linaumiza sana; nje ya kuwa ni sehemu ya majukumu yake.
Wana vikundi wanaopata mkopo anawadai hela katika kila milioni moja anataka 50,000. Hii si sawa kabisa.
Hawa wana vikundi wanaokopa ni wajasiriamali wadogo na hiyo hela wanarudisha.
Nina mwaka wa nne kwenye huu mkoa sasa. Tangu nifike hapa kwa mara ya kwanza nilikuwa mtembezi sana, ili kufahamu maeneo, uchumi, na tabia za wenyeji wa huu mkoa.
Niligundua mambo yafuatayo:
1. Wenyeji ni watu wasio na makuu na waungwana (kama tu tabia za Wazaramo na makabila ya Pwani), ni...
Mkoa ulikuwa na Airport ikafa
Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena
Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori
Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa
Ni mkoa ambao hauna hata stendi
Mkoa hauna chuo, tunasikiaga tu kipo kinachojengwa miaka mingi sasa
Lawama hawawezi...
Ujumbe wa wataalam kutoka TANROADS Makao Makuu kupitia Kitengo cha Ushauri wa Kihandisi (TECU), kwa kushirikiana na TANROADS Mkoa wa Mbeya, umefanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa Daraja la Sungwe lililopo katika barabara ya TANZAM mkoani Mbeya na kuridhishwa na hatua iliyofikiwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.