mkewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kama Vichwa Vya Wicknel Chivayo na mkewe havikupatikana haiwezi kuwa Hawakuwemo kwenye Ajali

    Familia imethibitisha kwamba Vichwa Vya Marehemu Chivayo na Mkewe havikupatikana eneo la ajali, je sio uthibitisho wa kuthibitisha kwamba Hawakuwemo kwenye hiyo Ajali.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kweka kumpiga risasi mkewe ni kielelezo cha wanaume kupitia mengi yasiyojulikana

    NInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao. Bahati mbaya jamii hulalia upande wa mwanamke maana kwa kuwa wanaume wapo masculine jamii...
  3. JamiiForums Tanzania Mapya alie mpiga risasi mkewe, yaibuka, wadau wafunguka kilicho kua nyuma

    Habari da Mai, huyo kaka alie muua mkewe Iko hivi, huyo kaka alienda kupiga akabainika na saratani ya utumbo, baada ya kumjuza mkewe ndio likaibuka sakata la kubadili hati ya nyumba, kumbuka hapo jamaa haja jua hata anatibiwaje mke kesha anza kabadili hati ya nyumba Ina mana alikua kesha jua...
  4. JamiiForums Tanzania Yule wa kigamboni alivutwa Nyeti(pumbu), na mkewe akamripoti polisi, na polisi walimpuuza, huyu wa Bunju A alitishiwa bastola akaripoti polisi,wakampu

    Jeshi la polisi linaendelea kuingia katika kashifa mbaya dhidi ya matukio ya mauaji yanayoendelea nchini Tanzania. Awamu hiii ukiondoa ile ya kigamboni ambapo, bwana mmoja alivutwagwa pumbu, na mkewe mbele ya Mama yake mzazi, akaenda akaripoti polisi na polisi walimpuuza kwa kumpa maneno ya...
  5. JamiiForums Tanzania Stori ya jamaa wa Nigeria, kuhusu mkewe yaliza watu

    Huyu jamaa ni Nigerian, kaoa mke mMoja, wamezaa mtoto mMoja, sasa jamaa alikua mahakamani katika kufatilia kumbe kashitaki mkewe sijajua anataka vunja ndoa au laaah. Stori Iko hivi, jamaa alikua anapambana kutafuta chakula na mahitaji ya mkewe na mtoto Kila mara, alijitahidi kuhemea mahitaji ya...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Ecuador na Mkewe Wafariki Kwenye Ajali ya Helikopta

    Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama na Ujasusi ya Ecuador (CIES), Michele Sensi-Contugi, pamoja na mkewe Stephany Hollihan, ni miongoni mwa watu saba walipoteza maisha kufuatia ajali ya helikopta iliyotokea eneo la Mlima Ololokwe, Kaunti ya Samburu nchini Kenya. Vyombo na Eneo: Helikopta aina...
  7. JamiiForums Tanzania Kisa cha Dr. Nyambane na mauaji ya mkewe huko Kenya

    Taasisi ya ndoa na mahusiano kwa ujumla ni taasis yenye changamoto nyingi san . wewe Ikiwa uko kwenye ndoa na mambo yanaenda vizuri , basi hiyo ni baraka kubwa sana na umshukuru sana baba muumba aliye juu Mbinguni. Kisa hiki nachokupa kimetokea huko Kenya kwa majirani kwenye Kaunti ya...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kiungo wa zamani wa Yanga Tonnombe Mukoko atapeliwa nyumba na mwanamke wa kibongo

    Kiungo wa zamani wa Yanga kutoka Taifa la Congo Tonnombe Mukoko aliyekipiga Yanga kwa mafanikio makubwa atapeliwa nyumba na mkewe pisi Kali ambaye ni mbongo aitwae kwa Jina la Trish ambapo ndoa yao ilifungwa Congo. Akiongea na channel maarufu ya mambo ya umbea Mai Tv afunguka mengi Alisema...
  9. JamiiForums Tanzania Amnyonga mkewe kisha kukimbia na 300k

    Nimeitoa FB ============================================================================ R.I.P uyo mwanamke ndiye marehemu na huyo wapembeni ndiye alikua akiishi nae kama mume hivyo alichukua jukumu la kumuua mke wake mchana waleo akiwa shambani hivyo alipo fanya tukio alichukua simu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Akimbia Hospitali baada ya mkewe ‘singo maza’ kutembelewa na mzazi mwenzie

    Kaka mmoja hapa mtaani alioa mwanamke mwenye Watoto Wawili wa Baba Mmoja, huyo mwanamke Aliachana Na MUME Wake kipindi Watoto Wakiwa Wakubwa tayari wameanza shule, baada ya kuachana na mume wake Akaolewa Na huyu kaka wa hapa mtaani, kaka ana pesa Kiasi. Jana Mke Kaumwa Sana ikapekea akalazwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tunampost kwenye mitandao ipi, kama kweli sisi ndio tumemleta Rio na Mkewe ili kukuza utalii na kujisafisha na damu za October 29 2025?

    Okey, Rio hapost chochote kwenye mitandao yake ya kijamii kuhusu uwepo wake Tanzania, nakubaliana nae kuwa hapangiwi katika hilo. Huenda yeye na mkewe ni wakubwa kuliko Tanzania kama Nchi hivyo hawezi kutupa 'air time'. Je Wizara iliyohusika kumleta chini ya Waziri Makonda wao wanapost kwenye...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bodaboda auwawa na mwili wake kutupwa porini huko mkoani Morogoro

    Dereva wa bodaboda aliyefahamika kwa jina la Ally Kambi (24), mkazi wa Kingolwira Manispaa ya Morogoro, anadaiwa ameuawa kisha kuporwa pikipiki na watu ambao bado hawajajulikana waliomkodi eneo la Mkono wa Mara, Wilaya ya Morogoro. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo...
  13. JamiiForums Tanzania DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

    Siyo tu Nikki wa pili alimsomesha huyu binti, Bali huyu binti aliibuka mwanafunzi Bora wa uhasibu ngazi ya degree na Kwa Sasa ni CPA (certified Public Accountant) . Huyu si mwingine ni Nickson Simon Mkuu wa wilaya wa kibaha, alimpenda Sana huyu binti mpaka akafikia hatua ya kuingilia majukumu...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilifi Kenya: Mume amuuwa Mkewe sababu ya kujiunga Instagram

    Mahakama Kuu ya Mombasa imemhukumu Murad Awadh Mbarak (40) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumuua mke wake, Nuru Ibrahim, katika eneo la Kanamai, Kaunti ya Kilifi. Mahakama ilisikia kuwa mnamo Juni 19, 2022, Mbarak alimchoma kisu mke wake huyo mwenye umri wa miaka 28 mara kadhaa kufuatia...
  15. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Amchoma mkewe tumboni kisha kunywa sumu baada ya kugundua anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Tingi, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumchoma mke wake tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya kugundua kuwa Mke wake alikuwa anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) kwa siri...
  16. JamiiForums Tanzania Arumeru: Akatwa Uume na Mkewe kisha kutupwa uvunguni mwa Kitanda Usiku Manane

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Baraka Melami (40) mkazi wa kitongoji cha juhudi kijiji cha Olevolosi kata kimnyaki wilayani Arumeru Mkoani Arusha amekatwa uume wake na mkewe anayejulikana kwa jina la Anna Melami miaka (30) usiku wa kuamkia tar 19 saa saba usiku. Akisimulia kisa hicho...
  17. JamiiForums Tanzania Tumesikia maombi na vilio vya mama Polepole na ndugu zake, mkewe na watoto vipi?

    Japo sijui Humphrey Polepole alizaliwa tarehe ngapi, wikipedia yake inasema alizaliwa mwaka 1980. Hivyo, ameishafikisha umri wa kuoa na kuwa na watoto. Tangu ajiuzulu ulaji na kujigeuza mpinzani wa wahuni wenzake, sikuwahi kusikia akitajwa wala kuonyeshwa mkewe au watoto. Je alikuwa bado...
  18. JamiiForums Tanzania Ungekua ni wewe umeletewa hii kesi ya jamaa yangu na mkewe ungeisuluhisha vipi?

    Kuna jamaa yangu kanishirikisha kisa chake na mkewe ili nimpe ushauri. Kisa chenyewe ni hiki,huyu jamaa yangu alisafiri kikazi huko mkoani akakaa kama wiki tatu hivi. Sasa karudi juzi home kwake kakuta mkewe kajinyoa mavvvvzi yote. Jamaa anasema utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa wananyoana...
  19. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu kamfuma house gelo wake anampiga chabo mkewe akiwa anaoga

    Habari za leo wakuu. Leo tukiwa kibaruani kwetu kwa mhindi,sasa tukawa tunapiga story mbili tatu kupoteza muda tu ili masaa yaende tuondoke zetu kurudi home. Kuna jamaa yetu akatushirikisha jambo ambalo mimi binafsi limenishangaza kidogo. Jamaa anasema juzi aliporudi home usiku mida ya kama...
  20. JamiiForums Tanzania Mnakumbuka Proffesa lipumba aliwai wekewa pingamizi hasingombee uraisi wakidai ni punga, Kwa maana mkewe hakuwai onekana? Je Hawa nao vepeeeee? 🤣😂

    Sina mia mbaya na wagombea ila Nina waswas yakuwa Wagombea wa VITI vya uraisi nchini Tanzania ni Masster na Mapdri walio zaa nje ya ndoa. Nataka niwakukumbushe nyie vijana wa 2000 Kuna mtu aliitwa Proffesa lipumba aliwai gombea uraisi na kuwekewa pingamizi na chama Cha mapinduzi yakuwa wanaisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…