mkemia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watu wa karibu na huyu mlevi anayejiita mkemia hebu msaidieni kabla haijawa too late!

    Kuna jamaa mmoja anapenda kuweka status WhatsApp zikionesha mnywa pombe anayejiita mkemia mkuu. Kwenye hizo clips mara zote nilipoangalia ni kwamba huyo jamaa (mkemia) anaonesha namna alivyo mahiri katika kunywa pombe kali kali za kila aina. Ukichunguza vizuri utagundua yule mtu anaumia sana...
  2. JamiiForums Tanzania Mkemia natafuta kazi nina experience ya miezi 10 kama quality controller

    Habarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10 nina bsc chemistry. nina maiaka 24 nipo dar- es- salaam....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi yoyote lengo ni kupata new experience and exposure kwa wenye connection viwandani au popote msaada...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mkemia uanaeanza kazi salary scale ipi na je ni tofauti kwa tbs,gcla tpdc na wizara kwa chief pharmacist.

    Naomb kujuan salary scale ya mkemia kwa tbs,gcla na tpdc,nimr,nm
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni vipi naweza kuhama kutoka hospitali ya mkoa kwenda maabara ya Mkemia Mkuu, NIMR au TBS?

    Kuhama kada inakuaje? Jinsi ya kuhama kutoka hospitali ya mkoa kwenda maabara ya Mkemia Mkuu au NIMR au TBS au Chief Pharmacist
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa mtu kutoka ajira ya wizara ya afya na kwenda maabara ya mkemia mkuu baada ya kubadilisha fani

    Naweza kuhama kutoka wizara ya afya kwenda maabara ya mkemia mkuu.
  6. JamiiForums Tanzania Mkemia Mkuu: Idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA imeongezeka nchini

    Mkemia Mkuu wa Serikali ya Tanzania Dr. Fidelis Mafumiko amesema idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA (kuhakiki uhalali wa Watoto wao) imeongezeka kwa sasa Nchini Tanzania tofauti na miaka miwili hadi mitatu iliyopita. Kwenye mahojiano mafupi na DW, Dr. Fidelis amenukuliwa akisema “naweza...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO UTUMISHI, Kuvuja kwa mitihani ya oral interviews Chemist II(Forensic science & toxicology Posts), Mwajiri Maabara ya Mkemia Mkuu (GCLA)

    Kichwa cha mada chahusika hapo juu. Usaili wa mahojiano wa nafasi tajwa hapo uliofanyika leo tarehe 08/09/2022 umegubikwa na vitendo vya udanganyifu. Maswali yote sita ya nafasi tajwa juu hapo yamevujishwa na baadhi ya maofisa wa sekretarieti ya utumishi wa umma kwa kushirikiana na viongozi...
  8. JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kupima DNA, gharama ya kipimo ni Tsh.100,000/=

    Mkemia Mkuu wa Serikali, Dk Fidelice Mafumiko amesema kuwa anayetaka kupima vinasaba (DNA), iwapo ana wasiwasi na mtoto anapaswa kufuata taratibu, badala ya kwenda moja kwa moja kwenye ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA). Akizungumza na waandishi wa habari katika...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nini Jukumu la Mkemia Mkuu, TMDA na TBS katika kuhakiki ubora wa mafuta, vitambaa, keki na maji ya upako?

    Katika Huduma za Kiroho mbalimbali ndani na nje ya nchi kumekuwa na shuhuda za hadharani kabisa kuhusiana na matumizi ya bidhaa za upako kama mafuta, maji, vitambaa, bangili, keki nk. Nyingi za shuhuda hizi zimekiri nguvu iliyomo ndani ya bidhaa hizi ikiwemo nguvu ya kufisha baadhi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkemia wa Madini (Metallurgist), nipe kazi hizi

    Naitwa Juma Paul kija mhitimu wa taaluma ya ukemia upande wa madini nafanya uchenjuaji wa madini ya dhahabu kwa mfumo wa vat leaching kwa ufanisi na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto za copper, sulphur, zinc, iron na silver nakuto dhahabu yenye purity ya asilimia 90 na kwendelea...
  11. JamiiForums Tanzania MKEMIA kutoka ofisi ya Mkemia mkuu wa Serikali, Faustin Malamula atoa Ushahidi kesi ya Madawa(Bangi) inayomkabiri Paul Ikumbi

    MKEMIA kutoka ofisi ya Mkemia mkuu wa Serikali, Faustin Malamula, amedai baada ya kufanya uchunguzi wa kete 43, zizaniwazo kuwa ni bhangi alibaini kwamba ni bhangi ambazo zilikuwa na kemikali ya Tetrahydrocannabinol(THC), ambayo husababisha ulevi usiopoonyeka kirahisi. Malamula ambaye ni...
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza na Mchungaji Mwingira Siku zingine msiwe mnaonyesha 'Mahaba' yenu ya 'Kiroho' wazi wazi kwa 'Kiboko' ya 'Mkemia' wa Ziwa Victoria!

    Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake. EastAfricaTV Ngojeni sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Watani zangu 'Wakubwa' Kabila la 'Wahaya' mpo tayari na mmeshajiandaa 'Kisaikolojia' Kuchukiwa na Mkemia?

    Wanafunzi waacha vipindi na kuanza kuukimbilia msafara wa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu. Wanafunzi hao walianza kuimba "Tundu Lissu!.. Tundu Lissu!.." Leo Septemba 23, 2020 Msafara huo ulikatiza katika shule hiyo ukielekea Muleba Kusini. Official Bavicha Taifa Mbona...
  14. JamiiForums Tanzania Jikumbushe mpambano wa Ubunge kati ya Mwl. na Mkemia Magufuli na Mkulima Phares Kabuye

    UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA BIHARAMULO Mnamo Mwaka 1985 Mwalimu wa Kemia shule ya sekondari Sengerema John Pombe Magufuli aligombea ubunge wa jimbo la Biharamulo akichuana na Mkulima Phares Kabuye. Kabuye alishinda na kutangazwa Mbunge, na Mwalimu Magufuli akarudi Sengerema kufundisha. Mwaka...
  15. JamiiForums Tanzania An 8-year-old Labrador retriever named Moose received an honorary doctorate for helping so many students during his time as a therapy dog

    An 8-year-old therapy dog named Moose is officially a very good boy, after he was awarded an honorary doctorate in veterinary medicine from Virginia Tech last week. Source: CNN International / edition.cnn.com Meet Dr. Moose, an 8-year-old Labrador retriever who was awarded an honorary...
  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe mzito ndani ya See You Again - Charlie Puth Ft Wiz Khalifa

    Salaam wana jamvi, Matumaini yangu ni kwamba tuwazima tukiendelea kulisukuma gurudumu la maendeleo kujipatia cha kutia midomoni mwetu. Ukiachana na matukio mengi yaliyotokea wiki hii, cha msingi ni kumshukuru Mungu kwa kutupatia uhai; yote heri, uzima kwanza. Leo nilitaka kuzungumzia wimbo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…