mkeka

  1. M

    Dkt. Mwigulu: Kuna minong'ono watu wanasubiria mkeka, utakukumba kweli sababu utaacha kazi

    Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba amesema hayo leo Machi 11, 2026 wakati anahutubia katika mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa pili wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II)
  2. Sitaki kuamini kua mkeka huu unachanika!

    Vipi tuendelee kusikilizia? Au ni cash out? Yaani timu moja tu ya mwishooni inachana mkeka!!
  3. Jibu la demu wangu baada ya kumwambia nalala kwenye mkeka limenisikitisha

    Nakaambia kademu kangu ka 2005 kuwa nipo geto nimejilaza kwenye mkeka, eti kanasema "mkeka ndo nini au ndo zile ngozi waliolalalia slaves (watumwa) ? 🤣🤣 Aisee dunia inabadilika kwa kasi sana
  4. Simba SC mnataka kumsajili huyu Kipa wa Taifa Stars Yakub je, mna uhakika ataweza kumuweka Mkeka Pin Pin Camara au mnataka tu Warogane?

    Mbona tunae tu Kipa mwingine hapo huyo Dogo Abel na nimemuona ni mzuri tena hata kuliko huyu Yakub. Tuwaeleweje?
  5. Screenshot mkeka wako aisee, utakuja kushukuru

    Guys kwa wale wazee wa kubeti Online kuna baadhi ya kampuni ni wezi. Iko hivi, umeweka mkeka umekula hela nyingi say 50M -->, au hata 20M tu. Wanabadilisha matokeo ya mkeka wako, wanaweza kuweka timu ambazo wewe haukuweka au ulipoweka over 1.5 wakaweka 0ver 2.5. Niliandaa mkeka kwenye...
  6. GE2025 Askofu Bagonza: MKEKA WA CCM, Mashaka ni Mengi Kuliko Matumaini

    Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook. ==== MKEKA WA CCM: Mashaka ni Mengi Kuliko Matumaini. CCM ni kama Marekani. Uchaguzi wake unawala macho hata wasiohusika. Leo mkeka umeshangaza watu. Mimi nimejikaza na kufanikiwa kutafakari haya: 1. Waliokatwa...
  7. S

    Mkeka wa mishahara mpya ya July, 2025 na makato yake bado haujatoka kama miaka ya nyuma?

    Hii ngoma bado haijavuja au safari hii wamekuwa makini kuliko miaka ya nyuma ambapo majedwali ya viwango vipya vya mishahara na makato kama PAYE huvuja? Mara nyongeza ni shilingi 10,000 au 20,000 kwa wale ambao mishahara yao sio kima cha chini. Mtalia tena watumishi kama mlivyolia 2022.
  8. Wale mnaojua kutabiri tunaomba mkeka

    Kuna watu wakisema jambo litatookea. Ni wkt muafaka. Magu alijaribu kujua upinzani. Mama anajua anafanyanini. Sasa wale walozi mpoo
  9. Mkeka wa mwisho wa mama umetoka bila jina la Mayalla, Msigwa na Lucas Mwashamba. Je hao chawa hawaaminiki?

    kKwenye dakika za jioni kabisa, mkeka wa mama umetoka bila majina ya chawa maarufu kupenya. Nimepitia ule mkeka zaidi ya mara tatu lakini sijaona jina la Pasco Mayalla, Mchungaji Peter Msigwa na Lucas Mwashamba. Sitaki kuamini kama mama hana taarifa zao, sijui inakuwaje watu wengine wa ajabu...
  10. R

    Mkeka wa mama unanukia; muda wa kupata uteuzi na utenguzu huu hapa. Je utakumbukwa? Wangapi kuondoshwa?

    Tarehe zimewadia za kujua wale wote waliochoka kufanya kazi ya uteuzi na sasa wanataka kufanya ya ubunge. Dakika chache zijazo kama siyo siku chache tutaona Mkeka kama Mhe. RAIS alivyoelekeza wanaotaka kugombea wamng'ate sikio mapema apeleke wengine. Je, wakuu wa mikoa wangapi wamechoka kuwa...
  11. W

    Trump anaweza kutoa mkeka wa Nchi 36 zitakazopigwa marufuku kuingia Marekani, Tanzania yadaiwa kuwepo

    Trump Kufikiria Kuongeza Nchi 36 Katika Orodha ya Marufuku ya Kusafiri, Ikiwemo Nchi za Afrika na Karibiani – Ripoti Utawala wa Donald Trump unafikiria kuweka vikwazo vya usafiri kwa nchi nyingine 36, kulingana na waraka uliosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ambao...
  12. B

    Serikali yazima matangazo yote kuhusu kamari (mkeka) nchini

    SERIKALI, kupitia Bodi ya Kudhibiti na Kusimamia Kamari (BCLB), imesitisha matangazo yote ya kamari katika majukwaa yote ya vyombo vya habari nchini kwa kipindi cha siku 30, kufuatia ongezeko la shughuli za kamari na uraibu unaoathiri jamii. Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, Aprili 29...
  13. Mkeka wa buku wa behewa upoje?

    Anayejua kutengeneza mkeka wa buku ambao unaweza kunipatia million 10-30 Tshs. Naomba nisaidie namna ya kuupanga huo mkeka. mfano naweka timu ngapi? Ni wa kufungana au GG? Mimi sifahamu kabisa betting lakini nataka kuwa najaribu bahati yangu japo mkeka mmoja au miwili kwa wiki. Unaweza...
  14. M

    Viongozi wa Simba naomba muweke mkeka wa wanachama, mashabiki na viongozi wote waliochangia hadi sasa ili tuanze kusutana wenyewe kwa wenyewe

    Kuna watu wanajifanya wanaipenda Simba lakini hadi hawajachangia hata sumni halafu wao ndio wanajiona mastaa wa kuisemea Simba, ukiwaona mitaani ama uwanjani wanajifanya wao ndio Simba kweli kweli lakini kwenye kuchangia timu wako mbaali. Timu yetu imewasilisha hoja ya kuchangia adhabu...
  15. B

    Duh! Mkeka umechanika vibaya sana! Huku Tundu Lissu pale John Wegesa Heche!

    Kugombea nafasi ya umakamo mwenyekiti chadema kwa John Heche ili ni pigo kubwa na baya sana kwenye kambi ya Mbowe na vibaraka wake. Hakika wakati ni ukuta huwezi kushindana na wakati bahati mbaya Mbowe na timu yake hawakufikiria kuhusu wakati kuwakataa kuwa viongozi. Sasa ni rasmi mkeka wao...
  16. Hatimaye nimeanza mchezo wa kubet na mwanzo mzuri

    Habari zenu Wana Jamvi, hope ni wazima. Ebana, hatimaye katika harakati za hapa na pale, baada ya kuona washkaji stori zinazoongelewa ni za masuala ya kubeti, ikabidi na mimi niwaombe wanielekeze kutokana na kwamba nina ujuzi wa kutosha wa masuala ya soka. Basi msela mmoja aka-download app moja...
  17. Tetesi: Muda wowote kabla mwezi haujaisha Rais kutandika mkeka mpya, Mtanda ajiandae kisaikolojia!

    Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa, ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya utoto hao watakwenda na maji. Angalizo: Hatujui mabadiliko haya kama yanahusiana na mechi ya Pamba...
  18. Mkeka wa uhamisho wa watumishi unatoka lini?

    Tangu mkeka wa mwisho utoke nadhani ni Julai mwaka jana halafu ndipo ukaletwa huu uhamisho wa kwenye mfumo. Juzi kati tena kukaja habari ya kufuata wenza watu wakashughulikia fasta. Sasa baada ya mambo yote hayo wengi wetu tumetega macho na masikio matarajio yetu ni kuona mkeka kabambe wa...
  19. Ang'oa mrembo mhudumu wa Betting baada ya kushinda milioni 36 za Mkeka

    Wakuu, Mwana kang’oa pisi kali Jamaa mmoja kutoka Uganda ana-trend baada ya kushinda milioni 36 kwenye betting. Baada ya ushindi huo, mhudumu wa mapokezi katika kituo cha betting aliamua kuacha kazi yake mara moja na kuwa mpenzi wake, kisha wakaondoka pamoja. Pia, Soma: Mchungaji afunga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…