The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.
Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29,
Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja.
Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
Jamani wakubwa zangu shikamooni.
Mdogo wenu nimeyakanyaga, kuna mwanamke ni mke wa mtu tena wa ndoa kabisa. Katika kuendekeza ngono zembe nimejikuta nimempiga mimba. Cha kushangaza yeye anaonekana hana hata wasiwasi,nimemuambia tuichomoe kakataa.
Wakuu,hii kesi naimaliza vipi?
Mke wangu ni Mbinafsi na Mchoyo sana.
Hili ni tatizo ambalo linanipa shida sana. Mke wangu tuna miaka kadhaa na watoto kadhaa. Kinachosumbua hasa ni ubinafsi. Anapenda kuwa centre of attention katika kila kitu.
Ni mtu ambaye anapika nyama kisha anaanza kuchukua kwenye sufia kwa mikono kula...
Habari wana JF
Natafuta mwanamke mwenye heshima na upeo wa kiakili , na kimaisha ambaye yupo tayari kuishi maisha ya ndoa yenye upendo, heshima na furaha.
Ndoto yangu ni kumpata mwanamke wa umri kati ya miaka 25 - 30 ambaye hajawahi kuolewa na hana mtoto. Kama yupo mwenye uhitaji namkaribisha...
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Veronica Muhale (40), Mkazi wa Kata ya Endagaw, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, anadaiwa kumjeruhi Mume wake Josephati Kasi (45) kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba.
Imeelezwa kuwa chanzo cha Veronica kufanya hivyo ni ni...
Natafuta mke wa mtandaoni hasa JF.
Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba za simu.
Kila kitu kinabaki mtandaoni hakuna hata kutumiana picha. Suala la umri nk sio vigezo haya...
Habari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela.
Mi ninavyojua...
Kuna riwaya za kale kabisa (hasa katika Sirah ya Ibn Ishaq, ambayo ndiyo wasifu wa kwanza wa Mtume Muhammad (s.a.w)) zinazoonyesha kuwa mara ya kwanza alipopokea wahyi, alihisi kana kwamba amepatwa na jinni au jambo la ajabu lisilo la kawaida. Alikutana na Jin
Mfano wa simulizi:
Katika Sirah...
Rasmi leo nimeamua kuachana na mke wangu baada ya kuishi nae kwenye ndoa for almost mwezi moja baada ya matokea yake ya chuo kupata GPA ya 4.4 mke wangu nilimuoa akiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu na miaka yote alikuwa anapata GpA above 4.5 ila haya matokeo ya mwisho amepata 4.4 hii kitu...
Huyu jamaa kila ukiingia kwenye page yake ya instagram ni mwendo tu wa kumsifia mke wake mpya. Pigo zile za kishamba kama za Manara.
Siku yakimkuta naamini atalia zaidi ya alivyolia kwenye msiba wa Magufuli.
Bwana Giorgio Armani alizaliwa mwaka 1934 nchini Italia. Alisoma shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu, baada ya hapo alijiunga na jeshi kabla hajagundua kipaji chake cha ubunifu wa mavazi.
Bwana Armani Amani kubuni mavazi ya nyota jwa dunia katika ulimwengu wa filamu kama Julia Robert’s...
Sifa zangu:
Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, kabila maasai
Degree ya Kwanzaa
Muajiriwa sekta binafsi
Mweusi, mrefu na mwili wa wastani
Mkristo
Sijawahi kuoa na Sina watoto
Napenda jogging na kusali
Sifa za mwanamke ninayemuhitaji
Mkristo kabila lolote
Mweusi na mwenye urefu wa wastani
Aliye...
Za saizi wajumbe?
Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani.
Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana "
Sasa wakuu, mke wa mtu kukuambia kakumiss ina maana gani haswa?
habari zenu,,,
naombeni ushauri wenu wataramu wa afya,, yapata mwezi sasa tangu nianze kuishi nae rasimi kama wana ndoa. amekua akitokwa na damu ukeni kila ninapo shiriki nae tendo la ndoa mwanzozi nilidhani itakuwa ameingia period pasipo kujua na nilipo muuliza alidai nayeye anawaza kama...
HIVI UNAWEZA KUMRUHUSU MKEO AKAFANYE KAZI BAR? TENA ANALALA HUKOHUKO WIKI NZIMA, IKIWA TU WEWE MME UMEFULIA KIFEDHA NA MNA MTOTO MDOGO.
TOA MAONI YAKO.
Mwanamke ambae umemtolea mahari na kumuoa ukimuwekea mazingira ya kumruhusu kuvaa taiti, vimini, vitopu, vigauni, vibukta, nk. hesabia umemruhusu ajitangaze kama bidhaa inayohitaji wateja.
unaporuhu avae hivyo tafadhali usichukie unapoona anatongozwa sana, watu kugeuza shingo zao kumdadisi au...
Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea?
========================================
Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.