mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ANT DRUGS

    Sitaki kumsaliti mke wangu ila ananilazimisha

    Nikimalza la Kwanza anadai amechoka na anaogopa la pili anasema nachelewa Sana kumwaga. Nishamfatilia Sana hana michepuko wala nini na ni church girl. Nawaza kuwa na plan b Ila ana wivu balaa muda wote anakagua simu yangu. Haya nayapitia mwenyewe nyie watu mliooa?
  2. Dr leader

    Mke wangu kaolewa

    MKE WANGU KAOLEWA Namuombea laana, yeye na kizazi chake Asipate cha maana, yeye na wazazi wake Naamba kwa maulana, kumhusu mja wake Mke wangu kaolewa Nilifanya kila hali, wao wapate amani Haramu au halali, chakula kiwe tumboni Kupata sio sahali, hakuridhika mwandani Mke wangu kaolewa Bora...
  3. SuperHb

    Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi

    Habari ndugu.. Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,, Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute...
  4. Zee la madawa

    Alivyonikosa kuniuawa mke wangu kutokea kanda ya ziwa

    JamiiForums Mahusiano, mapenzi, urafiki Nilivyonusurika kuuawa na aliyekuwa mke wangu kutoka kanda ya ziwa Thread startermkunga wa jadi Start date42 minutes ago Tagsaliyekuwa kanda kanda ya ziwa kutoka kuuawa mke mke wangu wangu ziwa Jump to new Unsubscribe ••• mkunga wa jadi Senior Member...
  5. Choosen85

    Nimeona kitu kwa mke wangu ambacho nilitamani kujua kama ni kweli

    Wakuu wasalaam T.A.M LISSU ndiye mtetezi wa taifa hili na watanganyika kuombewa ni lazima, TUMUOMBEE MBEBA MAONO....T.A.M LISSU. Niliwahi kupata story za watu mbalimbali na pia kuona kwenye porno video kuhusu kusex na mwanamke na aka squirt ( kumwaga maji kama mkojo ) hii siyo orgasm so...
  6. M

    Nilivyonusurika kuuawa na aliyekuwa mke wangu kutoka kanda ya ziwa

    Hawa watu kutoka kanda ya ziwa ni wakatili sana hasa hasa wanawake yaani ukitaka kuona dunia chungu au ndoa ni chungu oa mwanamke kutokea kanda ya ziwa aisee mimi niliona cha mtema kuni nusura aniue kisa mali tu ambazo yeye amenikutana nazo aisee kwanza hawa wanawake toka kanda ya ziwa...
  7. BigTall

    Mke wangu hana bajeti na hajali, anataka tukipata pesa tutumie hadi ziishe

    Mimi na mke wangu tuna miaka minne sasa na tumebahatika kupata Watoto wawili, awali nilikuwa na maisha magumu sana, lakin kwa sasa ipo nafuu siyo kama mwanzo. Changamoto ni kwamba mke wangu yeye yuko bize na pesa tu yaani ku-plan pesa ninayoipata tu-balance tufanye jambo la kutuinua kiuchumi...
  8. Choosen85

    Nilikamata simu ya mke wangu wanachati na mdogo mtu wananisengenya

    Hongereni kwa darasa la sheria kutoka kwa mh. Ndugu T.A.M LISSU. Nipo na mke wangu sasa ni mwaka wa 4 sijwahi mpiga hata kofi maana anajitahidi kwenye utii kwa kweli. Alimleta mdogo wake wa kike huku na alipofika nikaona yupo yupo tu niliamua mtafutia sehemu angalau awe anajifunza ufundi wa...
  9. M

    Mke wangu anatelekeza chumba chake na kwenda chumba cha mtoto

    Wakuu kwanza kabisa napenda niutangazie umma kuwa bila kulazimishwa wala kushawishiwa nimeamua kwa dhati kutowatetea single mothers kwenye lolote. Acha wapambane na hali zao. Hawa viumbe wana namna nyingi za kukuharibia utulivu. Kuwatetea ni kupoteza muda. Mimi nilivuta single mama mmoja mwenye...
  10. ngara23

    Dudu baya amjibu mkewe mkubwa Fela aliyelalamika kuwa mmewe ametengwa na wasanii baada ya kuwa mgonjwa mahututi

    Mapema wiki hii mke wa mkubwa Fela amelalamika kuwa wasanii ambao mkubwa Fela aliwasaidia Sasa hawapokei simu wala kutoa msaada, mkubwa Fela amekosa pesa za matibabu yupo hoi nyumbani kwake hana huduma wala msaada wowote Dudu baya amebainisha kuwa 1. Mkubwa Fela alifanya dhulumu nyingi na...
  11. Wachokonozi

    Siku nikimuoa mke wangu

    Nawaza je siku hiyo mke WANGU atajua sijaoa jinsia yake ya kike Wala hajaolewa na umbile langu la kiume? Je atajua umri wangu na wake si kiini chetu, Wala uzuri wake si nguzo yangu ya kudumu? Siku nikimuoa mke wangu sitamvika pete kwanza, nitamvika maswali. Kwasababu ndoa si sherehe ya kupiga...
  12. Grau

    Mke wangu anategemea house girl afanye majukumu yote kisa tu tunamlipa ki 50,000

    Habari wakuu? Mimi nimeoa, baada ya mda nikafungua kiofisi ambacho ilituradhimu tutafute house girl, baada ya mda tulimpata mwenye umri around 16 yrs dah! Huyu house girl anaamka saa 12 asubuhi anapiga kazi kufikia saa sita mchana kaivisha na chakula cha mchana. Kiukweli mimi house girl...
  13. and 998 others

    Guys Neema si mke wangu guys

    Guys Neema hajawahi na si mke wangu guys. Esta luxury tumepoteza mabasi Zaid ya 100 guys. Nampenda Oliver Twiga guys. Analowesha godoro guys.
  14. Its Tesha

    Mke wangu anachelewa sana kurudi nyumbani anasema akitoka kazini anaenda kwenye maombi

    Habari za jioni nimekuwa kwenye ndoa yangu yenye miaka 2 lakini miezi ya ivi karibuni mke wangu amekuwa akichelewa sana kurudi nyumbani akidai anaenda kwenye maombi kila siku mara baada ya kazi napata mashaka na hii kauli yake? sijui anachoenda kuomba kila nikimwambia twende wote maombi anasema...
  15. GoLC

    Nimeambiwa nikitaka kuishi muda mrefu nisikilize ushauri wa mke wangu

    Tukiwa tunatazama BBC na yanayoendelea kuhusiana na kifo cha Raila, nilijikuta naanza kuhesabu watu mashuhuri waliokufa na kuacha wake zao hadi leo. Nilianza na Nyerere, Kibaki, Moi, Magufuli, Mkapa, Kijazi, Mfugale, Lowasa, Sitta, Mandela, et al. List ni ndefu sana. Ajabu wote hao bado wake...
  16. Z

    Mke wangu ananipa mashaka

    Ninahisi mke wangu ni aina ya wanawake ambao upo nae kwenye ndoa lakini na yeye anajenga nyumba yake kwa Siri Niliwahi kumwambia kwamba tufungue biashara na yeye ndie aisimamie biashara yetu lakini alikataa na kusema kwamba anataka nimfungulie biashara yake mwenyewe na sio ya familia yaani...
  17. Y

    Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29, Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja. Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
  18. Grau

    Bibi zake mke wangu wakikosa pesa ya kulipa ada wanaanza kutumia mabavu nilipe mahari

    Habari? Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela. Mi ninavyojua...
  19. M

    Mke wangu kaamka alfajiri anaona anatoka maji maji ya njano tatizo ni nini?

    Wakuu habar mke wangu usiku wasaa kumi kaamka imemtokea Hali yakutoka maji maji ya njano hivi ukeni bila kujua anaona nguo ya ndani imelowa tu,hii itakua anashida Gani hasa
  20. BUMIJA

    Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

    Wasalamu. Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule. Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie. .Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni...
Back
Top Bottom