mkate

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    Dkt. Slaa, yanatokea sasa ulijitakia mwenyewe. Ulishiriki kuwa sehemu ya maumivu ya Wapinzani

    Kinachomtokea Wilbroad Slaa ni matokeo ya usaliti mkubwa alioufanya, alikuwa katibu mkuu wa Chadema; aliendesha harakati nzito za chama .aliongoza maandamano makubwa kule Arusha vijana wakapigwa risasi wakafa akashiriki kuwazika, majeneza Yao yalipambwa kwa bendera za chama. Wewe ulitoa hotuba...
  2. R

    Taifa limepasuka; wanaopata mkate kutoka serikalini wapo kushiba; wasiopata mkate wanatafuta pakupata mlo

    Kama Taifa hatupo pamoja; wazee wamegawanyika; huu siyo uhuru wa kuongea ni hasira ya kuyumba kwa misingi yetu. Mwalimu alituambia tinaweza leo tunaambiwa hatuwezi; wakati tunaamini tunaweza. Tunaamini hatuna mlo tunalazimishwa tumeshiba. Jk amekwenda kutalii kuvuta attention ya watu kila mtu...
  3. Mabula marko

    SoC03 Tuwakumbuke Viongozi wa halmashauri za vijiji, Vitongoji na mitaa katika kuumega mkate

    utangulizi Utawala wa vijiji ,vitongoji na mitaa ni miongoni mwa tawala katika serikali za mitaa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni utawala wa chini kabisa kimuundo ukitanguliwa na utawala wa Kitongoji. Kuwa utawala wa chini haimaanishi kuwa na umuhimu mdogo; isipokuwa ni kupitia...
  4. W

    Mkate wa Siha

    Kwa wale wahenga wenzangu wa Oysterbay na Masaki, mnakumbuka kipindi cha miaka ya 80, pale Morogoro stores, kulikuwa na duka lina uza Mikate ya Siha, kipindi hicho niko mdogo sana sikumbuki vizuri ila ninachokumbuka kama vile ilikuwa inapaikana mara moja kwa week na kulikua kama inagombewa...
  5. JanguKamaJangu

    Tundu Lissu: Hatutaki maridhiano ya nusu mkate, tunataka Katiba Mpya

    Tundu Lissu aibua SIRI nzito CCM na CHADEMA. atibua Maridhiano,"hatutaki kupewa nusu mkate, tusikubali kupewa viti vya Ubunge kwa hisani, Chadema tunaambiwa tutapewa majimbo halafu tunachekelea huu ujinga" Chanzo: Jambo TV
  6. Desierto

    Mrejesho: Nimenyimwa kukopeshwa mkate wa buku nikanywe chai na familia yangu

    Toka aninyime kunikopesha mkate naamini kila aliponiona alikosa amani moyoni, maana kusema ukweli alikuwa hana sababu ya msingi kuninyima mkate niipelekee familia ikale, kwasababu hiyo mimi nilitaka tu kumuonyesha kwamba mimi sipo hivo anavo nidhania, Niliendelea kwenda dukani kwake tena ikawa...
  7. Street Hustler

    CHADEMA wanatamani maandamano ili waende na upepo sema ndio ivyo tena mkate umekutana na chai

    Kiukweli jinsi wenzetu Kenya wanavyojaribu kutumia umoja wao kudai Chao vilevile huko Africa kusini, Senegal na nchi mbalimbali imeonekana nguvu ya wanachi inamana sana kwenye kudai Jambo lao. Huku kwa ndugu zangu wapinzani wasiojua wanataka Nini wanejikuta wanatamani sana nao wangekuwa kwenye...
  8. HaMachiach

    Hakuna mkate mgumu mbele ya chai (Falsafa ya Deus Seif na Abubakari Alawi inavyoendelea kukivuruga Chama cha Walimu Tanzania)

    Leo hii tarehe 16 Machi 2023 Wapiga dili Deus Seif na Abubakari Alawi wamefanikisha kuzuia mambo kadhaa kufanyika kwenye mkutano mkuu wa chama cha walimu Tanzania. Kama ambavyo tumebainisha hapo awali juu ya dhamira yao ya kurudi madarakani na kuendelea kufanya ubadhirifu ndani ya chama cha...
  9. Desierto

    Nimenyimwa kukopeshwa mkate wa buku nikanywe chai na familia yangu

    Huyu muuza duka nimejuana nae miezi 3 iliyopita na toka hapo nakopaga ila nampa pesa yake jioni nikifeli saana kesho asubuhi nampati. Sasa Jana asubuhi nimepitia hapo asubuhi baada ya kutoka kwenye ofisi yangu nikamwambia anipe mkate wa buku hela nampitishia jioni, akagoma kunipatia akidai...
  10. Pascal Mayalla

    Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!

    Wanabodi Waswahili wana vijineno neno vyao, ukivisikia unaweza kuviona ni kama vineno vya Utani!. Moja ya vineno hivyo ni "Penye Uzia Penyeza Rupia!" na "hakuna mkate mgumu mbele ya chai". Siasa zetu ni siasa za kijungu jiko, yaani siasa za hand to mouth kwa kutegemea ruzuku!. Hizi ni siasa...
  11. Fbn

    Kuna nchi mkate ukipanda bei ni ishara kuwa nchi ipo kwenye tatizo

    Sio kwetu huku hata tuongezewe matozo, makodi na masababu ila tutaishia kumudu tukilalamika moyoni na kumuwachia mungu. Kwa sasa hakuna penye unafuhuu kuanzia kile kilicho kuwa kinaliwa na maskini nacho kinaonekana kuwa sawa bei moja na kinacho liwa na matajiri au wanaomudu. Vipato vyetu na...
Back
Top Bottom