mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Serikali irekebishe kasoro zilizopo katika mkataba wa DP World au iachane nayo kabisa

    Maneno mengi yamesemwa juu ya mkataba huu na wengine wameenda mpaka Mhakamani kupinga mkataba huu. Sisi tunaokaa huku kwa wananchi tumesikia mengi na sumu nyingi imemwagwa kwa wananchi kuhusu ubaya wa mkataba huu. Kama Serikali ikiamua kuendelea na mkataba huu yafuatayo yanaweza kujitokeza:-...
  2. JamiiForums Tanzania Je, wabunge wa CCM wenye akili wametishwa kutoa maoni mkataba wa Bandari?

    Habarini nyote, Kuna kila ishara ya wingu la utisho mkubwa dhidi ya wabunge wa CCM wenye akili ambao kwa hakika wanajua fika huo mkataba wa Bandari ni utopolo na umangungo mtupu. Na nadhani awamu hii huo utisho ni mithili ya mkondo wa maji ajali ya meli ya titanic. Hadi wabunge makini...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Watanzania tujadili mazingira yenye utata kwenye Mkataba wa Bandari

    MAZINGIRA YENYE UTATA KUHUSU MKATABA WA BANDARI Kuna mazingira yenye utata mkubwa na yanayoibua hisia na maswali mengi kutoka hatua ya MoU, kusainiwa na kuridhiwa kwa mkataba huu wa IGA, nitaongelea vipengele vitano kama ifuatavyo. (a) Kampeni za wazi, Spika wa Bunge kuandaa ziara mwezi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia aitumie Simba Day kutuambia kwanini alisaini Mkataba mbovu wa Bandari

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo. Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma...
  5. JamiiForums Tanzania Vikao vya madiwani kuhusu uhamasishaji mkataba wa bandari

    Hivi hii nchi wapi inaelekea kwa sasa, serikali itwambie hii bajeti ya vikao vya madiwani nchi nzima ya kuwawezesha na kuwaelimisha ili waende kwa wananchi kuwaeleza na kuwashawishi kuhusu mkataba wa bandari wanaitoa wapi? Hata ivyo mimi naliwe najiuliza kunani kwenye mkataba huu hadi kufikia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sababu kwanini ACT Wazalendo hawazungumzii mkataba mbovu wa bandari

    Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DP World. 1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka maeneo mbalimbali ya nchi. Ni katika kipindi hicho suala la bandari lilikuwa linaanza kushika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkataba Mzuri, kwa nini watu waache ofisi?

    Mheshimiwa sana DC wa Handeni ambaye alitokea upinzani anazurura kutetea mktaba mzuri na wenye maslahi kwa nchi,kwa nini? Viongozi wa serikali na Chama wangetulia na wakatekeleza Mkataba na kwa muda mfupi matokeo yataonekana na aibu yao wanaoupinga.
  8. JamiiForums Tanzania CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

    Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa. Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236 Suala...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya Nje Danmark alisaini mkataba akiwa kalewa wa kuipa Norway utajiri

    Hækkerup is most widely known for the agreement he reached with the Norwegian Minister Jens Evensenthat gave Norway the oil-rich Ekofiskoil field in the North Sea. According to an urban legend, Hækkerup was drunk when he signed the agreement.
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuruhusu watu wajadili mkataba wa bandari tayari ni legacy

    Habari wanaJF. Nimepata wasaa mzuri wa kutafakari haya mambo ya bandari na huu mchuano unaendelea kati ya wanaosapoti mkataba na wanaopinga. Kwa vyovyote itakavyokuwa lazima tukubali kwa mara ya kwanza tumepata Rais anayependa ukweli na uwazi kwa vitendo. Haijawahi tokea wananchi wakajadili...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini DP World ya Dubai wako kimya kweye hili suala la mkataba?

    Nimekuwa najiuliza hili swali lakini bado sijapata majibu. Huu mkataba ni baina ya sehemu mbili, The said Tanzania na DP World ya Dubai. Huku Tanzania viongozi wa nchi na CCM wanajitahidi kutotoa ukweli kuhusu huu mkataba, na wameshajiwekea uadui mkubwa na watu wanao oji uhalali wa mkataba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili. Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti: 1. Mwabukuzi ni mchochezi. 2. Mwabukusi...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Baraza la Mawaziri halichukui hatua hizi juu ya mkataba wa bandari wakati waliujadili na kuupitisha kabla hata ya Bunge?

    Kwa ufupi Baraza la Mawaziri ni chombo cha serikali kinachosaidia Rais katika kutekeleza majukumu na kufanya maamuzi ya kitaifa. Jukumu la Baraza la Mawaziri linahusisha mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kujadili na kufanya maamuzi kuhusu masuala muhimu ya serikali, mipango ya kitaifa, sera, na...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hayati Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kukubali mkataba wa miaka 99 bandari ya Bagamoyo

    Mimi nilikuwa namchukia sana Magufuli siwezi kumsingizia neno, "Magufuli alisema Mkapa na Kikwete wameuza nchi kwa mikataba mibovu akaanza kuivunja mikataba yote,tukashtakiwa" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi. "Magufuli alisema awa Wazee wameharibu sana nchi,tukamwambia...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World mpaka pale Serikali itakapotoa ufafanuzi

    Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World kwasababu kauli zao hazina staha, hazifuati taratibu za kisheria katika uwasilishwaji wake hivyo ni sawa na kelele na usumbufu kwa wanchi hivyo basi hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wale wote wenye nia ya kuikashifu...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa huu Mkataba, hiki ndicho SERIKALI ya CCM inataka kuwafanyia wananchi

  17. JamiiForums Tanzania Msando kama mlihitaji maoni ya wananchi msingesaini mkataba bila kuwashirikisha. Alafu kwa nini iwe waarabu? Alafu safari uarabuni zimezidi!

    Wakili njaa?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Wanaopinga Mkataba wa Bandari ni wivu tu

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza Amos Makalla amesema wanaopinga uwekezaji wa bandari za Tanzania hawana maono na maendeleo yanayoletwa na serikali. Akizungumza wakati wa mkutano unaofanyika jijini Mwanza amesema uwekezaji huo utasaidia katika usafirishaji wenye urahisi wa mizigo mbalimbali kupitia...
  19. JamiiForums Tanzania Mkataba wa DP world na Tanganyika kutafsiriwa Kwa Kiswahili na kugawanywa bure kwa wananchi kupitia Chadema.

    Ni nini madhara ya Zoezi hili Iwapo Chadema watafanikisha Zoezi hilo? Tujadili Ili bila ushabiki.
  20. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kumaliza mgogoro wa mkataba wa bandari nchini Tanzania

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUMALIZA MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI NCHINI TANZANIA Utangulizi Katika juhudi za kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii, serikali na taasisi za umma hufanya mikataba na wawekezaji ili kuvutia uwekezaji na kuleta maendeleo katika nchi. Hata hivyo, mikataba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…