mkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Saashisha Mafuwe aishauri Wizara ya Ujenzi Iwe na Mkakati wa Kudhibiti Barabara Zijengwe kwa Kiwango Kinachostahili Ili Kupunguza Matengenezo

    MBUNGE SAASHISHA MAFUWE Aishauri Wizara ya Ujenzi Iwe na Mkakati wa Kudhibiti Barabara Zijengwe kwa Kiwango Kinachostahili Ili Kupunguza Matengenezo ya Mara kwa Mara "Jumapili ya tarehe 26 Mei, 2024 nilikuwa na mkutano wa hadhara katika Kata ya Weruweru na wananchi wakaniambia Mhe. Mbunge kwa...
  2. Kuendeleza hamasa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia

    Miongoni Mwa Utekelezaji Unaoendelea Kufikiwa na Serikali Ya Awamu Ya Sita, Ni Ufikiaji wa Asilimia Kubwa Ya Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia. Na Kwa Kutambua Umuhimu Wake, Nilifanikiwa Kutembelea Kampuni Ya Utengenezaji - Majiko, Ya, "Envotec", Inayotengeneza Majiko Kwa Kuzingatia Usalama wa...
  3. Tauhida Gallos Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini

    MHE. TAUHIDA GALLOS Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini "Wizara imeandaa muongozo wa Taifa wa uendeshaji, usimamizi na uratibu wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa wa mwaka 2023, Mei ambao umebainisha afua ya kuwajengea wajumbe wa...
  4. Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania lazindua Mpango Mkakati wa 2024-2029

    Mwishoni mwa wiki hii, Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania likiongozwa na Zainab Katimba limezindua mpango wake wa kwanza wa mkakati wa miaka mitano (2024-2029). Baraza hili la vijana ni chombo cha kuwaunganisha vijana na kutoa fursa za kipekee kujadili masuala yanayowahusu moja kwa moja. Ni...
  5. Mbunge Mavunde aja na mkakati Kabambe kuwawezesha Wanadodoma kiuchumi

    -Kufadhili uanzishwaji wa kiwanda kimoja kidogo kila mwaka -Kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wananchi -Wanawake,Vijana na wenye ulemavu kupewa Kipaumbele -Amshukuru Rais Samia kurejesha mikopo ya asilimia 10 Mbunge wa Dodoma Mjini Mh.Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Jimbo lake la Dodoma...
  6. M

    SoC04 Kufikia Tanzania Tuitakayo: Kufungamanisha mikopo ya Halmashauri na mkakati wa manunuzi ya umma kupitia makundi maalum

    Nchini Tanzania, hali ya umasikini bado imetamalaki licha ya jitihada mbalimbali kuchukuliwa ili kupunguza umasikini na kukuza uchumi. Jitihada za kupunguza umasikini zimeonekana kuwa na matokeo hafifu kutokana na ongezeko kubwa la watu. Hivi sasa Tanzania inakadiriwa kuwa watu zaidi ya milioni...
  7. SoC04 Majeshi ya Ulinzi na Usalama yaunde Sera na Mkakati maalumu wa ajira kwa jamii ya watu wenye ulemavu

    Ulemavu ni hali ya mtu kuwa na upungufu kimwili ambao hufanya iwe vigumu kufanya shughuli kulingana na mazingira yanayomzunguka. Kuna aina nyingi za ulemavu kama usikivu hafifu, ulemavu wa viungo vya nje ya mwili kama kama miguu, ulemavu wa ngozi,ulemavu wa kutoweka kutamka maneno, kushindwa...
  8. K

    SoC04 Kuendeleza Tanzania kufikia maono ya kibunifu katika miaka ijayo inahitaji mkakati thabiti na mipango madhubuti katika nyanja mbalimbali

    Elimu: 1. Miaka 5: Kuboresha ya shule na kusambaza vifaa vya kufundishia. 2. Miaka 10: Kuimarisha mafunzo ya walimu na mfumo wa elimu unaowezesha kujifunza endelevu. 3. Miaka 15: Kuanzisha programu za ufundishaji wa stadi za kidijitali ili kuandaa wanafunzi kwa ajira za baadaye. 4. Miaka 25...
  9. Tauhida Cassian Gallos ahoji Bungeni mkakati wa Serikali kudhibiti matukio unyanyasaji na ukatili wa kingono dhidi ya wanawake na watoto

    MHE TAUHIDA CASSIAN GALLOS Ahoji Bungeni Mkakati wa Serikali Kudhibiti Matukio Unyanyasaji na Ukatili wa Kingono Dhidi ya Wanawake na Watoto "Je, kuna mpango gani wa Kudhibiti matukio ya unyanyasaji na ukatili wa kingono dhidi ya Wanawake na Watoto nchini?" - Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo...
  10. Mkakati Waanza Vijiji Ushetu Kuunganishiwa Maji

    MKAKATI WAANZA VIJIJI USHETU KUUNGANISHIWA MAJI Naibu Waziri wa Maji Mhe. Kundo Mathew amesema Wilaya zote zilizopo katika Mkoa Shinyanga tiyari zimekwisha kupatiwa maji kutoka ziwa Viktoria isipokuwa Wilaya ya Ushetu ambapo jitihada zimekwisha kuanza ili vijijini vilivyopo katika eneo hilo...
  11. M

    Ujumbe kwa viongozi na watu wote kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani

    Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani. Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani. Pia...
  12. Peter Msigwa umeletewa Kheri James, tafuta Jimbo lingine huo ni mkakati maalumu

    Kwa vijana wa sasa mnamjua Kheri James kwamba hanaga mbambamba. Kokote atakako elekeza mpira ndio litahesabika goli hata kama ni mashariki mwa uwanja sehemu isiyo na milingoti ya magoli yenyewe. Na litakuwa sio goal popote atakapoelekeza Peter Msigwa hata kama ni golini na nyavu zikachanika au...
  13. Angellah Kairuki: Tanzania tunapoteza takribani eneo la misitu hekta 469,000 kila Mwaka. Upandaji wa miti ya Mianzi utaleta tija

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amesema hayo wakati akitoa Hotuba katika Uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Mianzi (Bambos) kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Cha Utalii Dar es Salaam, leo Februari 19, 2024. Amesema “Natambua kwa takwimu za sasa, Tanzania tunapoteza takribani eneo...
  14. Mbunge Minza Mjika Ahoji Mkakati wa Serikali wa Kujenga Vituo vya Afya kwenye Kata za Mkoa wa Simiyu

    Mbunge Minza Mjika Ahoji Mkakati wa Serikali wa Kujenga Vituo vya Afya kwenye Kata za Mkoa wa Simiyu Katika kipindi cha miaka mitatu ya fedha 2021/22, 2022/23 na 2023/24 serikali imejenga jumla ya vituo vya afya 466 vilivyogharimu shilingi bilioni 718.1 katika maeneo ya kimkakati kote nchini...
  15. I

    Serikali ya Yemen yataka mkakati zaidi ili kuiangamiza kundi la wahouthi

    Kampeni ya anga inayoongozwa na Marekani dhidi ya Houthi haitatosha peke yake kuzuia tishio la uhuru wa kusafiri kwenye Bahari Nyekundu, Mumbe Mkuu wa Serikali ya Yemen inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa ameliambia gazeti la Guardian. Meja Jenerali Aidarus al-Zoubaidi mwenye makao yake mjini...
  16. Mkakati Mpya wa CHADEMA wa kuifuta CCM Majimboni waanza vizuri

    Labda kwa wale ambao hawaelewi ni hivi , Chadema sasa imeamua kuchukua wananchi wote na kubakisha viongozi pekee , yaani wananchi wote wanakuwa wanachadema halafu ccm inabaki na Viongozi tu . DED , DC , POLIS , MAYOR , RC , MAWAZIRI , WABUNGE pamoja na familia zao , kwa hesabu hawafiki hata mil...
  17. L

    Madaktari wa China waendelea kuwa sehemu muhimu ya mkakati wa Afya wa Tanzania

    Mwezi Oktoba mwaka huu timu ya madaktari bingwa 11 kutoka China iliwasili mkoani Kigoma, ambako ilitoa huduma za matibabu kwa wenyeji wa huko kwa muda wa siku tano, ikiwa ni pamoja na huduma za ushauri wa kimatibabu na upasuaji. Balozi wa China nchini Tanzania Bibi Chen Mingjian aliyehudhuria...
  18. Serikali na Mkakati wa Kupunguza Vifo Vya Watoto Njiti Nchini

    SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Ifakara Health Institute wameweka mkakati wa kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) ,kwa kuwawezesha watoa huduma kufanya kazi kwenye mazingira wezeshi. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa pili wa...
  19. Mbungu Pius Chaya ahoji mkakati wa serikali kupambana na Tembo

    Mbunge wa jimbo la Manyoni Mashariki Dk. Pius Chaya ameihoji serikali je, ni mkakati kuhakikisha inapambana na tembo ambao wamekuwa kikwanzo kwa wakulima wa korosho jimboni hapo? Amesema katika jimbo hilo kuna kilimo cha korosho block farm lakini tembo hao wamekuwa wakiwasumbua sana...
  20. Jihadi haina utakatifu wowote, ni mkakati wa matamanio binafsi ya waasisi wa itikadi kali

    Ngoja nikuambie vyema mpendwa kama hautaki kuelewa basi bishana na mizimu ya nyumbani kwenu. Hakika njia iliobaki kipindi waasisi wenu wanaijenga imani yenu na kuisambaza ilikuwa ni force na intimidation. Kipindi Muhamad anaanzisha imani yenu aliwahakikishia imani nyingine za uyahudi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…