mkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Naamini hakuna atakayehoji nia na dhamira ya Hayati Dkt. Magufuli kwa Tanzania,tutaishia kuhoji mkakati aliotumia tu

    Nia na dhamira ya JPM dhidi ya Tanzania haitaweza kuhojiwa popote, alidhamiria kutuondoa kwenye umaskini na alitumia mbinu zote kufanikisha lengo. Dhamira iliendana na matendo, Ni vigumu kupata watu kama Hawa Duniani. Watu wanaocha starehe za Dunia nakuwapigania wenzao usiku na mchana. Legacy...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mkakati kukabili chanjo bandia wasukwa

    Mkakati wa kukabiliana na chanjo bandia ya virusi vya corona (COVID-19), umewekwa na wakurugenzi wa upelelezi wa nchi wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika (EAPCCO). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Wakuu hao wamekutana kujadili changamoto za mataifa...
  3. Donatila

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajiondoa kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji(OGP)

    Serikali ya Tanzania inadaiwa kujitoa kwa muda kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji yaani Open Goverment Partnership(OGP). Inadaiwa Serikali imeamua kujikita kwenye "kutumbua majipu" kwanza kabla ya kujikita kwenye uwazi. OGP ilianzishwa mwaka 2011 na ilianza na Serikali 8 hadi 70...
Back
Top Bottom