mjue

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkiwapima wanafunzi mimba pimeni na bikra mjue walioanza ngono ni kiasi gani

    Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii. Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
  2. Mjue Vaya, mwanamuziki chipukizi mkali wa Chapakazi Studios

    Vaya ni mwanamuziki mpya kwenye game, product ya Chapakazi Studios. Ni mwanamuziki wea kike mwenye tungo kali sana zenye ujumbe mzito wa kutia moyo, kukupa nguvu na mwelekeo mpya wa maisha baada ya kuumizwa moyo. Muziki wa Vaya ni muziki wenye kuganga moyo na kukusogeza hatua elfu mbele Hebu...
  3. Hizi kauli za Samia zinanichanganya sana. Je, nijinyonge kwa Ajili ya nchi yangu ndo mjue naipenda?

    Siku aliyokuwa anaongea na Taifa Stars baada ya kutolewa AFCON, nilimsikia anasema siku Ile ya mechi alikuwa amefunga kwa hiyo aliangalia mpira akiwa MEZANI anafuturu, nikajiuliza real RAIS Samia anafunga na kumwomba Mungu? Nikajiuliza haya matukio ya watu KUTEKWA akiwa anaongea na Mungu...
  4. Mjue omba omba Tajiri kuliko wote Duniani

    Ama kweli tembea uone tulia usimuliwe, hii dunia haiishiwi mambo. Kuna msemo waswahili husema kuna watu na viatu sasa leo nataka nikusilumie story ya kiatu kimoja hivi. Katika jiji la Mumbai nchini India kuna jamaa mmoja anaitwa Bharat Jain. Huyu jamaa ni omba omba maarufu jijini na shughuli...
  5. R

    Sheikh: TEC Mnatakiwa mjue hii nchi sio ya kwenu, Kauli za Kitima hazitofautiani na Mange aliyelaaniwa

    Wakuu, Tunaendelea pale tulipoishia Shekhe anatoa hoja zake kwa Baraza la Maaskofu TEC, Padre Kitimana Mange Kimambi Hoja za Sheikh - Kwani Kitima ni nani? Maana anafanya mambo utafikiri ni Waziri Mkuu - Halafu hawa TEC wanatakiwa wajue hii nchi sio ya kwao - Kauli za Kitima hazitofautiani...
  6. PostGE2025 Ile mifungo ya maombi ya TEC huwa inaishia wapi? Ndio mjue Mungu si binadamu

    TEC huwa wanajifanya wanamifungo ya ajabu ajabu huku wao wenyewe hawawezi hata kuwakanya watu wasiibe Mali za watu, wasichome moto Mali za watu, wasiharibu miundombinu yetu, wasifanye vurugu nchini, wakati wao wenyewe wamejaa roho za mifarakano, roho za vurugu, roho za kutowaheshimu viongozi...
  7. Mjue Bibi Hellen Johnson Rais wa Liberia na mshindi wa Nobel 2011 aliyekataa kuitumbukiza nchi yake kwenye umwagaji damu

    HELLEN JOHNSON SIRLEAF. ALIONDOKA IKULU BILA MIKONO YENYE DAMU. ----------------------------------------------------- Hakuna damu iliyomwagika. Naondoka ikulu ya "Monrovia" nikiwa na mikono safi. Kama nitahukumiwa siku moja ni kwa dhambi nyingine. Lakini si ya kupora maamuzi ya uma kwenye...
  8. K

    Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia huko Canada!!! ni snitch!

    Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia yake huko Canada!!! ni snitch mkubwa Canada mwongo na mpenda pesa za deal. Hata jumuia ya watanzania ambako kuna familia ya Lema na Wenje hawataki kumsikia!. Hakuna anayeshangaza kila mtu anajua alikuwa dalali lakini hawakutana kumfukuza ingawa alikuwa...
  9. Mjue mwanaume

    Habari za jioni wakuu Leo nimeona nimzungumzie huyu kiumbe mashuhuri anaye itwa mwanaume Kiumbe huyu mungu kamuumba kwa namna ya tofauti Sana na utofauti huo siyo sura yake ambayo akiwa kwenye matatizo Ina fanana na ngili/ nguliwe Poli Bali hata namna yake ya...
  10. Jimmy Mafufu, Stivin Mangele, Mbona hamumjibu Captain Tesha? Jitokezeni mjue vizuri tuko serious !!

    Wakuu Mama sianaupiga Mwingi? Jitokezeni Wakuuu ,au nyie Hamlindwi?? 🤣🤣
  11. D

    Halafu Inawezekana hii CCM ikawa ni mpango wa chadema mjue

    Kuna mambo kadhaa yananipa mashaka mjue, Kila siku hisia za kwamba hii CCM inaweza kuwa ni project ya chadema zinazidi kujaa akilini mwangu. Hebu angalieni vizuri mambo haya machache makubwa; 1. Mbona viongozi wote wa chadema baada ya muda wanajiunga ccm?!! Hii CCM sio project ya chadema...
  12. Mjue Roboti Aina ya Humanoid Kiundani

    Roboti ni mashine zilizo tengenezwa na binadamu ili kurahisisha kazi mbalimbali. Miongoni mwa aina nyingi za roboti zilizopo, Humanoid Robots ndizo zenye mvuto mkubwa zaidi kwa sababu zinabuniwa zikifanana na binadamu. Zina muundo unaoiga mwili wa mwanadamu kama kichwa, mikono, miguu, macho, na...
  13. B

    CCM lala hoi mjue mnapoapa kulinda CCM jueni wazi, mnatumiwa kuzilinda familia 3

    Unakutana na kijana anajiita Msambwanda mara mwingine anajiita chinembe kutwa nzima kutetea CCM. CCM ya Leo ndugu zangu wabangaizaji sio ile alioasisi Mwl JK Nyerere. CCM ya Leo ni ya mabwanyenye ambao umasikini wako wewe mwanaccm sio kipaumbele chao zaidi ya kuongwa kanga na kofia ili...
  14. Mjue Jaji Frank Caprio

    Jaji Frank Caprio alikuwa jaji mashuhuri wa Mahakama ya Manispaa ya Providence, Rhode Island, Marekani, ambaye alipata umaarufu duniani kupitia kipindi chake cha televisheni Caught in Providence. Alijulikana kwa mtazamo wake wa huruma na haki katika kushughulikia kesi ndogo ndogo kama za tiketi...
  15. Manabii, mitume, maaskofu, wachungaji msikilizeni huyu mjue wajibu wenu kwenye siasa

    CCM inaongoza kwa kufanya siasa makanisani, lakini Kanisa likikemea mambo ya hovyo yanayofanywa na CCM kwenye siasa, CCM husema tusichanganye siasa na dini! Kwa CCM viongozi wa kanisa wanapoisifia huwa si kuchanganya siasa na dini, ila CCM wakikosolewa ndiyo huwa siasa imechanganywa na dini...
  16. Mjue Mtekaji huyu mahiri duniani: Ameteka watu wengi bila pingu wala silaha!

    Hii sio chit-chat wala chai. Ni habari ya ukweli. Kuna mtekaji mahiri duniani anayewateka watu kwa urahisi kabisa bila vitisho wala silaha. Mtekaji huyu ameteka mamilioni ya watu, wazee kwa vijana, maskini kwa matajiri, na hata wasomi wenye PhDs. Ajabu ni kwamba anaowateka hawalii, wanacheka tu...
  17. Wanawake Mungu anawaona mjue

    Watanzania Salam tuachane nazo tu. Juzi jioni natoka kazini nikakutana na binti mmoja ambaye kiumbo alinivutia! Ikabidi nimsalimie. Mara baada ya salaam nilimwomba tuzungumze japo 5minutes, Kwanza alikataa akasema ana haraka anawahi kwenda kupika ametoka sokoni kununua mboga,Lakini baada ya...
  18. E

    Mjue Jenerali Moses Ali anayewania ubunge akiwa na miaka 86 Uganda

    Juni 18, 2025 kwenye mitandao ya jamii kulikuwa na video inayosambaa ikimwonyesha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya chama cha NRM, Dk Tanga Odoi akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge Jenerali Moses Ali (86) akiwa kwenye gari lake. Kutokana na hali yake ya afya na umri mkubwa, Jenerali Ali...
  19. David Barnea: Mjue Boss wa MOSSAD aliye nyuma ya mashambulizi ya Israel kwa Iran

    David Barnea ni Mkuu wa Mossad (Shirika la Ujasusi la Israel) tangu Juni 2021. Hapa kuna muhtasari wa CV yake kwa ufupi: 1. MAELEZO YA JUMLA: Jina kamili: David (Dave) Barnea Tarehe ya kuzaliwa: 1965 Nchi: Israel Kazi ya sasa: Mkuu wa Mossad (2021–mpaka sasa) 2. ELIMU: Alisoma...
  20. Mjue TUNICATE.

    SEA SQUIRT (tunicate) ni mnyama/samaki wa baharini ambaye anapokuwa mchanga, anakuwa na ubongo wake kama tu ilivyo kwa viumbe wengine na huogelea akitafuta sehemu ya kudumu ya kujishikilia, kama vile mwamba. Mara anapopata sehemu hiyo, hujishikilia hapo, kisha hufanya kitu cha ajabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…