mjomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Video: Mjomba wa Bibi harusi apokea kipigo kizito akidaiwa kumsifia Rais Samia kwenye harusi

    Wakuu Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia Rais Samia kwa kusema "Samia ni rais mzuri"
  2. Cute Wife

    PostGE2025 Mpoto yule akikutana na huyu watatoana damu nakwambia! Baada ya kwenda mjini kukutana na Mjomba akatusaliti!

    Wakuu, Mpoto huyu alikuwa wa moto bwana, inspiration kwa wengi, hata ambao tunapenda kuandika tulikuwa tunapata madini ya kuongeza nondo kwenye articles, mashari, na analysis mbalimbali Mpoto huyu alikemea rushwa na wale wote wanaotafuna kodi za wananchi kwa nguvu zote. Alionyesha wazi...
  3. M

    Huwaga kuna yule mjomba ni mlevi tangu umezaliwa

    - Mara nyingi historia yake huwa na mafanikio kabla hajaanza ulevi, mfano utaambiwa alikuwa ana akili sana darasani, alikuwa hakosi kanisani, alikuwa mfano kwa vijana wengine, n.k. - wanazijua siri nyingi sana kuhusu familia, anayajua mengi kumhusu dada yake (mama yako) - Kila mwaka utasikia...
  4. Kazanazo

    Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

    Wataalamu wa lugha tuelimishane kidogo yupi hapo ni shangazi na kwanini maana hawa watu wawili huwa wananichanganya
  5. Mr Why

    Mjomba wa Mke wa Jux ni tafsiri tosha ya kauli ya mjomba ni mama, pozi na madoido yake akina dada wakasome kwasababu hawamuwezi, Jux kayakanyaga

    Mjomba wa Mke wa Jux ni tafsiri tosha ya kauli ya mjomba ni mama, kijana wetu Jux kayakanyaga Pozi la mjomba pamoja na madoido akina dada wakasome kwasababu hawaingii ndani
  6. SSH2025_2030

    Mke wa Mjomba ananitaka kimapenzi

    Mke wa Mjomba amekiri kwangu kuwa ananihitaji kimapenzi. Nimejaribu kukataa imeshindikana. Buriani anko
  7. Mr Why

    Mpwa avunja nyumba ya mama yake baada ya mjomba wake kung'ang'ania kwa muda mrefu

    Mpwa avunja nyumba ya mama yake baada ya mjomba wake kung'ang'ania kwa muda mrefu Ulitokea mgogoro wa muda mrefu kati ya mpwa na mjomba wake huku chanzo cha mgogoro huo kikisababishwa na tabia ya mjomba wake kung'ang'ania mali za mama yake https://www.facebook.com/share/v/1Zh6RTrPM5/
  8. Askarimaji

    Siku niliyoamini kweli mimi mjomba ni sawa na mama😊

    Mimi umri wangu ni miaka 40 na zaidi kidogo, naish Dar es salaam na nimezaliwa hapa hapa Dar japo mie sio mzalamo, Siku moja miaka 10 iliyopita nilipokea taarifa kuwa dada yangu wa mwisho kuzaliwa kwenye tumbo letu ni mjamzito na mimi kaka mkubwa kwenye familia nafichwa, sababu dada alikuwa...
  9. ELI COHEN

    Utamsikia mgeni anasema: "Yani mjomba, sisi wakati wa Nyerere tulikuwa tunatembea kwenda shule usawa wa Kariakoo hadi Kibaha. Nyie vijana namna gani."

  10. PSL god

    Mjomba wangu ni taxi driver Arusha lakini anatongozwa sana na wanawake wazuri, ninamuonea wivu nifanyeje!?

    Heri ya mwaka wanajf Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina mjomba wangu mmoja yuko kwenye 50's+ lakini kwenye maisha yake wanawake hawajawahi kumpa shida...
  11. Mr Why

    Nilivunja urafiki na kumshushia heshima Mjomba wangu baada ya kugundua ni mtu mwenye tabia ya kuingilia faragha yangu

    Ndugu zangu kuishi Afrika lazima uweze kuvumilia kero za watu lasivyo patakushinda Kero kubwa ya Afrika ni watu kutaka kujua siri zako na mambo binafsi yanayohusiana na faragha Labda nianze kwa kujielezea kiasi, mimi ni baba wa watoto wawili wa kwanza ana miaka mitano wa pili miaka miwili...
  12. S

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyu

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyumba. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Binamu, mwambie mjomba kuwa, misemo yao siyo ya kwetu. Maana nyakati zao ziliishia kwao hazipo...
  13. K

    Mjomba anawachukia watoto wangu?

    Habari za Jumapili ndugu zangu kaka/dada zangu wote kwa ujumla Natumaini mmeamka vema, Mimi pia mzima, Sawa Mimi sio mwandishi mzuri Wala mwandikaji ila lengo la Uzi ni kwamba kuna situation naipitia. Nina watoto kadhaa nipo pia na mama yao, hapa nyumbani baada ya maisha kuwa sio sawa kidogo...
  14. Tman900

    Kauli za Mjomba Wangu

    Katika Makuzi yangu ya Maisha, nilipata muda wa kukaa kwa Mjomba Wangu, kwa muda wa mwaka mmoja. Hizi ndo kauli za Mjomba Wangu. 1. Kula sio leo tu hata kesho utakula, akimaanisha mwanadamu anakula siku zote. 2. Mwanadamu damu, mwanadamu sio mbuzi. Huwezi kumuongoza mwanadamu unavyotaka...
  15. BLACK MOVEMENT

    Wilaya ya Hai kijiji cha Tindigani ndicho chote kapewa Mjomba wa Omani? Hii sio sawa

    Ukiangalia wilaya ya hai kijiji kizima na vitonoji vyake kakabishiwa Mjomba wa Oman. Huu uwekezaji wa kufuta vijijiipo siku watafuta mkoa mzima na kuwakabidhi wajomba, tuendelee kusapoti ujinga na kuona hayatuhusu haya. Kasi ya kufuta vijiji na kuwakabidhi maeneo wawekezaji ni kubwa sana, na...
  16. S

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo Nyakati Zinabadilika

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyumba. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Binamu, mwambie mjomba kuwa, misemo yao siyo ya kwetu. Maana nyakati zao ziliishia kwao hazipo...
  17. mkarimani feki

    Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

    Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara. Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali. Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini 1. TRA 2. BOT 3. DCEA 4. TISS 5. IMMIGRATION 6...
  18. C

    Mjomba ana-enjoy (video)

    Maisha ni pamoja na ku-enjoy. Hapa mjomba akifurahia Jambo.
  19. M

    Namfukuzaje mjomba

    Huu ni mtihani wangu mkubwa, ipo hivi nina mjomba yangu ambaye ni mdogo wake mama yangu mzazi, kiumri ni mdogo kwangu kama miaka 5 hivi, huyu mjomba pamoja na wajomba wengine wawili na mama zangu wadogo, makuzi yao ni wamepita kwenye mikono ya mzee wangu...
  20. Mwande na Mndewa

    Mkataba wa Bandari: Rais amkane Mwarabu, vinginevyo ni maslahi yake na sio ya Tanganyika

    Kuhusu mkataba wa kilaghai wa kuchukua Bandari zetu milele na kuwakabidhi Waarabu wa Dubai, kama si kwa maslahi yake na wajomba zake Waarabu, basi na awakane sasa hao waarabu ndio tujue ana nia njema na uko kuuza bandari za Tanganyika. Mama lazima aambiwe ukweli kwamba hata kama alikuwa na nia...
Back
Top Bottom