mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania MWIZI WA GARI AKIFANYA MICHEZO YA HATARI HUKO MJINI MELBOURNE AUSTRALIA

    Mwanaume wa miaka 36, huko mjini Melbourne nchini Australia amekamatwa na polisi baada ya kuruka katika gari ambayo inasadikika iliibiwa. Mtuhumiwa huyo alianza kukimbizwa na polisi baada ya kushindwa kusimama kwenye trafiki. Mapema ijumaa polisi walipewa taarifa ya kuibiwa kwa gari katika...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Vijana mjini

    Nawasalimu, Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo. Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo hata rafiki yako wala mkeo hapajui, Room moja tu inatosha kuanzia. Huko wakujue kwa jina tofauti, na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania maisha ya kijijini ni magumu zaidi kuliko mjini kwa ujumla

    Kuna watu huwa waanamini maisha ya vijijini ni mepesi na bora kuliko mjini, sijui hizi fikra zinatokana na nini ila kwa ukweli ukiacha vijiji vichache vya mikoa kama ya Kilimanjaro, Njombe, Mbeya labda na vya mikoa mingine michache maisha kwa ujumla wake vijijini ni magumu sana kuliko mjini...
  4. W

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU nawasihi Fikeni Wilaya ya Mpwapwa Dodoma

    Wilaya ya Mpwapwa ina Majimbo mawili, Mpwapwa Mjini na Kibakwe. Hamtakosa kuondoka na VICHWA kadhaa vya mtoaji na mpoleaji Sisi ngoja tuendelee kukusanya Ushahidi.
  5. JamiiForums Tanzania Wi-fi router za yas saiv ndio habari ya mjini, utaenjoy hadi basi!

    UNAONA UNAVYOHANGAIKA KUNUNUA BANDO KILA SIKU? WI-FI ROUTER ZA YAS (TIGO) NDO KITU PEKEEE KINGEKUSAIDIA Kua na wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose kifaa hiki. 1. Ukiwa na wi-fi unaweza kukuza biashara yako. kwasababu wateja watapenda kuja ofisin...
  6. JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM Arusha Mjini huenda watatuletea Waziri Mkuu Mpya 2025-2030

    NI kama mmepewa Nafasi ya kutupatia Waziri Mkuu mpya 2025-2030. Pole Gambo, pole sana
  7. JamiiForums Tanzania Makonda kuwa Mbunge - Arusha mjini namuunga mkono kwa asilimia mia, na atapita kwa kishindo

    Wana JF habarini..!! Sio kawaida yangu ku post post thread humu JF kwa hivi karibuni, ila nimekuwa mchangiaji mkubwa kwa njia ya kutoa maoni kwenye thread zingine nyingi tu, ila leo moyo wangu umenituma toka ndani kabisa, nipaze sauti hii juu ya Makonda Christian. Mh. Makonda, mimi kada wa CCM...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naghenjwa Kaboyoka wa CHADEMA atimkia ACT Wazalendo

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Naghenjwa Kaboyoka amejiunga na chama cha ACT Wazalendo leo Juni 28 Dar es Salaam. Kaboyoka aliyewahi kuwa Mbunge wa Same Mashariki 2015-2020 amepokelewa leo na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu kwenye ofisi za makao makuu Magomeni. Mwaka 2020 Kaboyoka...
  9. JamiiForums Tanzania Nitasimama na Joel Nanauka kama atachukua fomu ya ubunge wa Mtwara mjini

    Huyu kijana nimemuona anayo maono makubwa na ataweza kusaidia ukuaji wa uchumi wa jimbo hili. Kama safari hii atagombea kwa chama chochote nitampatia sapoti yangu ya hali na mali Shehe THE BIG SHOW kipindi hiki msikosee
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Mbeya mjini

    Natafuta kazi yoyote Mbeya mjini, Nina ujuzi wa ufundi mitambo (mechanical engineering) Mawasiliano: 0756704145
  11. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Iringa Mjini wamtaja Daudi Masasi ubunge 2025

    Anaitwa Daudi Masasi. Huyu ni mzaliwa wa Iringa pande za Nyanda za Juu Kusini. Mbali na kuzaliwa na kukulia Iringa pia ni mfanyabiashara kwa muda mrefu akiwa pia mdau wa habari. Alianza kuvuma mwaka 1996 alipoanza kutoa Jarida la Burudani lililojulikana kwa jina la Tabasamu. Jarida la Tabasamu...
  12. JamiiForums Tanzania Ng’ombe wa Maziwa Mjini: Dili Unaloishi Nalo Bila Kulijua!

    Wengi huamini kwamba ufugaji wa ng’ombe ni shughuli ya mashambani au vijijini pekee. Lakini ukweli ni kwamba — mjini ndiko kuna fursa ya haraka, ya uhakika, na yenye faida kubwa! Jiulize: Unayo nafasi ya kujenga banda? Kiwanja cha familia? Kiambaza kisichotumika? au sehemu ndogo iliyobaki...
  13. JamiiForums Tanzania Hawa vilaza wanaogombania ubunge wa Arusha Mjini Makonda na Gambo je ni wazaliwa wa Arusha.?

    Kwanini hawa Vilaza Makonda na Mrisho Gambo wasiende kugombea ubunge sehemu walipozaliwa ? Nitashangaa Sana watu wa Arusha wakiwapa nafasi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Faida za kukulia Vijijini na kuja mjini kwa Hekima!

    Kukulia Vijijini kuna Faida zake Nyingi sana. Nilianza shule mjini Arusha Kaloleni shule ya msingi kwa Sasa hivi nasikia ni shule ya sekondari.Nilisoma pale hadi Darasa la Tatu(3),Nikiwa na Wazazi wangu,. Mwezi wa Sita tulienda likizo Mbeya kwa Babu na Bibi, tukiwa huko Babu yangu alinitaka...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Lile soko la Mwanza pale mjini kati

    Mbona kama miaka liliyochukua kujengwa na kufikia hapo lilipo ni mingi kuliko MATOKEO , au Kuna mambo ya ziada tupeni Shule na UFAFANUZI. nahisi ni zaidi ya miaka mitatu
  16. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k.

    Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kweli mjini ni msingi kiuno..

    Aisee nimeamini kweli hapa mjini msingi kiuno na ukijua kuchezesha tu kiuno chako utapata pesa za fasta sana maana jana kiukweli nilikichezesha sana kiuno changu tokea asubuhi mpaka alfajiri mimi ni mwendo wa kuchezesha kiuno changu tu aisee wakuu kiukweli Jana kupitia kuchezesha kiuno changu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mahakama ya Mwanzo Mjini Sumbawanga ina mahakimu 2 tu

    Kuna uhaba wa mahakimu ktk mahakama hii kunakopelekea mrundikano wa mashauri na ulipuaji wa mashauri. Jaji Mkuu ingilia ktk hili kwa haraka kwani haki inayochelewa ndiyo inayopotea
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bilioni 19.601 kutekeleza ujenzi kituo kikuu cha mabasi geita mjini

    BILIONI 19.601 KUTEKELEZA UJENZI KITUO KIKUU CHA MABASI GEITA MJINI Jumla ya Shilingi Bilioni 19,171, 601, 509. 00 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Geita Mjini, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji Tanzania kwa awamu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Niko na 510K Natafuta Simu Nzuri, Nisaidieni Kabla Sijaingizwa Mjini DSM Na Wingbacks.

    Watalamu wa tech nipeni suggestions. BRands kama Samsung na Xiaomi. Chief-Mkwawa ,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…