mjamzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teslarati

    PostGE2025 Wale ma-feminist uchwara wa women rights mbona mpo kimya? CNN wamethibitisha Mama mjamzito kupigwa risasi hadi kifo

    Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke. Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake...
  2. R

    Mbunge wa Narok atoa kauli Kuhusiana na Video iliyosambaa Mtandaoni ya ndugu watatu kumshambulia Dada yao Mjamzito kumkataa mwanaume waliyemchagulia

    Video inayosambaa mitandaoni imeibua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamke mjamzito akishambuliwa vikali na wanaume watatu wenye fimbo katika Nkareta, Narok Kaskazini. Taarifa zinaonyesha kuwa mwanamke huyo, anayejulikana kama Lepeita, alishambuliwa na ndugu zake wa kiume baada ya kuchagua...
  3. Loading failed

    Madhara ya vidonge vya azythromycin kwa mjamzito

    Habari ya wakati huu. Ni yapi madhara ya vidonge vya azythromycin kwa mjamzito mwenye typhoid na kwa mtoto aliyeko tumboni.? Je, ni dawa ipi inafaa sana badala ya azythromycin.? Dr. Ndiye aliye toa dozi hiyo
  4. U

    KISA cha kweli Mwanamuziki Hussein Jumbe akiwa mgonjwa na mkewe mjamzito alipotembelewa na mamamkwe huku ana chumba kimoja tu huko Buguruni

    Wahenga wa muziki wa dansi nchini hebu tukumbushane kisa hicho cha kweli na Nini hatima yake. Nakala kwa Mtangazaji mkonhwe na Manju wa Muziki Masoud Masoud
  5. DuaZaMama

    GE2025 Mluya: Serikali yangu itakuwa na wajibu wa kuwatunza mama mjamzito na mtoto kwa kumpa lishe bora kwa muda wa miezi mitatu

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Juma Mluya, akiambatana na Mgombea wake mwenza Sadoun Abrahman Khatib, leo Agosti 13, 2025, wamechukua fomu za uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa jijini Dodoma...
  6. Area 56

    Loveness Tarimo athibitisha kuwa ni mjamzito

    Mwanadada mbeba vitu vizito, Loveness Tarimo ametangaza kuwa yeye ni mjamzito kupitia ukurasa wake wa Instagram. Namtakia kila la heri, atuletee anko salama!!
  7. E

    Nini chanzo cha tatizo la gas tumboni kwa mama mjamzito? Nini suluhisho lake?

    Habari za kazi wapendwa! Bila kupoteza muda, naomba msaada wa kujulishwa visababishi vya tatizo la gas tumboni kwa mama mjamzito. (Mimba bado changa - chini ya mwezi mmoja). Je, tatizo hili linaweza kutatuliwaje? Natanguliza shukrani!
  8. The ice breaker

    Mjamzito wa miezi 9 anaweza kusafiri?

    Naomba kuuliza Mwanamke mwenye mimba ya miezi 9 , naweza kumsafirisha kutoka dar to dodoma? Kuna emergency itabidi asafiri immediately Kiafya ipoje hii
  9. Carlos The Jackal

    Waziri Afya, RC Makonda na RMO Arusha, Tuhuma za Mjamzito kuambiwa Atoe Pesa za Upasuaji Kujifungua, kubadilishiwa Mtoto wake, Zifatilieni haraka

    Ila Serikali ya CCM Ina maigizo mpaka Shetani anashangaa . RC Chalamila aliposikika anamwambia Mjamzito kama hawezi kuchangia aende Mumewe ampasue, Kila Neno lilisemwa. Sasa huko Arusha , Hospital ya Mount Meru kumetokea tukio. Hili Tukio ni Mama akiomba kusaidiwa apewe mtoto wake akidai...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Mjali mama kijacho wako

    MJALI MAMA KIJACHO WAKO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Hakikisha unauhakika Mimba ni yako. Usiwe mpumbavu. Kitendo cha kuhakikisha Mimba ni yako ndio kujali kwenyewe 2. Mpe Maneno matamu mama kijacho wako 3. Msaidie kazi za nyumbani au mtafutie Msaidizi wa Kazi hapo Nyumbani 4...
  11. SHEVCHENKO

    Mpenzi wangu mjamzito ila nimeambiwa kundi lake la damu haliendani na langu

    Habari waungwana, poleni kwa mizunguuko ya hapa na pale. Katika pita pita zangu kuna binti nimekutana nae kwenye mahusiano kiufupi nilitokea kumuelewa nikaanzisha nae mahusiano yapata miezi kadhaa. Basi kutokana na kukutana nae mara kadhaa nikawa nimempa ujauzito ila kizaa zaa kimeanza...
  12. Dr isaya febu

    Upungufu Wa Damu Kwa Mjamzito

    Upungufu wa damu kwa mjamzito ni hali inayotokea wakati kiwango cha hemoglobini katika damu kinapungua chini ya kiwango kinachohitajika (<11 g/dl), hasa wakati wa ujauzito. Hemoglobini ni protini inayopatikana kwenye seli nyekundu za damu na inasaidia kusafirisha oksijeni mwilini., hivyo...
  13. Mwanadiplomasia Mahiri

    Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

    Mungu ni mwema kila wakati. Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito. Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada mkubwa anajiandaa kupata mtoto wakati wowotr kuanzia sasa!! Kila hatua dua. Kila la heri kwako.
  14. Miss Zomboko

    Manyara: Mjamzito anyang'anywa Vitu vya ndani kwa madai ya Mumewe kuuza Simu ya Wizi

    Ila Viongozi wetu jaman kuna tunakubali mnavyotunyanyasa ila kuna muda mnapitiliza Masikio kuzidi Kichwa Kwa hiyo Siku hizi Mtu akiuza Simu ya Wizi basi mnaenda kuchukua Vitu vya ndani vya anapoishi au makusudi tu
  15. S

    Kuhusu mwanamke mjamzito aliemwambia mume wake akatumie kisu na mikasi kumzalisha, Chalamila ametoa utetezi hauna kichwa wala mdomo, wa hovyo kabisa!

    Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Chalamila yupo sahihi; kuna Bima ya elfu 40. Unajua Mkeo ni mjamzito, huna Pesa. Kata hata hiyo

    Kwema Wakuu! Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati mwingine huweza kuwaacha watu mdomo wazi. Chalamila kadiri unavyompa nafasi na Muda WA kuongea...
  17. S

    CHADEMA amsheni watu kwa kauli za kina Chalamila kwa mjamzito kwamba kama hatoi Shs 50,000 arudi nyumbani mume wake amkate kwa kisu na mkasi ajifungue

    Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika. Lakini pale ambapo...
  18. Infantry Soldier

    Mama mwenye hali ngumu anakaa na binti mdogo mjamzito ambaye sio ndugu yake

    Mambo vp wadau?? Ninaomba radhi "in advance" kwa uandishi m-bovu. I'm not a gifted writer. Kuna mama mmoja yeye ni kabila la Pwani/mzaramo. Ni mama mkaanga Samaki amepanga chumba na sebule huku mtaani kwetu (Kodi Jumla 30,000/= kwa mwezi). Huyu mama muwewe alifariki kama mwaka na nusu hivi...
  19. K

    DOKEZO Bila laki mbili Mjamzito hapati huduma za upasuaji, Hospitali za Serikali Bariadi, Simiyu

    Habari za wakati ndugu wana Jukwaa, Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia hii changamoto kwa wajawazito ambayo wanakumbana nayo wakati wa kujifungua katika vituo vya Afya na Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Wilaya ya Bariadi hapa kwenye mkoa wetu wa Simiyu. Nimekutana na changamoto hizi...
  20. N

    Mlevi aua Wanafunzi Watatu wa UDOM, Mama mjamzito na bodaboda wawili Dodoma

    Mlevi mmoja akiendesha gari huku amelewa amewagonga na kuwaua Wanafunzi wa Tatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mama mjamzito na boda boda wawili maeneo ya Makulu opposite na ofisi za TISS na makutano ya Shoppers mkoani Dodoma, baada ya ajali wananchi nao walimshikisha adabu kidogo kwa kumpa...
Back
Top Bottom