mjadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Mjadala wa Uboreshaji wa Ufundishaji, Ujifunzaji, Uelewa na Ufaulu wa Shule za Musoma Vijijini

    MATOKEO YA MJADALA WA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI, UELEWA NA UFAULU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI Mgeni Rasmi: Ripoti & Zawadi za Ufaulu Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe Juma Chikoka alikabidhiwa Ripoti ya Matokeo ya Mjadala huo. Vilevile, Mkuu huyo wa Wilaya alikabidhi zawadi za ufaulu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Huu mjadala wa jamii gani nchini inaongoza kwa wasomi muumalize wenyewe, ingieni humu mjihakikishie wenyewe, kelele na kujisifu viwekwe pemebeni

    Muumalize wenyewe
  3. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe ni Fursa ya Utajiri- Hili Alina Mjadala

    https://youtu.be/2w3zUtsShD0 Leo nilikaa nikawaza kitu kimoja… Kwa nini wafugaji wachache sana wanafanikiwa kweli, ilhali nguruwe ni mnyama mwenye uwezo mkubwa sana wa kutajirisha? 🤔🐖 Hebu fikiria hii: Nguruwe mmoja wa kisasa anaweza kuzaa hadi watoto 21 kwa mara moja, mara mbili kwa mwaka. Hii...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Naona Mjadala umekua mkubwa, sasa tumalize ubishi..

  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sakata la ajira laibua mjadala wa Kitaifa, ACT Wazalendo wanazungumza muda huu

    https://www.youtube.com/live/-ws4Ojesg7U Vijana katika sekta isiyo rasmi wapo 80%. Kila uchao wanahamishwa na kukimbizwa. Hawana bima ya afya wala pensheni. Ndio maana nasema Vijana tuungane na tupaze sauti dhidi ya ukosefu wa ajira na hatma yetu." Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo...
  6. JamiiForums Tanzania Mjadala Wenye Mapendekezo ya Uboreshaji wa Ufundishaji, Ujifunzaji na Uelewa wa Wanafunzi Wetu - Musoma Vijijini

    MUSOMA VIJIJINI, ELIMU: "THE DIALOGUE" - MJADALA WENYE MAPENDEKEZO YA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI NA UELEWA WA WANAFUNZI WETU Tarehe: 25 - 27 Machi 2025 Wataalamu: 1. Dr Zabron Kengera, UDSM 2. Dr George Kahangwa, UDSM 3. Mr Japhet Makongo, Ubunifu Associates Washiriki...
  7. JamiiForums Tanzania Kulikoni Mkuu mpya wa Idara ya ubora wa elimu Uingereza kuzua mjadala?

    Kwa nini huyu mkuu mpya wa idara ya ubora na udhibiti wa elimu wa Uingereza, Sir Hamid Patel amezua mjadala mkubwa sana?
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Olengurumwa ataka mjadala wa Kitaifa kabla ya kugawa majimbo ya Kiuchaguzi

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Kutetea Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema utaratibu wa ugawaji majimbo unaotumika kwa sasa sio sahihi hivyo vigezo vinavyotumika viboreshwe au kuangaliwa upya kabla ya ugawaji wa majimbo utakaofanyika mwaka huu. Kupata matukio na...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mjadala kipi kifanyike cha kudumu ili kukomesha mambo ya mizengwe yanayochangia kughairisha mechi?

    Lawama hazijawahi kuondoa tatizo, Kila jambo lina faida na hasara! Moja ya faida ya mizengwe iliyotokea katika mpira wetu ituamshe ili tuboreshe kanuni na sheria ili kulinda hadhi ya ligi! Pasipo kunyoosheana vidole kipi kitakuwa suruhisho la kudumu ili haya mambo ya mizengwe yasiendelee kiasi...
  10. JamiiForums Tanzania Mjadala uliopo ni camera za Azam tv kurudia na kushindwa kuona tukio lililofanya refa kutoa red card je camera hizo hazikuweza kuona tukio hili?

    Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
  11. JamiiForums Tanzania Mjadala: Tuandike namba hizi kwa maneno

    20,007 27,000
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume wanapaswa kulipwa zaidi ya wanawake kwa sababu ya expectations za jamii zetu

    Leo nilikua nimekaa kwenye Cafe flani nikasikia mazungumzo ya watu nyuma yangu wanabishana kuhusu malipo na mishahara ya watumishi wa serikali kati ya wanawake na wanaume. Kwamba wanaume wanapaswa kulipwa zaidi ya wanawake kwa sababu ya expectations za jamii zetu na familia juu yao ni kubwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Mjadala: Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit: Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika ka

    Mjadala: Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit inayo fanyika 27 - 28 January 2025 Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika katika Bara la Afrika. Hapo kuna mambo kadhaa yanahitaji kujadiliwa kwa kina: Tutumie vyanzo vipi vya nishati...
  14. JamiiForums Tanzania Mjadala: Matatizo ya Makocha WA mpira wa miguu Tanzania

    Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini. Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania. Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi wanazokumbuna ambazo huwafanya washindwe kutekeleza majukumu yao Kwa ufasaha.
  15. JamiiForums Tanzania Mjadala: Siku ya mwisho ya hukumu, watakaoenda peponi watakuwa na utambuzi walionao sasa au watafutiwa kumbukumbu zote?

    Wakuu habari za wakati huu. Samahani, nimekuja na mjadala tata kidogo ila nitafurahi kama wachangiaji watatoa hoja zenye mantiki tofauti na kuzozana pasipo misingi. Sijasimamia upande wowote, kila upande uwe huru kutoa hoja zao ili nipate kujifunza jambo. Kikubwa tu hoja ijibiwe kwa hoja. Kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hoja na Mjadala dhidi ya Mafia Boxing Promotion

    Katika muktadha wa Mafia Boxing Promotion na matokeo ya mapambano ya hivi karibuni, kuna maswali na kashfa ambazo zinapaswa kujadiliwa kwa kina. Kuna hoja nzito kwamba Mafia Boxing Promotion inawazalisha mabondia kwa njia isiyo ya haki, ama kwa kuwaweka kwenye pambano dhidi ya wapinzani wasio...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia,Kuzima Mjadala wa CHADEMA, wateue BAMBO na KINGWENDU.

    Heri ya Christmas Wanajamvi. Mjadala wa CHADEMA, kwa sasa ndio habari ya mjini, hata kwa wasiofuatilia Siasa. Imefikia hatua hata uteuzi na uapisho uliofanyika Ikulu ndogo ya TUNGUU uliofanyika majuma kadhaa yaliopita ,kutopata coverage ya kutosha kwenye mitandao ya kijamii kama ilivyo Habari...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Je, unaelewa nini katika mjadala huu?

    https://youtu.be/HmKR8SPt17s?si=6EjcTzcwTVzyOeum
  19. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV inafanya mjadala kuhusu hali ya siasa Nchini na utawala wa sheria

    Fuatilia moja kwa moja mjadala unaofanywa na JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV kuhusu hali ya siasa Nchini, na utawala wa sheria kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku. Washiriki ni; 1: Wakili, Boniface Mwabukusi - Rais wa TLS. 2: Ado Shaibu - Katibu Mkuu ACT WAZALENDO. 3: Benson...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Mbinu Madhubuti za Kukomesha Ukatili na Mauaji ya Wenza - Desemba 6, 2024

    Wakuu, leo Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na JamiiForums tutashiriki mjadala muhimu utakaohusu Mbinu za Kukomesha Ukatili na Mauaji ya Wenza. Mjadala huu unalenga kutoa elimu, kuongeza uelewa, na kuchochea hatua za pamoja katika kukabiliana na changamoto hii ya kijamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…