Katika historia ya mataifa mengi, na hasa Tanzania, uongozi umetazamwa kama dhamana takatifu inayopaswa kuheshimiwa, kutunzwa na kutekelezwa kwa moyo wa unyenyekevu. Hata hivyo, hali ya sasa inaonyesha picha tofauti: watawala wetu wengi wanabeba dhambi kwa tamaa za kidunia.
Tamaa ya madaraka...