miti

  1. JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia wadudu baada ya kupruni miti ya matunda

    Habari wanajamvi, Naulizia ni dawa gani naweza kutumia baadaya kupruni miti ya matunda kupaka au kuspray sehemu niliyoikata lengo likiwa ni kuzuia wadudu au magonjwa yanayoweza kupitia sehemu hiyo iliyokatwa.Naomba niujulishwe jina la dawa ambayo hutumika kwa lengo hilo kutoka kwa mtu ambaye...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kijue kijiji cha Mpiga Miti - Lindi

    Mpiga miti ni kijiji kinachopatikana Mkoani Lindi. Jina la Mpiga miti lilitokana na vitendo vya ushirikiana walivyokuwa wanafanyiwa wana ndoa haswa wageni, ambapo wahalifu hao waliingia ndani ya nyumba kishirikina na Ku sex (kupiga miti) na mke wa mtu huku mumewe akiwa kalazwa sakafuni. Huja...
  3. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba la miti eka 67 milingoti linauzwa kila eka 3m

    Wakuu Habari, Ninashamba langu Naliuza Ekari 67 na kila eka ni Tsh.3m ,miti aina ya milingoti ina miaka mitano, ambayo baada ya miaka miwili utauza, Nimepatwa na shida inayohitaji fedha nyingi.Shamba lipo wilaya ya Mfindi , kijiji cha Uhafiwa, na Lipo barabarani,.... Endapo utahitaji na ardhi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya kuzalisha ya miche ya miti ya mbao na kupanda mashambani

    PANDA MITI YA MBAO NA NGUZO UNUFAIKE BAADAE. Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na Katika Tanzania mikoa ya Njombe ni moja ya mikoa maarufu inayoongoza kwa misitu mikubwa ya kupandwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni jambo zuri Serikali inavyohimiza tupande miti ila napendekeza ingehimiza tupande miti ya matunda kama machenza mpaka katika barabara zetu

    Serikali yetu pendwa inaendelea kuotesha maelfu ya mbegu za miti kwa ajili ya kupandwa, pendekezo langu wangekuwa wanapanda miti ya matunda inayodumu na kuchanua kama mipera, machenza, michungwa na kadhalika hata katikati ya majiji katika barabara badala ya miti isiyo zalisha matunda. Ila katika...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya utapeli wa ardhi/mashamba ya miti wilayani Mufindi. Wenye mashamba yao watakiwa kuhakikisha usalama

  7. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kati: Wanafunzi wafanyia mitihani chini ya miti

    Hii ni shule ya Sekondari ya Kiparang'anda ya mkoani Pwani, aibu hii imetokana na uhaba wa madawati pamoja na vyumba vya madarasa.
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kuacha kutumia nguzo za miti ili kuzuia ukatikaji wa umeme hasa sehemu zenye mafuriko

    SERIKALI itaachana na matumizi ya nguzo za umeme zitokanazo na miti na badala yake itatumia nguzo za zege ili kuepukana na uharibifu wa nguzo kuoza na kusababisha tatizo la ukatikaji wa umeme. Hayo yamesemwa wilayani Rufiji mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu wakati...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ifahamu miti ya mastafeli (mastakafeli) na mitopetope

    Moja ya matunda yaliyoonekana ni ya kiswahili na tumekuwa nayo na kuishi nayo katika jamii yetu ni matunda haya mawili kutoka katika miti tajwa hapo juu. Japo inatokea katika familia moja ya Annonacea ila kwa kiiingereza hili kundi la miti jamii hii huitwa Custard Apple trees. Tuchambue pamoja...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma ipandwe miti sasa

    Sio kila kitu mpaka aseme Rais wetu Magufuli jamani. Hebu pandeni miti sasa hapo jijini Dodoma kwa kila kaya iwe na miti isiyopungua 2 na iwe ni jukumu la wahusika kwenye kaya.
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta Mbegu za miti ya matunda mbalimbali

    Habarini za kutwa, samahani naomba kuuliza. Kuna siku niliona tangazo humu la kuhusu mbegu za miti ya matunda mbali mbali. Muuzaji alisema yupo Morogoro, nilijaribu kuwapigia simu lakini bahati mbaya sikuhifadhi namba yao. Mwenye kumbukumbu naomba msaada tafadhali.
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini mashamba ya Miti hayana fulsa kwenye dhamana ya mkopo?

    Naomba msaada, Kama kuna mdau ameshawahi kupata mkopo kupitia dhamana ya shamba la miti anipe maelekezo ya vigezo vya kuzingatiwa. Asante.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya miti milioni 2 kukatwa kupisha mradi wa umeme wa Stiegler's gorge

    Serikali ya Tanzania inajiandaa kukata miti eneo la ukubwa wa asilimia tatu ya hifadhi ya taifa Selous. Mapema asubuhi ya Jumatano, serikali ilipokea maombi ya zabuni ya kukata miti hiyo kutoka kwa makampuni ya ndani na nje ya nchi yaliyoonyesha nia ya kutekeleza mradi huo wa kukata miti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…