mitaani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suala la ukusanyaji taka mitaani, majumbani na maeneo ya hadhara

    Ningependa kujua suala la ukusanyaji wa taka katika mitaa, majumbani...tangu nimerudi kutoka nchi za wenzetu... sijawahi kuona gari la taka likipita...au utaratibu wa hii nchi ukoje ... maana naona ni tofauti sana..
  2. Vijana hasa wanachuo mnaoingia mitaani, hizi ndio mishe za uhakika na rahisi kujifunza kupata hela ya kujitunza, achaneni na visivyo na uhakika

    N:B.. fikiria kwanza kupata hela ya kujitunza kuweza kusurvive mtaani kabla ya kufikiria luxury needs, ni pesa inayoweza kukutoa hata hapo nyumbani kwenu kama unataka kuondoka Huwa naona kuna vijana wanashauriana kupiga mishe sijui za mtandaoni na upatu, hizo mishe huwa hazina uhakika japo wapo...
  3. Ili kuongeza wigo wa Kodi, kila duka na, au biashara za mitaani, wanapopewa leseni, lazima wawe na lipa namba

    Unapodai maendeleo, jiulize kama unalipa Kodi, nashauri Kila biashara ambayo haitumii EFD receipt, Sasa zilazimishwe kuwa na LIPA NAMBA. Mfanyabiashara, kama anafanya biashara Kila siku, hajatoa taarifa kwa mamlaka kwamba ameifunga, angalau kwa wiki au mwezi aonekane kuitumia, na namba hiyo iwe...
  4. L

    Rais Samia ameiheshimisha CCM mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama Samia Ameiheshimisha Sana CCM Mitaani, CCM kinaonekana ni chama Cha Amani, maridhiano, haki, kizalendo na kinachopigania maslahi ya Taifa na ustawi wa Watanzania, mwana CCM ukiwa katikati ya kundi na...
  5. L

    Chini ya uongozi wa Rais Samia viwango vya furaha kwa Watanzania vyaongezeka mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Maisha Ni pamoja na kuwa na furaha Moyoni,Ni pamoja na kufurahia uwepo wako Duniani,Ni pamoja na kufurahia aina ya maisha unayoishi,Ni pamoja na kufurahia aina ya uongozi uliopo madarakani kwa namna unavyogusa maisha yako ya kila siku. Serikali na uongozi uliopo hasa...
  6. Vilabu Vya Mpira Mitaani Vimekwenda Wapi?

    VILABU VYA MPIRA MITAANI VIMEKWENDA WAPI? Dar es Salaam tuliyokulia sisi katika 1960s hakuna ambae alikuwa hachezi mpira. Kutoka Upanga hadi kufika Kidongo Chekundu kulikuwa na viwanja zaidi ya 10. Tukifanya mazoezi kila siku mwaka mzima. Jangwani kulikuwa na viwanja hata idadi yake sijui kama...
  7. Kwanini hifadhi ya fedha za kigeni imeshuka na dola imeadimika mtaani?

    Jibu rahisi ni kwamba balance of payment haijakaa vizuri,tunachopeleka nje kina thamani ndogo kuliko tunachoingiza nchini kutoka nje,hivyo tunatoa dola (foreign currency) nyingi kuliko tunavyopokea,fikiria ununuzi wa mabehewa kwa ajili ya treni ya SGR unafanyika kwa fedha za kigeni,jibu lingine...
  8. S

    Wana CCM ambao kazi yetu ni kuipigania CCM mitaani na mitandaoni lakini hatuteuliwi tukutane hapa

    Kucha kutwa sisi kazi yetu ni kupambana na wananchi wanaoibeza CCM huko mitaani na mitandaoni. Lakini miaka inaenda, mvi zinaota kichwani, nyuso zinajikunja kwa kupigwa na maisha magumu na hatuteuliwi kugombea au kupewa nyadhifa. Ukifika wakati wa uchaguzi mkuu utasikia CCM ina wenyewe. Hapo...
  9. Urusi inataka kufukuzia vijana wengine mitaani baada ya kundi la kwanza kubuma - mobilization

    Warusi wanaendelea kutumika kama vipande vya nyama za kutumbukizwa kwenye "meat grinder", makundi baada ya makundi wanapelekwa na kufyekwa Ukraine, sasa habari zimeanza kujitokeza kuwa Urusi inataka kurudi mitaani kufukuzia vijana wengine wapelekwe wakafie Ukraine. =============== An advisor to...
  10. Uwepo wa vijana wa ovyo mitaani ni matokeo ya wazazi wa ovyo

    Kwa ufupi sana Wazazi wa sasa tujitathimini! Ukisasa umekuwa mwingi, tumejisahau! Jukumu la malezi bora kwa watoto wetu tumeweka kando. Vijana wa kiume wanafanya mambo ya ajabuajabu sana, nafikiri unaelewa nachokizungumza: mabinti wadogo wanafanya ya kustaajabisha! Tusiwalaumu wala...
  11. L

    CHADEMA yapoteza ushawishi mitaani. Sare zake hazivaliki

    Ndugu zangu miaka kadhaa iliyopita hakika chama hiki kilijizolea umaarufu mkubwa Sana hasa kwa kundi la vijana, Vijana walijiona fahari Sana kujiita makamanda, vijana wengi hasa wa vyuo vikuu na vyuo vya Kati walikuwa mtaji mkubwa Sana wa chama hiki, Hakika vijana walikuwa na hamasa kubwa Sana...
  12. FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

    01' Kipute kinapulizwa uwanja wa Benjamin Mkapa. 01' Simba wanakuwa wakwanza kulifikia lango la Yanga, pasi ya mwisho inakosa tija. 03' Simba wanapata faida ya faul ya kwanza baada ya Okrah kuangushwa. 04' Onyango anashindwa kuufikia mkwaju wa adhabu ndogo kutoka kwa Chama. 06' Simba...
  13. Polisi wanaosimamia Sharia za kiislamu waondoka mitaani Iran baada ya waandamanaji kuchachamaa hawataki

    Sasa hivi wameondolewa mitaani sababu waandamanaji wasiotaka kuvaa ajabu wanawafanyia Fujo na kupigwa mawe nk Sasa hivi hawapo mitaani kabisa .Wako tu Askari wa kawaida wa dini hawajulikani wamepotelea wapi!! Watu sasa wanawake wengi wanatembea bila hijab mchana kweupe Source: Aljazeera
  14. Sababu ya Putin kulazimisha vijana kwenda vitani kupigana ni kuwaziba midomo wasimpinge mitaani

    Kumekuwa na mwamko mkubwa wa vijana mitaani kupinga Putin na vita yake Ukraine ambako kumesababisha ugumu wa maisha kwa warusi.Vijana wamekuwa waandamana maeneo mbalimbali kupinga Putin kaona dawa yao ni kuwaondoa uraiani na kuwapeleka jeshini ambako midomo yao itazibwa .Kule ni kusema Yes...
  15. M

    Yanga SC mtumieni Tuisila Kisinda kama kitega uchumi wenu kwa kumruhusu acheze ndondo za mitaani

    Binafsi nina Timu yangu ya Mtaa inataka kushiriki Ndondo ila sina Winga Teleza Mmoja tu hivyo nawaonba Yanga SC mnikodishe Tuisila Kisinda aichezee Timu yangu na kila Mechi nitamlipa Shilingi Elfu Tatu na Mia Tano ( Tsh 3,500/= ) tu. Nitaishukuru wana Yanga SC wote mliopo hapa Jamiiforums...
  16. Kenya: Watalii 40 wakamatwa kwa kuombaomba mitaani

    Kamanda wa Polisi wa Kaunti Ndogo ya Mvita Maxwell Agoro akizungumza na mmoja wa raia 40 wa Jordan waliokamatwa. Picha: Kwa hisani Polisi wa Mombasa Nchini Kenya wanawashikilia watalii 40 raia wa Jordan baada ya kukutwa wakiombaomba katika Mitaa ya Old Town na Marikiti ili wakusanye fedha ya...
  17. Kenya2022 Serikali kusambaza Askari mitaani kulinda Maamuzi ya Mahakama Kuu

    Wakati maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu hatma ya Matokeo ya Urais yakisubiriwa nchini kote, Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Edward Mbugua ameagiza Makamanda wote wa Mikoa kusambaza Askari, Vifaa na Mitambo ya Usalama ili kudhibiti majaribio yoyote ya uhalifu. Hatua hiyo inajiri ikiwa ni siku...
  18. Mabango ya kitabu cha Sheikh Ponda kwenye kuta za nyumba mitaani Dar es Salaam

    MABANGO YA KITABU CHA SHEIKH PONDA KWENYE KUTA ZA NYUMBA MITAANI DAR ES SALAAM Nakumbuka siku ya kwanza nilipokutana na Sheikh Ponda ilikuwa mwaka wa 1988 kwenye semina ya vijana Kiislam Iliyofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE). Sheikh Ponda na kijana mmoja kutoka Zanzibar, Sheikh Salum...
  19. SoC02 Watoto wa Mitaani ni Janga la Kitaifa

    Watoto wa mitaani, ni watoto ambao wanaishi mitaani, nje ya makazi ya kawaida. Kempe Ronald Hope, (2005) anatoa maana ya Mtoto wa Mitaani kama ifuatavyo: “Mtoto wa Mtaani, ni msichana au mvulana ambaye hajafikia umri wa utu uzima, ambapo mtaa (ikijumuisha makazi yasiyokaliwa, maeneo yenye...
  20. K

    China yaingiza vifaru mitaani kuzuia watu wasitoe pesa Bank

    Katika kile kinachoonekana kama kutumia nguvu kuulinda mfumo wa pesa usianguke mazima nchi ya Uchina imelazimika kuingiza vifaru vya kijeshi& wanajeshi waliojihami kwa siraha mtaani kuzizunguka bank ili kuwatisha wateja wa bank hizo zenye mgogoro toka mwezi April wasitoe pesa zao na kusababisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…