Wakuu naomba kuuliza swali. Rafiki yangu amebahatika kupata ajira za utumishi katika wizara ya kilimo baada ya kuhangaika sana na usaili kila mwaka.
Ameajiriwa katika ngazi ya bachelor's degree, na daraja la mshahara aliloanza nalo ni TGS D.1, yaani atakuwa anapokea 765,000 TZS kama gross...