misemo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANMO

    JamiiForums Tanzania Misemo na Maneno ya zamani

    Wanajamii tujikumbushe baadhi ya misemo ambayo zamani ilikuwa kwenye chati na sasa haitumiki tena.. Kwa mfano nakumbuka misemo kama kuachwa kwenye mataa, Viatu vya Ndula, lakuchumpa n.k, Pia nakumbuka majina kama Chekibobu. Karibuni.
  2. bahati93

    JamiiForums Tanzania Lords eyes kama jigga kwa michano

    Huyu mwamba ni habari nyingine mazeee Ana mistari matata sana, kwenye hii sanaaa Leo nagusia sehemu ndogo sana ya mistari yake kwenye track mpya ya pamoja kutoka weusi (mbuppu) Pia nitaonyesha uhusiano wa michano yake na jigga Daah huyu jamaa anajua ukiachilia flow hatari haijawahi tokea...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, namba moja inajibu hii ya pili au ya pili ndio inajibu hii ya kwanza?

    Nilikutana na maneno yafuatayo. i. Kama ndoto yako haijatimia endelea kulala. ii. We lala si tufanye kazi utakula ulichokiota. Je, namba moja inajibu hii ya pili au ya pili ndio inajibu hii ya kwanza?
  4. Mokaze

    JamiiForums Tanzania Misemo kama ya aina hii inafaa kufutwa

    Ni mambo ya kushangaza kuona watu na akili na busara zetu bado tunashikilia misemo isiyokuwa na maana bali kupotosha jamii, eti utasikia ikisemwa; "Mpe mchawi alee mwanao" au utasikia; "Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake". Mchawi ni mtu mbaya sasa iweje umpe mwanao amlee?!--- je...
  5. May Day

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuitambua hii 'misemo' ya Mbwiga?

    Nimekuwa nikimsikia mara kwa mara mmoja wa Mwana redio anayeitwa au kujiita Mbwiga, huyu bwana amekuwa na misemo tofauti tofauti kila anapopata nafasi ya kuzungumza redioni. Na mingi ya hiyo naona huwa inabeba maana iwapo utaitafakari...kwa mfano jana usiku nikamsikia akisema "ukimuona Ngedere...
  6. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

    Achari yalisha. The pickle is an appetizer. Pickles make the guest relish the food. (If you need something from someone request for it in a polite and pleasant manner.) Ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo. It is customary for a slave to talk, but a free man acts. (Mja is only used in this...
  7. Invisible

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English. Karibu +++++++++++++++++++++++++++++++++++++ If we don't change, we don't...
Back
Top Bottom