misaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mizengo Pinda: Mwalimu alikataa kuwa 'dictated' na watu kutoka nje kwa sababu ya misaada

    Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne, Mizengo Pinda akiwa kwenye kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa baba wa Taifa, hayati Mwl. Nyerere ameongelea misaada na masharti yanayokuja nayo. Pinda amesema mwalimu alikataa katakata misaada yenye masharti yasioendana na Maslahi ya Taifa. ======== Mizengo...
  2. Waziri Mkuu wa zamani Uingereza aendesha lori kwenda kutoa misaada kwa wakimbizi wa Ukraine

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, David Cameron yupo njiani akiendesha gari aina ya Lori kutoka Uingereza hadi Poland kwa ajili ya kutoa msaada kwa wakimbizi kutoka Nchini Ukraine Sehemu ya misaada ambayo anatarajiwa kutoa ni nguo, nepi na mahitaji ya huduma ya kwanza kutoka katika mradi...
  3. M

    Mgogoro wa Urusi na Ukraine: Nchi za magharibi zaumbuka. Zilitaka kupeleka silaha Ukraine zikidai ni misaada ya kibinadamu

    Wafanyakazi wa viwanja vya ndege wamegoma kupakia shehena ya silaha Toka Nchi za magharibi, huku zikiwa zimeandikwa kuwa ni shehena ya madawa na vyakula Kama misaada ya kibinadamu! Nchi za magharibi ni washenzi! Wanashangilia vita kwa kuwa kwao ni soko la silaha na fursa ya kufanya majaribio ya...
  4. Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada

    Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders. Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada. Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri...
  5. Msamaha kwa 'Mwamba' ulikuwa ni wa lazima ili Taifa lipate Misaada ya Fedha nyingi kwa Watoaji wa Kimataifa wasiopenda Uonevu

    Baaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.
  6. Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
  7. Umoja wa Mataifa: Watu milioni sita wahitaji misaada Ethiopia

    Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kukabiliana na dharura inasema zaidi ya watu milioni sita katika maeneo kame ya mashariki na kusini mwa Ethiopia watahitaji msaada wa kuyaokoa maisha yao mwaka huu. Shirika hilo linasema zaidi ya watu milioni 6.4 katika maeneo yaliyoathirika...
  8. S

    Unamfunga Mbowe kisha unakatiwa misaada na mikopo na zaidi kutakiwa kuimarisha utawala bora na demokrasia

    Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa. Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika...
  9. J

    Yaliyojiri katika Mjadala wa Club House ya JamiiForums: Nini kifanyikeili nchi ipate tija stahiki kutokana na misaada inayopata kutoka nje ya nchi?

    Mjadala wa leo katika Club House ya Jamiiforums unahoji "Nini kifanyikeili nchi ipate tija stahiki kutokana na misaada inayopata kutoka nchi za nje. Kujiunga na mjadala huu tafadhali gusa link hii hapa chini https://www.clubhouse.com/join/jamiiforums/LYWyFrn2/PQDz7y5w Mjadala umeanza...
  10. Afghanistan: Taliban wataka Serikali yao kutambuliwa

    Kundi la Taliban limeitaka Marekani na Mataifa mengine kutambua Serikali yao, likisema kushindwa kufanya hivyo na kuendelea kusitisha Misaada kutaleta matatizo sio tu kwa Afghanistan, bali ulimwengu mzima Hakuna Nchi ambayo imeitambua rasmi Serikali ya Afghanistan tangu ichukue Madaraka Mwezi...
  11. Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

    Nawauliza Watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono? Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini, ina kila aina ya...
  12. Naombeni misaada jinsi yaku arrange blogu

    Naombeni msaada jinsi ya ku arrange blogu kama sehemu ya teknolojia unaweka maswala ya teknolojia na sehemu ya breaking news una arrange breaking news tu
  13. Kama mnajiuliza ni kwanini kila Mkoa wakienda kucheza Mechi ya Ligi Kuu wanajifanya kutoa Misaada kwa Yatima, Wajane na Wasiojiweza jibu ni hili

    Ni sehemu Kuu ya Agano la 'Kishirikina' kutoka kwa Waganga wao wa Kienyeji ( hasa yule wa kutoka Kigamboni aliyekuwa akimpa Dawa ya Mvuto wa Watanzania wote Mstaafu namba Nne wa Pwani na ambaye pia alimsaidia Kushinda Kesi mbaya ya Bandarini aliyekuwa Boss wa huko mwenye Jina la Ukoo lifananalo...
  14. Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

    Kwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2% hadi 8.1% || Nikweli Tanzania tunapokea misaada ila hatuitegemei. " Hakuna kama Samia " Sisi...
  15. Umoja wa Mataifa waomba Ethiopia kuruhusu upelekaji misaada bila pingamizi

    Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres Jumatano ameitaka serikali ya Ethiopia kuruhusu utoaji wa haraka wa misaada ya kibinadamu kwa mamilioni ya watu kaskazini mwa nchi bila pingamizi. Hayo yanajiri wakati maafisa wa Umoja wa mataifa wakiripoti vifo kutokana na njaa. Wakati wa...
  16. SoC01 Kwanini misaada na mikopo haiwasaidii Waafrika ila inawafanya wawe masikini zaidi?

    Nchi nyingi za kiafrika huwa zinapokea mikopo na misaada kutoka nje ya afrika, ila mikopo hii na misaada inaonekana kuto wanufaisha waafrika kiujumla ila zaidi inawaweka katika mzigo Wa madeni na mtego Wa masharti kandamizi, hapa panaitaji umakini zaidi na ndio maana nimeandika ili angalau tuone...
  17. B

    Marekani yakabidhi misaada ya afya na vifaa tiba kwa Tanzania, thamani TZS 497,559,000

    Marekani ya kabidhi misaada kwa serikali ya Tanzania TZS 497,559,000 kwa ajili ya huduma za afya katika Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Magereza Tanzania pamoja na vituo vya afya vilivyo chini ya majeshi hayo vitoavyo huduma kwa majeshi hayo na jamii inayoishi jirani na majeshi hayo...
  18. Nini kitatokea tukikataa misaada kutoka nje na tukajipinda wenyewe?

    Ndugu zangu, Nini kitatokea tukikataa misaada kutoka nje na tukajipinda wenyewe? Tuamue kukataa misaada tujipinde wenyewe kama nchi kutafuta vyanzo vya mapato bila kumuumiza mwananchi. Sasa hivi wametangaza matozo lakini wanazidi kukopa nje na kurequest misaada kitu ambacho ni ujinga wa hali...
  19. W

    Kwanini nchi za Afrika ikiwemo Tanzania bado maskini licha ya kupokea Misaada na Mikopo ya mamilioni ya Fedha kutoka nchi zilizoendelea? - Part I

    Niliuliza hili swali kupata maoni, sio hapa tu ni kwenye majukwaa mbalimbali, Asante kwa wote waliotoa maoni yao. Lakini kwa ufupi misaada na Mikopo kihistoria vilianza miaka ya 1945 na ilikuwa baada ya vita kuu ya pili ya dunia kwa malengo mawili; i) Kujenga miundombinu iliyoharibiwa wakati...
  20. W

    Misaada na Mikopo imeidumaza Afrika

    Dunia imepita kwenye Mapinduzi mbalimbali ya viwanda karibia levels 4. Ila Unajua Afrika has never succeeded neither of those industrial revolution levels. Na ukichunguza na kusoma tafiti mbalimbali utagundua misaada na Mikopo ndio imetulemaza na kutuweka hapa tulipo leo. Nadhani ufike wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…