Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharik, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Wizara yake na taasisi zilizo chini ya Wizara jijini Arusha.
Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mount Kilimanjaro...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Bank kuu kama msimamizi wa sera kuna wakati akitaka mfumuko wa bei uwe chini kwenye fedha tu achilia mbali dhahabu wanatumia ligwidipaper zake za kupunguza fedha za kwenye mzunguko ndani ya nchi.
Sasa leo hii kwa Bank Kuu wamesababisha wachimbaji wadogo...
Trump ni jiwe mtupu.
Mkomunisti wa Jiji la New York anayejitangaza mwenyewe, Zohran Mamdani, ambaye anagombea nafasi ya Meya, atathibitika kuwa moja ya mambo bora zaidi kuwahi kutokea kwa Chama chetu Kikuu cha Republican. Atapata matatizo na Washington kuliko Meya yeyote katika historia ya Jiji...
Naona misuluru ya magari tena wanaendesha kwa kasi maeneo mbalimbali kwa kigezo cha kampeni ya kutafuta kura nachojiuliza hawa watu wanashindana na nani ?
Kwanini pesa hizo wasizipeleke kwenye miradi ya maendeleo.
Kila mtu anajua mwaka huu hakuna uchaguzi isipokuwa kuna kiini macho cha...
RC ZAINABU TELACK: KASIMAMIENI KWA WELEDI MIRADI YA MAENDELEO
Na, Hilarry Shuma OR-TAMISEMI
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainabu Telack, amewahimiza Maafisa tarafa na watendaji wa kata nchini kuhakikisha wanasimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao
Akifunga Mafunzo kwa...
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Kigoma umepokea jumla ya shilingi trilioni 11.4 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 731.5 zimetumika kwenye ujenzi...
Mamia ya wananchi wa Kata za Nyakaliro na Irenza walijitokeza kwa wingiJulai 3, 2025, kushuhudia makala za utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Jimbo la Buchosa, chini ya uongozi wa Mbunge wao Eric Shigongo
Zoezi hilo limeendelea kufanyika katika kata hizo ambapo wananchi waliwasilishiwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiona vyaelea Ujue Vimeundwa ,ukiona miradi ya maendeleo inachipua na kumalizika kwa uharaka ,ufanisi na kwa kupendeza ujue juu yake kuna mikono ya Rais Samia ,ukiona Bwawa la Mwalimu Nyerere lililoachwa likiwa 34% limekamilika kwa uharaka na kwa ubora wa 100% ujue ya...
Wakili mmoja wa jiji amempeleka mahakamani Mbunge wa Kajiado Kaskazini, Onesmus Ngogoyo, akimtuhumu kwa kuvunja sheria kwa kuweka jina lake na picha kwenye miradi inayofadhiliwa na fedha za umma.
Wakili Shadrack Wambui anasema uamuzi huo ni kinyume na maadili na unakiuka Sheria ya Uongozi na...
Wakati CCM wakitumia kodi za Wananchi kwa faida zao na starehe zao ikiwemo kuziiba ili kujitengenezea utajiri wa kutisha, kuhonga wasanii, kuhonga wananchi wahudhurie mikutano yao tena kwa kuwabeba kwenye maroli kama ng'ombe, Miradi ya Maji inayozinduliwa Kanda ya Ziwa kwa mikoa ya Mwanza...
Naibu Spika na Mbunge wa Ilala (CCM), Mussa Zungu, amewaaga wabunge na watumishi wa Bunge leo Ijumaa, Juni 20, 2025, akiwahimiza kuwa na ushupavu na kuzingatia mambo matano muhimu yatakayowarejesha katika Bunge la 13.
Zungu amewatakia heri Wabunge wote kuelekea kuhitimishwa kwa Bunge la 12...
Huku Serikali ikiwa inaendelea na juhudi za kuhakikisha huduma za kijamii zinawafikia wananchi haswa maeneo ya vijijini, kamati mbali mbali ambazo zimeundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo, hususani kwenye nyanja za Elimu na Afya, zimetakiwa kuhakikisha zinafuatilia hatua kwa hatua...
Rais Samia akiwa kwenye ziara ya Kikazi Mkoani Dodoma amesema Tanzania imeweza kuvutia mitaji kutoka kwa wabia muhimu kama Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kutokana na 'Utulivu na Amani, Sera nzuri za Kiuchumi, Usimamizi dhabiti wa Miradi' mbalimbali ya maendeleo na kujituma kwa Watanzania...
Habari ya muda huu ndugu zangu.
Nimekaa nimetafakari nikashindwa kupata majibu juu ya huu mwenge wa uhuru unaokimbizwa nchi nzima kila mwaka.
Mbio za mwenge za kila mwaka zinabajeti kubwa sana na zinagharimu pesa nyingi mno ambazo zingeweza kutumika katika matumizi mengine ingeleta tija sana...
Serikali imesema itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ilikuwa ikipata ufadhili wa kifedha kupitia taasisi za Marekani baada ya tamko la usitishaji wa misaada lililotolewa na Rais Donald Trump.
Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, amegawa matofali 41,000 na mifuko ya saruji tani 102 (sawa na mifuko 2,050) kwa kata zote 41 za jimbo hilo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kupitia Mfuko wa Jimbo.
Akizungumza wakati wa zoezi hilo...
Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa, Kuruthum Issa Runje, imefanya ziara maalum Wilayani Kilwa kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa chini ya Ilani ya CCM ya mwaka 2020–2025...
Wananchi wa Kata ya Bwiregi wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini kwa kufanikisha Bilioni 1.5 ambayo ilitumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo.
Akizungumza kwenye mkutano na wajumbe wa CCM na wananchi katika Ziara ya Mbunge kwenye...
Serikali ya awamu ya sita imepongezwa kwa kupeleka mradi wa maji wa Miji 28 katika Wilaya 3 za Mkoa wa Tabora ambazo zilikuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji huduma ya maji.
Pongezi hizo zimetolewa jana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Steven Wasira alipokuwa...
Nina furaha kuwasilisha Taarifa yangu ya Jumla ya Mwaka kuhusu Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418.
Taarifa hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.