Tunatoa huduma za kitaalamu za uwekaji wa Tarazo (Tiles) kwa ubora wa hali ya juu kwenye maeneo mbalimbali:
🔹 Mashule (madarasa, korido, vyoo)
🔹 Parking (maeneo ya magari)
🔹 Underground floors (basements)
🔹 Nyumba binafsi (residential houses)
🔹 Ofisi, maduka na majengo ya biashara
💼 Kwa nini...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Florent Kyombo ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi ya TACTIC katika Jiji la Arusha, miradi ambayo imeweka kiwango bora cha utekelezaji wa miradi ya...
Mara kwa mara nimekuwa nasikia baadhi ya miradi inayofanywa na serikali huko Dodoma, nabaki kujiuliza kwamba mbona yanaenda kinyume na malengo yaliyokusudiwa ya kujenga mji wa kiserikali?
Jana nilisoma mahali kwamba wanajenga viwanja vikubwa vya mchezo wa golf na lengo ni kupafanya Dodoma...
Benki ya Dunia imetembelea na kukagua utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na Banki hiyo ya Usafi wa Mazingira katika Mikoa ya Dar es salaam na Pwani yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 179 na kuhimiza ukamilishaji wake kwa wakati ili kuleta tija kwa Jamii nufaika.
Katika ziara hii iliyoongozwa...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeweka historia mpya katika eneo la King'ori, jijini Arusha na maeneo mengine nchini kwa kuweka tumaini jipya kwa wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja ndani ya siku 100 za Rais Dkt. Samia...
Kasi ya utekelezaji wa miradi minne ya maendeleo katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefikia wastani wa asilimia 78.5, hali inayowasha taa mpya ya matumaini ya uboreshaji zaidi wa huduma kwa wagonjwa.
Meneja Milki, Mazingira na Matengenezo wa MOI Bw. Victor Kamagenge...
Kutoendelezwa kwa miradi mbalimbali jijini Dar es Salaam, iliyogharimu mabilioni ya fedha za umma kumetajwa kuwa ni ufujaji wa fedha hizo.
Mwandishi wa habari hizi ametembelea baadhi ya miradi ya vyoo katika Halmashauri ya Kigamboni, Ilala, Temeke, Kinondoni, na Ubungo.
Mamlaka ya Majisafi na...
Kwa yaliyotokea 29 Oktoba 2025, ni laana kwa Nchi. Jina lake libaki kwenye Misikiti alojenga pekee.
Kwenye Utawala wake aliruhusu Watanzania kuuana wao kwa wao ili yeye asalie madarakani.. Katiba akaiita kijitabu.. Kijitabu akakitumia kuapa asalie madarakani bila ya kuchaguliwa na yoyote...
Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote.
Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ?
Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
ipi
katika
kitaifa
kuchochea
kuhusu
kutekeleza miradi
maendeleo
mchango
mgawanyo
mikoa
mikoani
miradimiradi ya serikali
mtazamo
namna
serikali
tathmini
uhitaji
usawa
wake
yako
Kuusema ukweli wa kimungu, Rais Samia anapigwa vibaya mnoooooo!
Moja ya kitu alichofanikiwa kukifanya kwa ufasaha ni kuwatishia wabadhilifu hata kama walimpiga lakini walio kuwa wapigaji walipungua kwa kiasi kikubwa sana.
Awamu ya nyuma ya utawala wa Samia aliyekuwa waziri mkuu alikuwa na...
Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi.
Hivyo basi kama serikali inaweza kujidhamini na kukopa fedha nje ya nchi kwanini isiwadhamini vijana...
Watoto wetu watakuwa wanasimuliwa. Mwaka 2025, Miradi mikubwa ya maendeleo ilimama sababu Magari yote yalienda kubeba watu wa kujaza mkutano wa Mwanasiasa. Amri ilikuwa inatoka ngazi ya taifa, Mkoa, Wilaya hadi Kata.
Shule zilifungwa, Ofisi zilifungwa ili watu wakajaze uwanja wa Mwansiasa...
Leo nilikuwa naangalia mfumo wa leseni (Tausi Portal) nikaona section ya Land Sale, wame list Halmashauri zenye miradi ya kuuza Viwanja kwa matumizi mbalimbali mfano Biashara, Makazi pia Biashara na Makazi.
Issue yangu kama wameweza kutangaza katika mfumo kwa nini wasiruhusu pia mtu kufile...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Makambako, Mkoa wa Njombe, Deo Sanga maarufu kama Jah People, amemtupia lawama aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, akisema kauli zake za kuipinga serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinachochewa na mabadiliko ya mazingira ya kisiasa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Rukwa imetekeleza ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma zenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 6.7 katika kipindi cha Aprili hadi Juni 2025.
Kwa mujibu wa taarifa ya TAKUKURU, kiasi cha Shilingi 422,280,519 kilichotolewa kama...
Nimeshangaa sana huyu mwanaCCM kuongea namna hii.
Kwamba wasiompigia kura Rais Samia wasipande SGR au kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi za Watanzania.
Hajui kuwa kila mtanzania awe CCM au sio CCM analipa kodi?
Soma >> GE2025 - Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende...
Habari zenu Wana Jambi
Kwa miaka kadhaa nimefanya kazi kwenye eneo la miradi hasa inayohusu maswala ya ukimwi! Nikapata uzoefu kwenye maeneo kadhaa
Kwanza mara nyingi ni maisha ambayo most of the time mpo under pressure mnakimbizana na performance vikao daily simu kila wakati maBoss wanataka...
Sekta ya Barabara
Mkoani Mbeya, ujenzi wa barabara hii ya lami unatarajiwa kurahisisha usafiri wa bidhaa na abiria, na kuchochea uchumi wa maeneo hayo.
Ukarabati wa Barabara za Mijini Mbeya, Mji wa Mbeya umenufaika na ukarabati wa barabara za ndani, ambazo zimetengenezwa kwa kiwango cha lami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.