Vijana ni waelewa sana, maana ni walewale walioambiwa hapa ni chooni, hapa ni jikoni, huu ni moto na haya ni maji wakatii hadi leo kuwa hapa ni chooni, hapa ni jikoni na pale ni chumba cha baba na mama tusiingie bila kubisha hodi.
Vijana hawahawa kama kungekuwa na viongozi ambao wangewaambia...