mimi

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Kwa nyomi hii, hata mimi lazima nitishie kukifuta ili bosi aone nafanya kazi

    KATORO next break KAHAMA then KANDA MAALUMU. Lazima waombe poo.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Mimi ndiye Mwandishi wa habari wa kwanza Tanzania kutuma stori kwa Internet

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 ameeleza namna alivyopambana wakati anafanya kazi na Radio Tanzania Mkoa wa Songea
  3. JamiiForums Tanzania Nlisema mimi kuhusiana na huyu Member. Mkasema Chizi M. Wewe Mkorofi. Sasa amethibitisha

    Wakati nawaambia kuhusu watu kuwa ni akina annabelle mkasema Chizi Maarifa wewe ni mkorofi unawachukia tu rainbow kiasi kila mtu unamwona ni papaya. Sasa someni. Ame advance kwa sasa ameamua kuwa verified kabisa na ameweka na Tangazo hapo. Aliye na macho na aone. Hii ndo Jamiiforums. Jamaa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Machawa wamemwagwa JF, tuwablock wabaki wanawasiliàna wenyewe mimi nimeblock wawili leo

    Ndiyo dawa yao..Block them wabaki peke yao!
  5. JamiiForums Tanzania Chidy nikufate wapi nikupe K. nikamwambia Kipapiro chako ntakifanyia nini mimi.

    Mwaka huu nilirudi Tz kikazi mara moja. Nikakutana na mdada ambaye miaka ya 2000 mwishoni kazini nliwahi mtokea. Demu alikuwa ana nyodo kinyama. Alikuwa anatoka na Mkurugenzi halafu anaendesha Rav 4 ndo zimetoka toka hatari sana. Mimi baxo napanda dala dala. Sasa sikuwa najua ndo nmehamishiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Aliponiambia yeye na mimi basi. Nikamwambia sawa haina shida. Nlichomfanya hatonisahau kamwe

    Mimi kusema kweli sina roho ya kitajiri. Halafu sikopeshi kabisa ni mambo taslimu. Huyu binti alikuja toka mkoani kusoma chuo. Tukapendana. Basi nikawa sababu mimi mzazi alikuwa anauwezo nikawa nachukua mkwanja home. Huku na serikali inanilipia. Mzee anajua ananisomesha. Basi najibana...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ni dhambi kubwa kupata cheo ukavimba mabega, ukapandisha ukawa untouchable, 'Wewe unanijua mimi nani? Who are you?'

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya ujeuri na majivuno mara baada ya kupata madaraka. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Ikulu, Rais Samia...
  8. JamiiForums Tanzania Mtu ameamka tu akaandika "hezbollah anamchakaza israel vibaya mno". Mimi nafikiri ni wakati sahihi JF kuanzisha community notes ili kuuchamba uongo

    mtu ameamka na stress za chuki dhidi ya israel, so ili kuituliza nafsi yake ngoja atunge stori ambayo haina accuracy yoyote na picha za AI kuonesha operation kabambe za uongo😁 Point yangu kubwa kuna matango pori mengi sana humu JF na watu wanaishia kuwa mis-informed. Itengenezwe community...
  9. JamiiForums Tanzania Aisee mimi nafikiri africa sio mazingira safi kwa mtu alie introvert. Utaanza kusemwa wewe ni usalama😁

    _Ooh anajifanya, _anatumia madawa yanayo mpa ganzi muda wote, _huyu ni spy huyu, _anajikuta wa maana hataki kuongea na watu,
  10. JamiiForums Tanzania Kuajiriwa kuna muda unadharirika sana: Jana mimi wa kupangishwa foleni Mnazi Mmoja na HR anipe Elfu 50!

    Sawa nina njaa kali. Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity. Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake. Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
  11. JamiiForums Tanzania Why niteseke na pesa zangu? Yaani mtu asiye nazo anateseka na mimi ninazo nateseka pia?

    Ninatumua account ya bank moja ya kiduanzi initwa EXIM. Pembeni ya hiyo nimekuwa nikitumia NBC. Jana nmepata salary na nikaamua kutuma pesa akaunt ya NBC ili nitoe maana sina ATM Card ya EXIM. Huwezi amini tsh 700,000 mpaka leo inaonekana imekatwa Exim lakini haijafika NBC. Lakini nikiangalia...
  12. JamiiForums Tanzania Hongereni wanaume mnaoweza kwenda shopping na wake zenu kisha mkarudi wote kwa furaha mimi yamenishinda

    Kipindi sijaoa bana nilikuwa nikiangalia tamthiliya za wakina kanumba natamani sana nami nikioa itakuwa hivyo. Mungu saidia hatimae nikaoa na nilikuwa vizuri kidogo kiuchumi. Ndoa kubwa tulifunga bana zawadi tukapata nyingi sana hasa vyombo na nguo (vitenge/khanga) tulipata zakutosha kiasi...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka Mwanume wa kunihudumia Na Mimi Nimpe Penzi, Amani na Heshima

    Hello, Nahitaji mwanaume mtu mzima wa kunihudumia na mature. Akiwa Arusha itakuwa vizuri zaidi. Nitakupa Amani, heshima na penzi zuri baba. Zingatia neno: Uwe Unajua KUHUDUMIA.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Jana nilikutana na mimi

    Katika pitapita zangu jana kuna mtu nilimuona nikasema mbona yule ni kama mimi, alikua yupo kwa mbali ilibidi nimsogelee ili kumuona vizuri, Lakini nilivomsogelea nikamkuta sijamfananisha alikua mimi kabisa nimekaa pale, nguo alizovaa zinafanana na zangu kasoro viatu ndo tofauti, Ikabidi...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka nimpokonye Mwanamke Mtoto(Ni mtoto wa mdogo wangu)

    Habari Wandugu iko Hivi Kuna binti ni "single mother" amezaa na mdogo wangu (Tayari alikua na mtoto mwingine wa Mwanaume mwingine ana miaka 5), sijui chochote kuhusu huyu mwanaume aliezaa nae ila wanasema yupo, ila ni kama hamuhudumii mtoto kwasababu mtoto yupo na mama yake na walikua wanishi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Hali hii sijui kama ninayo mimi peke yangu au wengine wanayo ?

    Katika mazingira tofauti na watu tofauti ninakuwa na hali ambayo nikikutana na mtu yeyote ambaye siku zake za kuishi sio nyingi tena duniani hata kama ni mzima wa afya kuna hisia fulani au kuna namna fulani ambayo ubongo wangu unakuwa unatafsiri mtu uyo sijui kama ninaweza kuelezea vipi ila...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mimi binafsi riport ya Tume ya Jaji Chande naona kama wamepoteza kodi zetu kuandaa ujinga

    Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume...
  18. JamiiForums Tanzania Unataka kuoa unakuta demu ana sifa nyingi nzuri lakini ni Kiholoholo. Hapo mimi siwezi kabisa

    Demu kiholoholo ni demu kimbaumbau. Nimejarib mara kadhaa kula.... Huwa kwa kweli sivutiwi kabisa. Napenda demu awe na makebo makubwa. Hapo sawa. Lakini akiwa kiholoholo.... Aaargh labda ELI COHEN na Intelligent businessman wanaweza elezea kwa uzoefu wao. Maana hawa jamaa wana exposure kubwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wengi niliosoma nao primary na O level wapo vizuri kimaisha. Mimi sijatoboa kwa kweli pamoja na kupambana

    Wadau leo niko very stressed. Nimeamua nianze kula konyagi mapema tu maana kazi siipendi tena. Naenda kazini nikiwa sina raha. Mkuu wa shule anafuatilia maisha yangu. Kijibiashara cha kuuza kangala hakilipi zaidi ya kupata hela ya kula. Rafiki zangu wengi wana maisha mazuri na wametoboa...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu ninayekerwa na hawa polisi wenye mitutu ya bunduki barabarani!??

    Mimi kwa nature yangu ya kazi huwa sitoki kila siku kwenda mjini, sasa ikitokea siku nimeenda nimekuwa nikiona hawa polisi wakiwa na mitutu ya bunduki kwenye mataa achilia mbali vituo vya mwendokasi! Kiukweli mimi hii hali inanisumbua sana, imekuwaje tumefika hapa? Je hii inaleta picha gani kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…